Window ya webcam iko too dark!!

Mike2011

Member
Mar 8, 2011
62
1
Salaam zenu wana JF.Mi nna laptop ya compaq na external webcam ya touchmate.tatizo ni kwamba nikiwasha webcam sioni kitu chochote kwa sbb window yake ni giza tupu.nawezaje kuiseti vizuri niitumie,na alafu ki-light cha webcam nna ki-turn on vp?
natanguliza shukrani zangu.
 
Angalia kwanza drivers zake kama ziko ok.
Salaam zenu wana JF.Mi nna laptop ya compaq na external webcam ya touchmate.tatizo ni kwamba nikiwasha webcam sioni kitu chochote kwa sbb window yake ni giza tupu.nawezaje kuiseti vizuri niitumie,na alafu ki-light cha webcam nna ki-turn on vp?
natanguliza shukrani zangu.
 
drivers ziko vizuri nathani kwa sbb nna installation cd.na ata nikienda kwenye device manager inasema this device is working properly.
 
jaribu kuinstall ktk machine tofauti ili kugundua tatizo lipo wapi na taa iliyopo ktk webcam huwa inawaka mara camera inapokuwa active
 
Salaam zenu wana JF.Mi nna laptop ya compaq na external webcam ya touchmate.tatizo ni kwamba nikiwasha webcam sioni kitu chochote kwa sbb window yake ni giza tupu.nawezaje kuiseti vizuri niitumie,na alafu ki-light cha webcam nna ki-turn on vp?
natanguliza shukrani zangu.

kama ni webcam makini lazima ina application ya kuwezesha kucontrol na kuekebisha vitu kama brighttness au contrast .

Otherise namna gani vipi jaribu kuinstall Skype au yahoo messger then kupitia skype au yahoo unaweza kutumia interface yake ya camera uone kama hata ukirebisha contrast na brighness tatizo lla giza haliondoki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom