Wimbi la CCM kuhamia CHADEMA ni Fursa ya Kupima uwezo wa Chadema

Kuna taarifa takribani kila wiki za ama wanachama au viongozi wa CCM kuhamia Chadema. Hadi sasa imechukuliwa kwamba ni jambo jema. Wengi wanalihisisha na kazi ya "Mungu"

Nilitarajia kwa kasi hiyo ya kuhamia, Chadema wangekuwa wametangaza mkakati wa kuwapokea, na kuwapunga mapepo ya CCM. Au kuimarisha uongozi katika maeneo ambao Chadema imepokea wanachama wengi kutoka CCM.

Hayo siyo ya msingi sana! Tatizo ninaloliona mimi ni kwamba Chadema hivyo inakua na kupanuka kwa kasi na namna ambayo hawakutarajia. Hivyo kuna hatari ya kuanguka badala ya kuimarika, pengine katika maeneo fulani. Wakashindwa kuhimili growth.

Isipokuwa pia kama Chadema ikifanikiwa basi pengine itakuwa imetuonesha, japo kidogo kwamba wao wanajua na wana uwezo aw kutawala tofauti na CCM. Ingawa hiyo haitatuthibitishia kwamba wanaweza kuongoza nchi, japo tungependa kuwajaribu kama tutapata ahuweni ya matatizo tuliyo nayo sasa

Hivyo kuhamia kwa wingi wanachama wa CCM Kwenda Chadema ni fursa kwa Chadema kutuonesha uwezo wao

Ukifanikiwa kumtia kwapani MESSI,XAVI & INIESTA.. Barcakwishaaaa./
Ukifanikiwa kuliteka bunge,upinzani ukaunga mkono hoja,na Wananchi wakaunga mkono harakati zako,CCM Kwishneeeey.
 
Hakuna haja ya kujadili chama dampo kama CDM kwani wanataka hadi lowasa kweli hiki sio chama bali kipo kwa mslahi binafsi ya wachaga.
mambwa asipobweka itabidi umtupe huyo si mlinzi wa kutisha wewe mjumbe wa ccm hizo ni za lusinde na watu kama wewe kasome gazeti la uhuru na tbc1 pole huna chako humu aliyekuroga alishaoza
 
wakichukua nchi tunaangalia miaka 5 watafanya nini tusipopendezwa nao wanapigwa chini 2020 tunaweka chama kingine...hiyo ndio democracy ilivyo kwenye nchi za ulaya hakuna kosa hapo....kosa ni kua na monopoly ya chama kimoja for 50years that's not healthy for competition/accountability or developments at all.

A very good perspective!. No group of people should think they could own this country forever.
 
Kama alivyowahi kusema Dr Slaa hivi karibuni" Tutakuwa(CHADEMA) makini kupokea wanaohamia kwetu. Ni uzao wa mafisadi, tutengeneze vijana wetu wapya. Hao NOMADS watawaambukiza ***** na ukurutu waliotoka nao CCM. Mungu ibariki CHADEMA na viongozi wake vijana wanaotaka mageuzi ya kumsaidia mtz maskini.ALUTA......
 
Hebu nitajie mtu hata mmoja tu ambaye ni makini huko Chadema, yaani vilaza type ya Slaa ndiyo unawaita watu makini?. Kama hali ni hiyo bora hata kusiwepo na vyama vya upinzani, kibaki CCM tu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Bila shaka wewe unafaidi ulaji wa wizi wa maghamba, kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kusuport uozo wa CCM!!!!Kuna kitu maslahi unapata tena kikubwa sio bure, au ni kilaza wa kutupwa kama huoni wizi na ufisadi wa CCM na makada wake wanaofilisi nchii wewe unashabikia tuuu!!!!!

 
Mimi ningewashauri wanachama wa CCM wabakie CCM wala wasikimbilie kokote, in AMERICA democrats wakipigwa chini na republicans hua wanachama wa democractic party hawakimbilii republicans all they do is regroup wanakaa chini wanaangalia walikosea wapi na kwanini wananchi hawakuwachagua then wanapanga mikakati na kua tayari katika uchaguzi zijazo na unakuta mara nyingi wanawapiga chini republicans wanachukua tena nchi watu wanaendelea hivyo hivyo

CCM ikishindwa uchaguzi 2015 hiyo sio mwisho wa CCM, they will regroup kuna vijana wachapa kazi sana huko kama akina nape...tena wakipigwa chini wakawa kwenye opposition huo ndio utakua mda mzuri wa kuondoa mafisadi kukisafisha chama kupanga mikakati upya ya jinsi ya kuchukua nchi tena 2020 watakua wamejipanga fresh watasimama mbele za wananchi waombe kura zao na wajieleze kua toka tumeshindwa uchaguzi tulijipanga hivi matatizo yetu ya rushwa na ufisadi tumeyatoa hakuna fisadi tena tumesikiliza matakwa yenu na sasa tuko tayari kurudi kwenye power...hiyo ndio democracy...kumbukeni asiyekubali kushindwa si mshindani so ccm ikubali siku moja itashindwa na chadema wakichukua nchi tunaangalia miaka 5 watafanya nini tusipopendezwa nao wanapigwa chini 2020 tunaweka chama kingine...hiyo ndio democracy ilivyo kwenye nchi za ulaya hakuna kosa hapo....kosa ni kua na monopoly ya chama kimoja for 50years that's not healthy for competition/accountability or developments at all.
Ulivyo sema ni sawa kabisa mkuu lakini hapa kwetu utamaduni huo haupo ni kama hadithi vile, tena watu hawa wana wasiwasi watapoteza vingi na wengi wanaogopa kupelekwa kolokoni na mahakamani!!!! Ni vigumu kukubali kiurahisi madhambi yao ni mengi mmno yanatisha, nguvu ya umma ndio dawa yao!!!! The wind of change is blowing, no one can stop it exept God!!!!!

 
Back
Top Bottom