Wilaya ya Tunduru hali si shwari

Mkuu wa mkoa Polisi mkoa, mkuu wa wilaya na polisi wake katika wilaya mao hayo yanayotokea wanatakiwa wajihudhuru haiwezekani watu waendelee kufanya uovu huo wakaachwa. Hiyo si dini bali ushetani na pengine wahusika katika ngazi zao hizo ni dini moja na hao wahuni.
 
Hawa wasichanganye wala nguruwe ni hao hao. Nenda kawaulize wafanya biashara ya nyama ya nguruwe watakuambia kuwa wakati wa mwezi wa kubadilisha kula chakula kwa kusema wanafunga wafanya biashara hao biashara inakuwa ama haipo. Huo ni unafiki tu hakuna chochote wenyewe ndio wala nguruwe wakubwa. dini zingine za ajabu sana.
 
Kwani nyiye mlikatazwa kula au mlikatazwa watu wengine wasiwafuge?

hacha kutoka povu kama CHURA njoo basi ufuge hao nguruwe DAR ....KARIAKOO ..ILALA ..MAGOMEN..hapa Dar wafugaji wanakaa KIMARA ..TEGETA..GONGO LAMBOTO...sidhani ;....hapo kunaitajika elimu wacheni kuwafanya wajinga watu wuhuko TUNDURU nyie wafuga nguruwe ndio mumekosa Elim kwaujinga huo ilifika wakati MASAKI au O.BEY..AD.ESTATE watu wanafuga ngombe sasa hiyo ni elim au Ujinga???
 
Na Steven Augustino,Tunduru IMEELEZWA kuwa Serikali isipochukua hatua za makusudi kuzuia na kutuliza vitendo vya uchomaji wa mabanda ya Nguruwe,kuharibu mali za watu pamoja na kuchoma moto nyumba vinavyo endelea kwa siku tano mfululizo huenda wimbo wa amani na utulivu ambao umekuwa ukiimbwa kila pembe ya nchi yetu ukatoweka hususani maeneo ya Wilayani hapa.

Minong'ono na kauli za baadhi ya Wananchi kuanza kukosa uvumilivu imeanza kujitokeza kufuatia matukio hayo yanayo onesha kuhatarisha amani yanayo jitokeza mjini hapa huku vikundi vinavyo daiwa kutumia mwamvuli wa madhehebu ya Waislamu wenye msimamo mkali kuendelea kuvamia na kuchoma moto makazi ya watu na mazizi ya nguruwe.

Kwa mujibu wa matukio hayo katika kipindi hicho Jumla ya mazizi 24 yamelipotiwa kuteketezwa na moto ambao jumla ya nguruwe 61 wameuawa pamoja na kuunguza nyumba za makazi ya watu vyote vikakadiliwa kuwa na thamani kiasi cha zaidi ya milioni 11 vimehalibiwa na kuziacha familia husika zikirudi katika lindi la umasikini uliopindukia.

Wakiongea kwa nyakati tofauti, waathirika wa matukio hayo ambao wanaishi mitaa wa Nakayaya,Tuleane na Xtended mjini hapa, Luka Victor na Casian Asenga walisema kuwa kikundi hicho ambacho kimekuwa kikifanya matukio hayo majira ya usiku wa manane na kuharibu mali kwa kuchoma mazizi na nyumba zao na kuua nguruwe wameharibu na kuvuluga mifumo ya maendeleo yao.

Nae Douglas Mwasimba alisema kuwa wahalibifu hao wa mali zake walivamia katika nyumba yake majira ya saa nane usiku wakati amelala na kwamba alisikia nguruwe wanalia kwa pamoja kilio kilichoashiria tukio lisilo la kawaida na alipoamka na kuelekea kwenye mazizi aliona moto mkubwa na tayari nguruwe wake 38 walikuwa wameteketea na moto huo huku nguruwe 51 wakiwa wamejeruhiwa kwa kuunguzwa na moto huo.

Akielezea kwa masikitiko makubwa Thomas Mumba muuzaji maarufu wa nyama ya nguruwe mjini hapa, alisema kuwa kikundi hicho usiku huohuo kilifika kwake mnamo saa tisa na kilifanikiwa kuchoma zizi na kuua nguruwe 3 na kuwajeruhi wengine 5. Nako kwa Godfrey Mgao nguruwe 4 wameuawa na 5 wamejeruhiwa.

