Wilaya ya Tunduru hali si shwari

kafuge ngaruwe zanzibar au mafia au kilwa au bagamoyo igunga usilazimishe biashara yako wewe kila mtu aipende tueshim na tamaduni za watu mlio wakuta pale ....fuga ngombe au nyoka .... Likini ukifuga simba watu wasio mtumia wata wazuru na mwisho watawachoma moto pia ndio maana kule ..syria .egypt ..iraq ..lebanon kuna sehem imetegwa kwa waislam na wakristo....fuga hata panya nyoka .nk

Na wale kuku na magari yaliyochomwa je? Mkuu usiwe na double standards. We ni nani hadi useme mahali fulani marufuku kufugia mfugo fulani? Kwani hayo mabanda yalikuwa kwenye viwanja vya misikiti?
 
Kwahiyokariakoo na magomeni kuna utamaduni gani ulio tofauti na utamaduni wa Kimara?
Auutamaduni wa uchafu.

Twende zenji nikakuonyeshe sehemu nguruwe wanapofugwa na kuna vijiwe kibao vya kutafuna mdudu.

Zenji mbona mbali hivo? Hiyo kariakoo mbona mabanda ya nguruwe yapo? Au yeye anaijua kariakoo shimoni tu?
 
Na wale kuku na magari yaliyochomwa je? Mkuu usiwe na double standards. We ni nani hadi useme mahali fulani marufuku kufugia mfugo fulani? Kwani hayo mabanda yalikuwa kwenye viwanja vya misikiti?

yaaani ukiendelela kujibishana na huyu "filonos" utakuwa unapotea muda wako bure, ana ilmu ya kukaririshwa ndiyo maana anaongea jazba na pumba mno.
 
hakika hizi ni dalili kuwa serikari imejisahau. hivi kama we huli nguruwe anaekula hana haki ya kufuga alacho. kama wewe hupendi si serikari ipo. Tunduru naifahamu vyema wilaya yenye ubinafsi mkubwa kati ya wazawa na wageni kitu kizuri Tunduru lazima kifanywe na mzawa mgeni hatakiwi. ndo mana hakuna maendeleo watu wamekalia majungu tuuu na ujinga jiulizeni kwa idadi ya walaji wa nguruwe wachache waliopo huko kwanini sasa soko la nguruwe ni kubwa sana
 
angalau wewe umeeleza ukweli wa tatizo la TUNDURU kuwa tatizo ni hao wanaojiita wazawa kutopenda maendeleo na hivyo kutopenda wakuja afanye maendeleo ndiyo maana wanachoma nyumba za watu, magari na hata kuua kuku, hili la kuua nguruwe ni kisingizio cha kupata muslim sympathizers, nashaiuri taasis mahili za kiislam zikemee hili.
 
Na wale kuku na magari yaliyochomwa je? Mkuu usiwe na double standards. We ni nani hadi useme mahali fulani marufuku kufugia mfugo fulani? Kwani hayo mabanda yalikuwa kwenye viwanja vya misikiti?

wewe kabla ya kuamua TAFAKARI KWANZA sio ote wamezoea kulala na ndama CHUMBANI hayo mazowea yahache huko kwenu
 
Zenji mbona mbali hivo? Hiyo kariakoo mbona mabanda ya nguruwe yapo? Au yeye anaijua kariakoo shimoni tu?

wewe hacha kujiongopea kariakoo kuna mitaaa sio kuijiji au uijui kariakoo?? taja mtaa gani wanafuga ngurue??ndivyo unavyo waongopea wenzio??? NDIO maana hata tongotongo hazijatoka kwa macho yako
 
wewe kabla ya kuamua TAFAKARI KWANZA sio ote wamezoea kulala na ndama CHUMBANI hayo mazowea yahache huko kwenu

Kwa hiyo hata magari nayo hayaruhusiwi Tunduru siku hizi? Usiwe mwepesi kutetea kila jambo kwa vile tu limefanywa na wenzio.
 
wewe hacha kujiongopea kariakoo kuna mitaaa sio kuijiji au uijui kariakoo?? taja mtaa gani wanafuga ngurue??ndivyo unavyo waongopea wenzio??? NDIO maana hata tongotongo hazijatoka kwa macho yako

Mkuu mbona mwepesi kupandisha jazba? Twende taratibu. We umezoea mabanda yaliyojengwa kwa mabao eeenh! Nenda gerezani karibu na Dar sec. Au unataka nikwambie hadi block number ili mkayachome nayo? Halafu we unaijua kariakoo ndo kuna mitaa peke yake? Mbona hadi tandale tumbo kuna mitaa?
 
hata AMERICA..NEW.YORK nguruwe hawafugwI kwenye makazi ya watu imetegwa miji maalum kwa ajili ya hao SHWAHINI nenda TEXAS Utakuta nguruwe JAPAN TOKYO kakuna nenda MIMASE utawakuta.
 
