wireless network

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
492
180
wana jf naomba maelezo jinsi ya kutengeneza wireless kati ya simu na laptop au kama kuna link ya thread hiyo naomba tafathali Natanguliza shukran
 
kama una simu ambayo ina wireless connection basi nenda joiku, google hiyo kitu utadownload software ambayo unaweza kuunga moja kwa moja ila hakikisha pc yako iko na wireless internet connection
 
kama una simu ambayo ina wireless connection basi nenda joiku, google hiyo kitu utadownload software ambayo unaweza kuunga moja kwa moja ila hakikisha pc yako iko na wireless internet connection

jimesha google nimeshapata hiyo software nimesha intall lakini sifahamu jinsi ya kuconect
 
skia,unayo cd ya nokia pc suite? au umeshainstal? kama ndo hii softwea uneinstal sema nikuelekeze
 
kama umeshaidownload sasa hakikisha una unalimited bundle if ok nenda option ya hyo joiku set access point ya mtandao unaou2mia then kuna sehem imeandkwa start hapo hapo kwenye joiku gonga hapo then utaona inasech network na kukonect ikikonect weka wireless on kwenye pc yako then sech wireless network utaiona inapatikana sasa link.kama kutatoke alama ya mshangao wa njano zima pc washa tena then itawork hakikisha phone ipo charge standby plugd.
 
hongera! kaka unga pc hadi za majilan kwani watazamia mtandao wako he he he cjuwi unatumia joiku ipi free au trial, if trial u cant rename una name.
 
wana jf naomba maelezo jinsi ya kutengeneza wireless kati ya simu na laptop au kama kuna link ya thread hiyo naomba tafathali Natanguliza shukran
<br />
<br />
Mkuu kwani unahitaji wireless kwa madhumuni gani, kama ni ku-up/down load mafile ya kawaida basi Bluetooth inatosha tu.
 
Back
Top Bottom