Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,467
- 29,167
Wimbo wa HILI GAME ulioimbwa na JUMA NATURE KIROBOTO.
Huu wimbo ukiuzikiliza hata huo wa gangwe mob un afadhali. Yaani sentensi zimeungwa ungwa tu, neno hili na linalofuata hayahusiani, na hata maneno yenyewe pia hayaeleweki.
Wimbo una maneno ya kiswahili, ya kiengereza, kizaramo sijui hukohuko mixer ki-bondeni. Wimbo hata maana nzima ya hilo gemu alilosema ni tafu sijaipata bado, na hata haieleweki alimaanisha nini huu wimbo.
Mwenye lyrics za huu wimbo aziweke hapa