Wimbi la CCM kuhamia CHADEMA ni Fursa ya Kupima uwezo wa Chadema

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Kuna taarifa takribani kila wiki za ama wanachama au viongozi wa CCM kuhamia Chadema. Hadi sasa imechukuliwa kwamba ni jambo jema. Wengi wanalihisisha na kazi ya "Mungu"

Nilitarajia kwa kasi hiyo ya kuhamia, Chadema wangekuwa wametangaza mkakati wa kuwapokea, na kuwapunga mapepo ya CCM. Au kuimarisha uongozi katika maeneo ambao Chadema imepokea wanachama wengi kutoka CCM.

Hayo siyo ya msingi sana! Tatizo ninaloliona mimi ni kwamba Chadema hivyo inakua na kupanuka kwa kasi na namna ambayo hawakutarajia. Hivyo kuna hatari ya kuanguka badala ya kuimarika, pengine katika maeneo fulani. Wakashindwa kuhimili growth.

Isipokuwa pia kama Chadema ikifanikiwa basi pengine itakuwa imetuonesha, japo kidogo kwamba wao wanajua na wana uwezo aw kutawala tofauti na CCM. Ingawa hiyo haitatuthibitishia kwamba wanaweza kuongoza nchi, japo tungependa kuwajaribu kama tutapata ahuweni ya matatizo tuliyo nayo sasa

Hivyo kuhamia kwa wingi wanachama wa CCM Kwenda Chadema ni fursa kwa Chadema kutuonesha uwezo wao
 
Hakuna haja ya kujadili chama dampo kama CDM kwani wanataka hadi lowasa kweli hiki sio chama bali kipo kwa mslahi binafsi ya wachaga.
 
Tusubiri...time will tell
Chadema ni chama makini na kinawatu makini

Hebu nitajie mtu hata mmoja tu ambaye ni makini huko Chadema, yaani vilaza type ya Slaa ndiyo unawaita watu makini?. Kama hali ni hiyo bora hata kusiwepo na vyama vya upinzani, kibaki CCM tu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
[QUOTE=Pepe lurve;3786876]Hakuna haja ya kujadili chama dampo kama CDM kwani wanataka hadi lowasa kweli hiki sio chama bali kipo kwa mslahi binafsi ya wachaga.[/QUOTE]

Join Date : 26th April 2012
Posts : 17
Rep Power : 304
Likes Received 1
Likes Given 0

unakurupuka tu ulikotoka unadhani hiki ni kijiwe cha kunywea kahawa. Hii siyo sehemu ya umbea na majungu yapeleke kwenye magazeti ya udaku
 
Hakuna haja ya kujadili chama dampo kama CDM kwani wanataka hadi lowasa kweli hiki sio chama bali kipo kwa mslahi binafsi ya wachaga.

dogo kuwa makini na kauli zako,ccm waliwatukana watz majibu yao wanaendelea kukabidhiwa na wewe utapata majibu muda si mrefu.
wa tz wameshaaamua mkombozi wao ni fulani wewe unakuja na kejeli toka chooni bila hata kuchamba.
 
Mimi ningewashauri wanachama wa CCM wabakie CCM wala wasikimbilie kokote, in AMERICA democrats wakipigwa chini na republicans hua wanachama wa democractic party hawakimbilii republicans all they do is regroup wanakaa chini wanaangalia walikosea wapi na kwanini wananchi hawakuwachagua then wanapanga mikakati na kua tayari katika uchaguzi zijazo na unakuta mara nyingi wanawapiga chini republicans wanachukua tena nchi watu wanaendelea hivyo hivyo

CCM ikishindwa uchaguzi 2015 hiyo sio mwisho wa CCM, they will regroup kuna vijana wachapa kazi sana huko kama akina nape...tena wakipigwa chini wakawa kwenye opposition huo ndio utakua mda mzuri wa kuondoa mafisadi kukisafisha chama kupanga mikakati upya ya jinsi ya kuchukua nchi tena 2020 watakua wamejipanga fresh watasimama mbele za wananchi waombe kura zao na wajieleze kua toka tumeshindwa uchaguzi tulijipanga hivi matatizo yetu ya rushwa na ufisadi tumeyatoa hakuna fisadi tena tumesikiliza matakwa yenu na sasa tuko tayari kurudi kwenye power...hiyo ndio democracy...kumbukeni asiyekubali kushindwa si mshindani so ccm ikubali siku moja itashindwa na chadema wakichukua nchi tunaangalia miaka 5 watafanya nini tusipopendezwa nao wanapigwa chini 2020 tunaweka chama kingine...hiyo ndio democracy ilivyo kwenye nchi za ulaya hakuna kosa hapo....kosa ni kua na monopoly ya chama kimoja for 50years that's not healthy for competition/accountability or developments at all.
 