Aidha Kikundi hicho hakikuishia hapo kwani siku ya pili kiliendelea na kampeni yao hiyo hadi katika Mtaa wa Tuleane na kuchoma moto Mazizi ya Mradi wa Kanisa Angarikana wanaofugiwa katika nyumba ya mchungaji wa Kanisa Mch. Edwin Nakajumo pamoja na mazizi ya Afisa maendeleo ya Jamii Mary Ding'oi ambako walifanikiwa kuchoma mazizi na moto huo kudhibitiwa mapema.

Walisema inaonesha wazi walengwa wa matukio hayo ni Waumini wa madhehebu ya kikristo Siku ya tatu kikundi hicho kilirudi tena mtaa wa Nakayaya hadi kwa Mchungaji wa Kanisa La Biblia Mch. Yakobo Milanzi na -kufanikiwa kuchoma mazizi na kujeruhi nguruwe 8.

Haikutosha kikundi hicho kilifika mbali zaidi kwa kutaka kuua watu usiku wa siku iliyofuata kikudi hicho kilifika na kuunganisha umeme (to shorten) kwa makusudi na kuiunguza nyumba na Mashine ya kusaga mali ya Godfrey Christopher pia walifanikiwa kuteketeza kwa kuchoma moto nyumba ya Jastene Severin Magwinda Walifanikiwa na nyumba hiyo iliwaka moto.

Haikuleta madhara kwa binadamu kwani wote waliolala humo walinusulika kifo kutokana na tukio hilo.Usiku wa kuamkia jana kikundi hicho kimechoma magari mawili likiwemo la mkaguzi wa elimu ya msingi anaitwa haule na gari lingine la milinga kwakweli hali ilipofikia sio pazuri demokrasia inatoweka tunduru

Akizungumzia matukio hayo Mweyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama, Mkuu wa Wilaya hiyo Chande Nalicho mbali nakukiri kuwepo kwa matukio hayo aliwahakikishia wananchi wa mji waTunduru na Wilaya kwa ujumla kuwa serikali imejipanga kuhakikisha kuwa hali ya usalama inarejea katika hali ya kawaida.

Aidha Dc,Nalicho aliendelea kubainisha taarifa yake kuwa tayari serikali imeandaa mikakati mbalimbali ya kuhakiksiha kuwa watuhumiwa wa matukio hayo wana kamatwa ili sheria iweze kufuata mkondo wake na akatumia nafasi hiyo kuwaomba Wananchi kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa kwa kuwataja watuhumiwa kwa siri katika ofisi yake.


Ukiua ngurue, ukijilipua, ukiharibu mali za watu na kuleta fujo, ukatoa matusi ya nguoni kwa watu wasio wa dini yako na kuwatusi viongozi na waasisi wa dini zao utapata thawabu!!!!
 
kuanzia kesho nanunua 20 kuna banda langu pugu kuna watano; wakiuliwa serikali itaripa fidia
 
Serikali yetu sikivu iko wapi? Ingekuwa ni CDM wanaandamana ungesikia ni tishio la amani na FFU na polisi wengine hadi wanajeshi wangeminika kama nzige wa msimu. So sad?!!!!! but 2015 si mbali, hukumu itafaanyika baada ya kusoma proceedings za kesi!!!
 
hacha kutoka povu kama CHURA njoo basi ufuge hao nguruwe DAR ....KARIAKOO ..ILALA ..MAGOMEN..hapa Dar wafugaji wanakaa KIMARA ..TEGETA..GONGO LAMBOTO...sidhani ;....hapo kunaitajika elimu wacheni kuwafanya wajinga watu wuhuko TUNDURU nyie wafuga nguruwe ndio mumekosa Elim kwaujinga huo ilifika wakati MASAKI au O.BEY..AD.ESTATE watu wanafuga ngombe sasa hiyo ni elim au Ujinga???

Wewe huko Kariakoo kwako unafuga nini? Ngamia? Unawachungia wapi?
 
hacha kutoka povu kama CHURA njoo basi ufuge hao nguruwe DAR ....KARIAKOO ..ILALA ..MAGOMEN..hapa Dar wafugaji wanakaa KIMARA ..TEGETA..GONGO LAMBOTO...sidhani ;....hapo kunaitajika elimu wacheni kuwafanya wajinga watu wuhuko TUNDURU nyie wafuga nguruwe ndio mumekosa Elim kwaujinga huo ilifika wakati MASAKI au O.BEY..AD.ESTATE watu wanafuga ngombe sasa hiyo ni elim au Ujinga???

wewe ndiye unayetoka POVU kwa kuwadanganya watu kuwa ilala hakuna wafuga nguruwe!, kaangalie kama Ilala mchikichini pembezoni mwa soko kama hakuna nguruwe, haya ndo matatizo ya kupata ilmu ya kukaririshwa.
 
ww umeisha zowea kulala na NDAMA CHUMBANI kwahiyo ni utamaduni wako ww kwa ajili ya ww..usilazimishe unavyo taka ww ndio watu ote wale SHWAHINI HUYO..

kula mnawala kuliko hata mnavyokula kuku, mkiwa mbele ya wafadhiri wenu mwajifnya hamuwali!, eeeeeh, shame upon you, na mjue kwa hizo roho zenu za kupenda kuharibu vya watu, kiama chawangoja.
 
kafuge ngaruwe zanzibar au mafia au kilwa au bagamoyo igunga usilazimishe biashara yako wewe kila mtu aipende tueshim na tamaduni za watu mlio wakuta pale ....fuga ngombe au nyoka .... Likini ukifuga simba watu wasio mtumia wata wazuru na mwisho watawachoma moto pia ndio maana kule ..syria .egypt ..iraq ..lebanon kuna sehem imetegwa kwa waislam na wakristo....fuga hata panya nyoka .nk

.
Ooh kumbe ni wale watu wa mungu mwoga ambae hupiganiwa ila yeye hapiganii watu wake mwenyewe, wanataka kila kundi na dini yao watengewe maeneo maalum?
Sasa kweli nineamini udini alioasisiwa nchini na rais wa awamu ya nne umeanza kuzaa matunda. Let's wait and see!!
.
 
ww umeisha zowea kulala na NDAMA CHUMBANI kwahiyo ni utamaduni wako ww kwa ajili ya ww..usilazimishe unavyo taka ww ndio watu ote wale SHWAHINI HUYO..

.
Kufuga nguruwe na kufuga jini ni kipi bora? Nguruwe mwenyewe wakati fulani majini yalipofukuzwa na Bwana Yesu yakawaingia, kuliko aishi na jini ni afadhali afe. Lakini kuna watu wa kitabu fulani wameambiwa kuwa hayo ni ndugu zao. Nafikiri ndio maana wanamchukia sana nguruwe maana hiyo mifugo yao(majini) hayapatani na nguruwe.
Halafu mtume wao aliwaruhusu kula nguruwa kama dharura. Sasa hawa watu kitu walichopungukiwa ni elimu tu. Maana kama wangeweza kuwa na upambanuzi, wangejiuliza hao wa dharura watapatikana wapi ilhali tumewaua? Kweli ujinga ni watu kujitakia wenyewe.
.
 
Huo wote ni wivu tu wa kuona wafugaji wa nguruwe wanafaidi kwa kula nyama bora zaidi isiyo na lehemu na pia kipato.Tujifunze kuvumiliana.Mzee ruksa alisema kila mtu ruksa kula ile kitu roho yake inapenda.
 
kwanza kaka steve naomba unapotoa taarifa kama hizi usizipambe saaanaa hayo mambo unayosema kweli yametokea na hali ya amani bado ipo shwari usitoe taarifa za uchochezi mi ni mmoja wapo kati ya waliopata fursa ya kuzungumza leo kwenye ule mkutano ambao mkuu wa wilaya kauitisha vile vile takwimu ambayo imetolewa na mkuu wa wilaya na yako ni tofauti sana labda tuambie wewe umezitoa wapi takwimu hizi za uongo? kwa ya wana JF wote tusikubali kila tunachoambiwa na steve agustino kwani c mkweli kwa mfano aliwahi kulipoti taarifa kwamba nyumba mzima imeteketea kwa moto na watoto 4 wamefia humo humo ukweli ni chumba kimoja ndo kilichoungua
 
Mbona uarabuni ABU DHABI, DUBAI ETC NGURUWE WAPO NA WANAUZWA SUPER MARKET
 
hilo tatizo lilianzia india na pakstan..wahindi hawali ngombe na wapakstan hawali nguruwe..chumuhim ni ueshim utmaduni wa wengi usilazimishe fuga nyoka ngombe mbizi hawata chomwa haijaanzia tunduru hiyo kule tukuyu hawachomwi sababu ni utamaduni wao na moshi ni utamaduni wao pia sasa wewe upo hapo tunduru umewakuta wana utamaduni wao hata dar mboni hawafugi ngurue au ngombe kariako???

Kwahiyokariakoo na magomeni kuna utamaduni gani ulio tofauti na utamaduni wa Kimara?
Auutamaduni wa uchafu.

Twende zenji nikakuonyeshe sehemu nguruwe wanapofugwa na kuna vijiwe kibao vya kutafuna mdudu.
 
Back
Top Bottom