CLICK Start, Tafuta My Computer.nitajuaje kama ni SP3 maana nami natumia windows xp na sijaona shida yoyote
Duh! mahela mengine hayo yatatutoka kununua hio sp 3
kwan ww hyo service pack 3 ni mpaka hela
Microsoft hawana ubavu kwa sababu:Napenda kuwaalert wale wasiohua kuwa Microsoft wamephase out Window XP yani sa hivi unayoweza kutumia at least ni SP3 so ukiona msg kwamba the s/w is invalid usishangae hamia kwingine.
Huyo ni wale ambao wanaekewa window kwa hela si watu wote wanaweza wenyewe
nitajuaje kama ni SP3 maana nami natumia windows xp na sijaona shida yoyote
Mkuu, natumia laptop yenye RAM 500mb na watalaam wanasema windows 7 ni nzuri kwa laptop za zaidi ya 1gb. Windows 7 kwenye RAM 500 zinakuwa slow sanakwa nini usitumie window 7?
Exactly, thats what i know. Na kwenye hizo brackets umenifundisha mengi.watastop kutoa support na sio kufunga os hawana ubavu huo.
-itakua microsoft wakiulizwa maswali kuhusu window xp hawajibu (watanzania maswali ya xp hawaulizi web ya microsoft)
-hawatatoa updates (wabongo wana update ant virus tu)
-software za xp zitastopishwa kutengenezwa (watanzania hadi leo wanacheza game za 98 )
-watatoa elimu watu wahamie vista na windows 7 na 8 (elimu haitawafkia watz na ikiwafkia hawataiskiliza)
-computer mpya hazitasuport xp (wabongo wanatumia used hawanunui vipya)
-watablock all ways (torrent na crack zipo za kumwaga)
Sidhan kama ita affect bongo
watastop kutoa support na sio kufunga os hawana ubavu huo.