Hakuna haja ya kujadili chama dampo kama CDM kwani wanataka hadi lowasa kweli hiki sio chama bali kipo kwa mslahi binafsi ya wachaga.
Unajidanganya mwenyewe, ukweli uko rohoni mwako,ndio maana unaumia namna hiyo.
Mawazo yenu haya ya k****si ndio yanafanya chama chenu kinakufa! Mmezoea kuwadanganya wananchi badala ya kuwaambia ukweli, matokeo yake wananchi wameshawagundua.
After all umelipwa kiasi gani, kama kawaida ya ccm? au ni hofu ya kitumbua kuingia mchanga?
 
hapana mkuu" chama chetu CCM bado kipo imara sana kuliko hata jinsi unavyodhani kwani hata hao wanaohama ni magamba na walikuwa ni mzigo kwa chama
 
Hakuna haja ya kujadili chama dampo kama CDM kwani wanataka hadi lowasa kweli hiki sio chama bali kipo kwa mslahi binafsi ya wachaga.

Hujambo rejao/Ritz? Naona mmoja wenu amefungua ID mpya, au ndo Nape mwenyewe. Karibu jamvini
 
[QUOTE=Pepe lurve;3786876]Hakuna haja ya kujadili chama dampo kama CDM kwani wanataka hadi lowasa kweli hiki sio chama bali kipo kwa mslahi binafsi ya wachaga.

Join Date : 26th April 2012
Posts : 17
Rep Power : 304
Likes Received 1
Likes Given 0

unakurupuka tu ulikotoka unadhani hiki ni kijiwe cha kunywea mw
 
Mimi ningewashauri wanachama wa CCM wabakie CCM wala wasikimbilie kokote, in AMERICA democrats wakipigwa chini na republicans hua wanachama wa democractic party hawakimbilii republicans all they do is regroup wanakaa chini wanaangalia walikosea wapi na kwanini wananchi hawakuwachagua then wanapanga mikakati na kua tayari katika uchaguzi zijazo na unakuta mara nyingi wanawapiga chini republicans wanachukua tena nchi watu wanaendelea hivyo hivyo

CCM ikishindwa uchaguzi 2015 hiyo sio mwisho wa CCM, they will regroup kuna vijana wachapa kazi sana huko kama akina nape...tena wakipigwa chini wakawa kwenye opposition huo ndio utakua mda mzuri wa kuond
 
Hakuna haja ya kujadili chama dampo kama CDM kwani wanataka hadi lowasa kweli hiki sio chama bali kipo kwa mslahi binafsi ya wachaga.

Umeingia JF kwa wimbi la wana magamba kuhamia kwenye magwanda; kachukue mshiko wa leao kwa Nepi.
 
Big Up sana Mkuu Gurudumu,

Wazo MAKINI sana hii hivyo CHADEMA Makao Makuu msisite kulifanyia kazi kwa ustawi maridhawa zaidi kwa chama chetu.

Kuna taarifa takribani kila wiki za ama wanachama au viongozi wa CCM kuhamia Chadema. Hadi sasa imechukuliwa kwamba ni jambo jema. Wengi wanalihisisha na kazi ya "Mungu"

Nilitarajia kwa kasi hiyo ya kuhamia, Chadema wangekuwa wametangaza mkakati wa kuwapokea, na kuwapunga mapepo ya CCM. Au kuimarisha uongozi katika maeneo ambao Chadema imepokea wanachama wengi kutoka CCM.

Hayo siyo ya msingi sana! Tatizo ninaloliona mimi ni kwamba Chadema hivyo inakua na kupanuka kwa kasi na namna ambayo hawakutarajia. Hivyo kuna hatari ya kuanguka badala ya kuimarika, pengine katika maeneo fulani. Wakashindwa kuhimili growth.

Isipokuwa pia kama Chadema ikifanikiwa basi pengine itakuwa imetuonesha, japo kidogo kwamba wao wanajua na wana uwezo aw kutawala tofauti na CCM. Ingawa hiyo haitatuthibitishia kwamba wanaweza kuongoza nchi, japo tungependa kuwajaribu kama tutapata ahuweni ya matatizo tuliyo nayo sasa

Hivyo kuhamia kwa wingi wanachama wa CCM Kwenda Chadema ni fursa kwa Chadema kutuonesha uwezo wao
 
Siku nikikutana na ww nakupa bisibisi ya ****** ****** ww watu wanaumia na hiyo ccm yako ww uleta us@?§£e
 
Back
Top Bottom