WILLIAM MALECELA na USHIRIKI WAKE UMILIKI WA JAMII FORUMS ANA UKWELI WA DOCUMENTS

Ina maana William Malecela harudi tena USA? manake ni kitambo sana tangu atie timu bongo, au mwenzetu kachukua likizo isiyokuwa na malipo? I pity him, tumshaurini ni mwenzetu yule.

Umeona USA alikuwa anafanya kazi kwa contracts zikiisha hana kazi; na Mzee anatuma hela za kumtunza... au anacollet

UNEMPLOYMENT Miezi 6 au 9 anapata tena hizo contracts hapo UN kwa kutumia UBALOZI wa TANZANIA anapata kazi kwa

Miezi 4 au 6 halafu kazi ikiisha Unaenda kukollect tene UNEMPLOYMENT Sasa anasema kuwa yeye na MTOTO wa aliyekuwa

MBUNGE wa CCM wa ILEMELA ndio waliokuwa waanzilishi wa JAMII FORUMS; Na wanakwenda kwenye CHOMBO

Cha USAJILI Tanzania kujiondoa na PIA kuivunja JAMII FORUMS; lakini anasema alipojitoa Jamii Forums na kuanzisha WEB SITE

yake anasema kuwa aliondoka na SHARE's za JAMII FORUMS na pia WADHAMINI kwahiyo imemwezesha kuanzisha website

bure... INASHANGAZA....
 
Kama alianzisha ni alianzisha tu hatuwezi kuufuta ukweli huu licha ya mapungufu yake ukweli ni lazima usemwe,ni sawa sawa leo mzee mtei licha mawazo yake kuwa mpauko kujaribu kuufuata ukweli kwamba hakuanzisha chadema
 
Isije ikawa anachanganya kati ya JF na Ze Utamu!!

Nafikiri anatafuta "ntoke vipi"
 
Mkuu hapo kwenye RED wala asije akajidanganya kuwa na mawazo hayo, hilo ndilo jimbo langu ninaloishi na mwaka 2015 IshaAllah nitaongoza mapambano mimi mwenyewe na Makongoro Mahanga analijuwa hili very clear, ni jukumu la Chadema kutupatia mgombea safi sisi kazi ya kumuendorse tumeshaikamilisha.

Huyo bwegge anaclaim ana banda lake huko Kinyerezi sasa Mkuu huwezi kujiuliza hivi mtu kama umejenga kweli ungeendelea kujibanza kwa Baba? heshima iko wapi? yaanio Anne Kilango ashindwe kumvalia Mzee Malecela kanga moja sebuleni kisa Willy anaangalia TV? Jamani tupeane space bandugu.
kwi! kwi kwi! ah! ah ah ah ah!
 
Sasa umiliki au usimiliki tatizo ni nini? watanzaia bwana. Huu umiliki ni hoja kama mmezurumiana huko mapato yenu yanayoingizwa na jf.

wewe hujui tatizo nini? hapo kuna pesa za matangazo. ukishaona ivo ujue tayari wamesha zunguukana ndio maana wameanza kurumbana. Yetu macho na masikio. kama kweli yeye ni mmiliki ebu tuambie kama malengo ya kuanzisha ilikuwa ni nini.
 
DUUUUH Kumbe bado watu mnahangaika na huyu mtu mwenye IQ sawa na Mtoto wa darasa la nne
 
Back
Top Bottom