Wilaya ya Tunduru hali si shwari

mimi binafsi nimeisha kaa TUKUYU kule nguruwe kama kuku mnapishana mtaani lakini walio wengi pale ni wala NGURUWE hakuna anaejali lakini huwezi waachi ovyo NGURUWE sehem wengi sio wafugaji wa hao WADUDU lazima itakughalim MKUU kubali kua kuna kasoro ndio maana tatizo linazaliwa.. na kufuga NGOMBE eneo la WAKULIMA

Nimekusoma mkuu, sasa na swala la kuua kwa kunyonga kuku 90 huku wakijua kuwa ni kuku na sio nguruwe nalo tunalisemeaje? Hao nguruwe poa tu maana wanapingana na imani ya watu. Sasa kuku na magari ilikuwaje tena?
 
Chuki binafsi

Ukiwachunguza hawa waliofanya hili zoezi utagundua kua hawana mashiko hata kwenye huo uisla wenyewe.Ni wanafki tu.
 
ww umeisha zowea kulala na NDAMA CHUMBANI kwahiyo ni utamaduni wako ww kwa ajili ya ww..usilazimishe unavyo taka ww ndio watu ote wale SHWAHINI HUYO..

mh una uelewa mgume eeh??nan kakuambia wewe ule?halafu huko kulikotajwa unakujua wewe mpaka ukufananishe na Kariakoo?na kama wewe ukifugia kariakoo unachomewa moto au mamlaka husika zinakuondoa?acha utoto kwa kutulazimisha unachokiamini na sisi tukiamini.nikiamua kufuga na kula nyoka ni mimi wewe inakuhusu nini?nikiamua kula kokoto ni mimi wewe inakuhusu nini?ajabu sana.
 
Hii ndiyo Danganyika nchi inayodaiwa eti ni kisiwa cha amani. I wapi iyo amani tunayojivunia? Wapo wapi askari wa jeshi la polisi? Au wanasubiri mikutano ya CHADEMA ndipo watoke huko makambini na silaha zao? Hakika CCM na serikali yake wameshindwa kulinda usalama wa raia na mali zao,waondoke.
 
mh una uelewa mgume eeh??nan kakuambia wewe ule?halafu huko kulikotajwa unakujua wewe mpaka ukufananishe na Kariakoo?na kama wewe ukifugia kariakoo unachomewa moto au mamlaka husika zinakuondoa?acha utoto kwa kutulazimisha unachokiamini na sisi tukiamini.nikiamua kufuga na kula nyoka ni mimi wewe inakuhusu nini?nikiamua kula kokoto ni mimi wewe inakuhusu nini?ajabu sana.

Mkuu, huyu rafiki yangu anachokijua au kukiamini yeye ndo anataka kifatwe na watu wote. Halafu madai yao huwa yanakosa mashiko kwani nadhani hawakai (bila jazba) na kupanga mambo yao before implementing. Mfano
1. Unaposema hutaki nguruwe, nenda kachome nguruwe tu. Sasa unapoanza ku short circuit nyumba za watu ili ziungue, kuchoma magari na kunyonga kuku tukueleweje?
2. Unapokuja juu kuwa dini yako imekashifiwa wakati kila siku we ndo kinara wa kufunga loud speaker na kusema dini za wenzio tuelewe nini?
3. Unapokataa muungano (hata mi siutaki), njoo na hoja sio unakuja na kiberiti kuchoma makanisa. Sasa unakataa muungano au makanisa?
 
well said mkuu.
sina la kuongezea hapo kwa kweli.
 
Back
Top Bottom