WILLIAM MALECELA na USHIRIKI WAKE UMILIKI WA JAMII FORUMS ANA UKWELI WA DOCUMENTS

...Kinachonishangaza ni kwanini Baba yake Mzee Malecela na dada zake William akina Mwele, Seche etc hawakemei ujuha unaofanywa na huyu jamaa kila kukicha.
MKuu BAK,
Mtoto akishafikisha miaka over 40 years, hopeful anakaribia 50 au kashailamba. Sasa huyu tayari ana mji wake na familia unafikiri utamwambia nini? Huyu anaonekana kabisa kuwa hawezekaniki!!! Dada zake wote ni wasomi wazuri kama ulivyosema mkuu na hutawasikia hata kidogo wakijitokeza kwa mambo ya kishenzi kama haya. Naamini kabisa hata hiyo mipicha yake ya Facebook na hawa mabinti sidhani kama wanayafurahia ukizingatia ni mtu ana mke na watoto. Eti watakuambia ni watoto wa familia za kitajijiri na ubalozi walishaonza so ni kizungukizungu!!! Uafrika hawana. But always baba ni kichwa cha nyumba na mfano uoneshe!!! Bravo William.
 
kama kuna kitu chief mazengo alikosea ni hapa!
aligoma kuwapeleka watoto wake shule kwa kuwaonea huruma watapata tabu na kuangaika hivyo
akaamua awapeleke watoto wa wachungaji yaani vibarua wakaangaike na wadhungu. kumbe ndo akawapa maisha
sasa tatizo lina kuja hivi... kwasababu wakinamalechela hawakutokea kwenye uchifu ni kwamba wanajikuta hawakulelewa katika familia ya kujitoa kwa wengine na muda wote wamekuwa watu wakukumbatia ili walivyonavyo visipotee
matokeo yake wamewaacha wagogo waskini na wao wakiwa matajiri wa kutupwa.
yapo mengi yanaweza kuelezwa kuhusu familia hii ikilinganishwa na umaskini wa wagogo ikiwa ni pamoja na kukosa viwanda lakini ubinafsi hauna maana. ndo ulioufikisha nchi kwenye shida
hebu fikiria chifu mazengo jamii yake haijawahi kurudi kwenye utawala labda ujumbe wa nyumba kumi kwa kuwa nahisi waligandamizwa na kumezwa kwa njia moja au nyingine.
kwa leo naishia hapa mkiendelea kubishana natua na bomu lingine bora mnyamanze

Haswa umenena mkuu,Dodoma maskini wa kutupwa halafi hii mifisadi ya kina Malecela inajiona Mungu mtu. Sasa kwa kuwa walilalia SIASA na baba ameshastaafu SIASA imekula kwao. Watabaki na mali hizo na mtu kama Le Mutuz anapenda matanuzi sijui kama ataendeleaza kitu hapo. Labda kama kaka zake kama wapo??!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nasikia wako wengi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
...Unachosema ni kweli kabisa Mkuu, lakini kuna wengine hata katika umri huo mkubwa bado huwa na akili za kushikiwa na hivyo wanahitaji kuwekewa vikao na wanafamilia kila mara ili kuhakikisha hawapotoki.

MKuu BAK,
Mtoto akishafikisha miaka over 40 years, hopeful anakaribia 50 au kashailamba. Sasa huyu tayari ana mji wake na familia unafikiri utamwambia nini? Huyu anaonekana kabisa kuwa hawezekaniki!!! Dada zake wote ni wasomi wazuri kama ulivyosema mkuu na hutawasikia hata kidogo wakijitokeza kwa mambo ya kishenzi kama haya. Naamini kabisa hata hiyo mipicha yake ya Facebook na hawa mabinti sidhani kama wanayafurahia ukizingatia ni mtu ana mke na watoto. Eti watakuambia ni watoto wa familia za kitajijiri na ubalozi walishaonza so ni kizungukizungu!!! Uafrika hawana. But always baba ni kichwa cha nyumba na mfano uoneshe!!! Bravo William.
 
...Kinachonishangaza ni kwanini Baba yake Mzee Malecela na dada zake William akina Mwele, Seche etc hawakemei ujuha unaofanywa na huyu jamaa kila kukicha.
Baba yake ndio mwenye matatizo, haiwezekani jitu kubwa zima with 51 years old bado Baba yake ana entertain ujinga wa kumuaccomodate huyu pumbavu nyumbani kwake Mzee Malecela Upanga sea view.
Labda niwaulize wadau hivi jambo la kawaida jitu lenye miaka 51 kukaa nyumbani kwa Baba yake? this is not normal.
 