Fine mkuu labda watu wa mipango miji wamelala ndo maana hawajawachukulia hatua wanaokiuka. Sasa, na yale magari mawili nayo vipi? Nayo hayaruhusiwi Tunduru? Na wale Kuku 90 walionyongwa je? Also kama wamekiuka sheria kwanini wachome usiku wa manane?
 
Mkuu unaweza kutuelezea tatizo lilianzia vipi?.....kwa sababu siamini kuwa hawa watu waliamka tu ghafla na kuanza kuchoma moto nguruwe, lazima kutakuwa kuna sababu nyuma yake, na ndio ninayoitaka kuijua.
Tafadhali nijuze.
 
Mkuu, hawa jamaa Waliochoma hawajakamatwa au kujitokeza ili watuambie ni kwanini wametekeleza hayo. Naheshimu imani za watu ndo maana nikasema nguruwe hawaruhusiwi kwa waislam so penye nguruwe automatically patamkera muislamu. Sasa kuku na magari navyo vimekatazwa katika kitabu gani?
 
............kosa lao ni kwa nini walichanganyika na nguruwe! huku Dar baada ya kile kitim tim cha Mwembe chai, sasa hivi hakuna kabisa mabucha mitaani !:yo:
 
hakika hizi ni dalili kuwa serikari imejisahau. hivi kama we huli nguruwe anaekula hana haki ya kufuga alacho. kama wewe hupendi si serikari ipo. Tunduru naifahamu vyema wilaya yenye ubinafsi mkubwa kati ya wazawa na wageni kitu kizuri Tunduru lazima kifanywe na mzawa mgeni hatakiwi. ndo mana hakuna maendeleo watu wamekalia majungu tuuu na ujinga jiulizeni kwa idadi ya walaji wa nguruwe wachache waliopo huko kwanini sasa soko la nguruwe ni kubwa sana

Mkuu acha lugha za kinafiki tunduru ina wageni wengi tu na ndio wanaofanya maendeleo kwa asilimia kubwa na hakuna mgeni ambae amewahi kunyanyasika kwa ugeni wake,pia hata hao wanaofuga nguruwe wengi ni wazaliwa wa hapa hapa tunduru,mtu kama Thomas Mumba au Godfrey Mgao ambao ndio wauzaji maarufu wa kiti moto tunduru ni wazaliwa wa hapa hapa tunduru.hoja yako haina ukweli zaidi umelenga kuwapaka matope wanatunduru ambao kiasili ni watu wapole na wakarimu kuliko mtanzania yeyote.
 
............kosa lao ni kwa nini walichanganyika na nguruwe! huku Dar baada ya kile kitim tim cha Mwembe chai, sasa hivi hakuna kabisa mabucha mitaani !:yo:

mimi binafsi nimeisha kaa TUKUYU kule nguruwe kama kuku mnapishana mtaani lakini walio wengi pale ni wala NGURUWE hakuna anaejali lakini huwezi waachi ovyo NGURUWE sehem wengi sio wafugaji wa hao WADUDU lazima itakughalim MKUU kubali kua kuna kasoro ndio maana tatizo linazaliwa.. na kufuga NGOMBE eneo la WAKULIMA
 
angalau wewe umeeleza ukweli wa tatizo la TUNDURU kuwa tatizo ni hao wanaojiita wazawa kutopenda maendeleo na hivyo kutopenda wakuja afanye maendeleo ndiyo maana wanachoma nyumba za watu, magari na hata kuua kuku, hili la kuua nguruwe ni kisingizio cha kupata muslim sympathizers, nashaiuri taasis mahili za kiislam zikemee hili.

maendeleo unayo yajua ww ni kufuga NGURUWE kwenye makazi ya watu??? ww.unapata pesa kwahiyo HARUFU je hao MJIRANI wanafaidika na nini ...???
 
Huku nikuharibu sifa ya uislam na waisilam kama tatizo kufuga mtaani mbona kuna sheria za ufugaji, fuatilieni kisheria waondolewe kisheria. Na kila mtu angejua ni vibaya kufuga mtaani, naamini ni kundi dogo la waisilamu wanaouchafua uisilam, na kama ningekua na mamlaka ningevunja mou inayolalamikiwa kwasababu selikali kushindwa kujenga hosptal zake, na kuzidumaza hospital za makanisa, na selikali hailaumiwi linalaumiwa kanisa, ninaomba kanisa lijitoe mou na hospital za kanisa litatibu watu bila upendeleo kama zamani na kumtumikia mungu vema, swali kwa kundi linalochafua usilamu mnamwabudu vipi mungu kwa kuharibu mali za watu?
 
Back
Top Bottom