Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

Your comment shows how incompetent you people in CCM are.So Rais anapatikana kwa kutajwa tu anakuwa?!Acheni ujinga na uzumbukoko ninyi.Kumpata Rais wa nchi is a process.
Mkuu sijui hiyo bangi unayovuta inatoka mlima upi wa mawe
 
Again,this is a stupid comment.Tanzania yote inahitaji kutolewa kwenye makucha ya "mkoloni" CCM.Afterall ni aibu anywhere in Tanzania leo kuwa na utapia mlo,63 years after independence.It just shows how miserably CCM has failed Tanzanians.
Kule utapiamlo ni wa asili kama kifo
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake na kiuhalisia na za kwetu pia,zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.

Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania wenzangu ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha tu CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.

NB: Please share this message widely.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Sawa, hao wakioleta hali hiyo basi wote tushirikiane kuwaondoa madarakani.
Unatuomba wewe kama nani? Who pays you? Kinyume chake tutauliza kwa nini vyeo vikubwa vyote serikalini vilikuwa vya wachagga na wapemba! Tunatka majibu kwa nini TRA, CRDB iko hivyo ilivyo hadi alipokuja JPM? NA TUTAULIZA KWA NINI +255 hajaenda Moshi na Arusha
 
Mimi naamini ote wanaosoma mada za humu, hakuna hata mmoja mwenye muda wa kwenda kukaa foleni na kusubili kupiga kura. Hata lucas mwashamba hana muda huo..anaongeaga tu humu.
Wanaopiga kura wapo huko vijijini na wengine tangu wazaliwe hata kupata chakula kwa wasiwasi, lakini ndio wapigakura namba moja.
sijui utatumia njiagani kuwashawishi hadi wakuelewe kwa hicho unachosema.

Tunapiga sana kura. Na 2025 tumeapa kulinda kura zetu. Patachimbika. Hatukubali tena mambo ya goli la mkono.
 
Wewe ni wazi ni li CCM.Naomba nirudie,huwezi kufanya jambo hilo hilo kwa njia hiyo halafu utegemee matokeo tofauti,it is stupid.What you have suggested ndiyo tuliyofanya miaka yote,kwa hiyo matokeo yatakuwa Yale Yale.Wizi wa kura na kutoweza kuhoji matokeo mahakamani.Afterall mahakama ni za CCM na huwezi kuhoji matokeo mpaka yatangazwe.Hizo zote ni njia za kujihakishia ushindi.

Ya tatu nimeitaja kwa kuwa wananchi wa 2025 sio wa 2015.Wananchi wa 2025 wanaifahamu vizuri CCM, kwamba ni Chama kiovu hell bent kulinda maslahi ya watu wachache na kuendeleza kuwakandamiza by any means possible.For me enough is enough,CCM must go.
EEEeenHEEEeeeee!

Naona kumbe najadili na mpuuzi tu mmoja hapa asiyejua kitu chochote.
Basi endelea kwa wakati wako. Jifurahishe na huko "KUSUSIA UCHAGUZI."
How practical can that be?
 
waTanzania walishasusia chaguzi tangu kitambo...
Na ccm hawana aibu kumtangaza mshindi...
Siku zote wao wanafurai fursa ya kupita bila kupingwa!
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake na kiuhalisia na za kwetu pia,zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.

Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania wenzangu ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha tu CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.

NB: Please share this message widely.
Kususia sio wazo zuri hasa kwa kuzingatia uzoefu wa Zanzibar baada ya CUF ya Maalim kususia marudio ya uchaguzi
 
Wa
Tunapiga sana kura. Na 2025 tumeapa kulinda kura zetu. Patachimbika. Hatukubali tena mambo ya goli la mkono.
Walau wewe umekuja na wazo lenye kuzingatia uhalisia,swali linabaki je,wapiga kura wana utashi,utayari na ujasiri huo?
 
Kuna upotoshaji wa hali ya juu sana tena wa makusudi tena ukifanywa na viongozi wa vyama vya siasa. sad

Tume Huru ni zao la Katiba kwa maana kwamba Tume ya uchaguzi imeainishwa Kikatiba.
Ni haki kusema ni mtoto wa Katiba. Huwezi kuwa na Tume Huru ya uchaguzi bila kupitia Katiba. Huo ni ujinga

Wazanzibar walijaribu UJINGA huo mwaka 2015 kwa kuwa na Tume Huru yenye 50/50. Jecha akafanya yake

Wazanzibar hawakuweza kwenda mahakamani wala kuandamana! tena walilimwa bakora vizuri tu

Kinachotakiwa ni Katiba mpya, nakubaliana na wanaosema hakuna kwenda kwenye uchaguzi bila Katiba mpya. Period.

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Kususia sio wazo zuri hasa kwa kuzingatia uzoefu wa Zanzibar baada ya CUF ya Maalim kususia marudio ya uchaguzi
Lazima wewe utakuwa li-CCM.
Anyway,wazo lako wewe ni nini,tuendelee kushiriki Uchaguzi bila Katiba Mpya na Tume Huru huku tukijua matokeo yatakuwaje!!!That is unthinkable and stupid.Watu walikuwa wajinga huko nyuma,not anymore.We can't be foolish forever.

Halafuu,sijui mawazo mufilisi kiasi hiki mnayatoa wapi.Anyway,sishangai,wewe si li-CCM?Yaani unafanya jambo hilo,kwa njia hiyo hiyo, halafu eti unategemea matokeo tofauti,how stupid.No,mimi sio wa hivyo mkuu,and you shouldn't be too.Bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi hakuna kupiga kura,na atakaye kwenda kupiga kura tutamuona kuwa ni adui wa Watanzania.
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake na kiuhalisia na za kwetu pia,zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.

Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania wenzangu ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha tu CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.

NB: Please share this message widely.
Usitusemee, jisemee mwenyewe, mimi nawataka CCM na kazi iendelee
 
Hahaha mkiitwa kwenye maandamano hatokei, sasa ukisusa nyumbani kwako, halafu CHAWA wakaenda kupiga kura utakuwa umemkomoa nani.
Nchi hii aihitaji uchaguzi, inahitaji MAPINDUZI, ama ya kiraia au kijeshi.
 
Usitusemee, jisemee mwenyewe, mimi nawataka CCM na kazi iendelee
Tunataka kuwe na a fair competition.Wakishinda kihalali hatuna shida.Ilivyo sasa CCM wanatumia uharamia na nguvu kuwatawala Watanzania na hii haikubaliki.Huwezi kuwa na Tume uliyoiteua wewe na Katiba inayokulinda,halafu useme kuna a free and fair election,huo ni udanganyifu.Tunataka kuwe na Tume Huru isiyowalinda na Katiba isiyowalinda come 2025.
 
Kasi ya mama samia inawapeleka puta
Kasi ya nini,mikataba fake,kupora rasilimali zetu na ufisadi kila kona ya nchi,usingekuwa mjinga zaidi aisee.

Halafu kumbukeni kwamba ujinga mnaofanya sasa utaadhiri vizazi vyenu vijavyo,so you are playing with fire.
 
Back
Top Bottom