...Unachosema ni kweli kabisa Mkuu, lakini kuna wengine hata katika umri huo mkubwa bado huwa na akili za kushikiwa na hivyo wanahitaji kuwekewa vikao na wanafamilia kila mara ili kuhakikisha hawapotoki.

Nakuaminia mkuu BAK,
Basi hiyo familia ifanye haraka kumsaidia kijana maana dira hana!!!!! Na wamwambie kama anataka kujaribu siasa za majitaka za SSM kwa gear aliyo nayo atatoswa tu na wananchi kama si wao kwa wao!!! Awe mpole na busara pia ataweza kufanikiwa.
 
...Mkuu Matola kumbuka damu nzito kuliko maji. Jamaa USA ndio kumemshinda Baba naye akimtema basi labda itabidi ahamie kwa mmoja wa dada zake ili wamsitiri.

Baba yake ndio mwenye matatizo, haiwezekani jitu kubwa zima with 51 years old bado Baba yake ana entertain ujinga wa kumuaccomodate huyu pumbavu nyumbani kwake Mzee Malecela Upanga sea view.
Labda niwaulize wadau hivi jambo la kawaida jitu lenye miaka 51 kukaa nyumbani kwa Baba yake? this is not normal.
 
Last edited by a moderator:

Kwa mwanume wa kiafrika ni aibu na ufala wa kutupwa. Heshima hana kabisa, wanamdharau ila hajui!!! Kwani si ana makazi Segerea au ni masikio yangu? Na ndiko anataka ajiimarishe kisiasa kama si Kigamboni!!!!! Ha ha ha Le Mutuz -Sauti ya Umeme!!
 
...Mkuu Matola kumbuka damu nzito kuliko maji. Jamaa USA ndio kumemshinda Baba naye akimtema basi labda itabidi ahamie kwa mmoja wa dada zake ili wamsitiri.

Kwa dada, yaani kwa shemeji yake? Yaani huyu mwanaume aoe dada na kaka aje kujipachika? Si wathungu hawa? Another grenade!!
 
Kwa mwanume wa kiafrika ni aibu na ufala wa kutupwa. Heshima hana kabisa, wanamdharau ila hajui!!! Kwani si ana makazi Segerea au ni masikio yangu? Na ndiko anataka ajiimarishe kisiasa kama si Kigamboni!!!!! Ha ha ha Le Mutuz -Sauti ya Umeme!!
Mkuu hapo kwenye RED wala asije akajidanganya kuwa na mawazo hayo, hilo ndilo jimbo langu ninaloishi na mwaka 2015 IshaAllah nitaongoza mapambano mimi mwenyewe na Makongoro Mahanga analijuwa hili very clear, ni jukumu la Chadema kutupatia mgombea safi sisi kazi ya kumuendorse tumeshaikamilisha.

Huyo bwegge anaclaim ana banda lake huko Kinyerezi sasa Mkuu huwezi kujiuliza hivi mtu kama umejenga kweli ungeendelea kujibanza kwa Baba? heshima iko wapi? yaanio Anne Kilango ashindwe kumvalia Mzee Malecela kanga moja sebuleni kisa Willy anaangalia TV? Jamani tupeane space bandugu.
 
Galagabaho, sure mkuu. Yaani hakikisheni kuwa hagusi Segerea kabisa. Mipango iwekeni mapema na mimi nitawapa maoni kabisa. Eti kubwa zima linakaa kwa wazee wakati wazee wanataka privacy zao. Akapange, si alikuwa majuu hela hana!!?? Kachacha sasa anataka kuivamia JF. Hata kama JF leo hii ingetokea JF haina hela wako wasamaria wangeichangia tu na asitake kuiaibisha JF!! Kuna members wa maana ati ambao tumejenga nyumba na familia zetu tunaitwa baba, head of the house!!!.
 
Invisible yupo wapi aje atoe maelezo?

Invisible atakuwa anashughulikia mambo ya maana. Le Mtutuz si saizi yake. Mbona sisi tu tunatosha kumthibiti!!! Mwambieni aje hapa aone anavyochambuliwa kama karanga!!! Tena mengi tunayajua tunamsitiri tu huyo the Le baharia!!
 
...Kinachonishangaza ni kwanini Baba yake Mzee Malecela na dada zake William akina Mwele, Seche etc hawakemei ujuha unaofanywa na huyu jamaa kila kukicha.

Huwezi kumchunga mtu mzima kama ng'ombe faza.
 
Back
Top Bottom