ccm siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mathanzua

    Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

    Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa. Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si...
  2. QGISInsights

    Kenya kuanza kutumia huduma za Startlink

    Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko? --- Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya...
  3. Mmawia

    CCM huko Zanzibar kimeumana haswa!

    Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana. Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme. Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+. Kwa misuguano hii kamwe haijengi bali ni kuongeza nyufa ndani ya nyumba husika. Nafikiri hiki ni kipindi bora kwa wapinzani wazidi...
Back
Top Bottom