Wito: Madaktari muhimbili

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
236
Habari za jioni madaktari wangu, poleni na majukumu mazito ya sasa nawapa pole kwa maswaibu ya dr.Ulimboka na pia vitisho mnavyoendelea kuelekezwa kwenu, wito wangu kwenu naomba muimarishe ulinzi kwa mgonjwa nyinyi wenyewe msiruhusu mtu tofauti anuse pua hapo.
jambo lingine hakisha simu unayopigiwa na mtu usiyemfahamu unarekodi maongezi na namba pia naamini simu zenu ni za kisasa hii itatusaidia kuwapata wote wanaowatisha kirahisi tuna watu wa IT watasaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom