Wiki ya baraka!!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Kwangu imeanza vema kabisa!
Nimefurahishwa na michango ya marafiki hasa kutoka MMU! Wewe kwako unaionaje?
 
Kwangu pia imeanza vizuri coz nimepata nafuu and I hope through the whole week nitapona kabisa. Asante MUNGU!
 
Kwangu mimi ilikuwa ni siku ya kufurahia kuzaliwa kwangu. Ilianza vizuri!
 
Week imeanza vizuri sema leo nlivimbiwa futari mpaka daku nasamehe..!
 
ikiwa mungu anasaidia, je ni nani anayewajibika?

hahahaaa.......nashukuru sana mkuu. Kwakuwa Mungu anasaidia, hii haimaanishi kuwa nikae tu au nilale kitandani nikisubiri msaada wa Mwenyezi Mungu ili nipone, la hasha! Ni wajibu wangu kuchukua hatua ili kuhakikisha kuwa nailinda afya yangu. Lakini pamoja na kuwajibika kote, bado yanipasa kumuweka mwenyezi Mungu mbele kwa sababu ninaamini wazi kabisa kuwa yeye ndie alieshikilia pumzi ya uhai wangu, na kwamba yeye ndie muweza wa yote hivyo ninahitaji baraka zake ili niweze kusonga mbele.......pasipo msaada wake mimi siwezi kufanya chochote(ila si uovu). There4, ni dhahiri kuwa mpaka hatua niliyofikia, na hivi nilivyo sasa........ni kwa msaada wake yeye aliyejuu, muumba MBINGU NA NCHI na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. NALISIFU JINA LAKE!
 
Back
Top Bottom