Why women are so complicated?

Mama Mia huu mchezo wako unafanya tukuone kituko.
Ile habari ya Makamba kukimbia kiti cha ndege bado tunaikumbuka mwanahalisi.

Halafu ungetarajia aliye nyuma ya jina Mama Mia ni mwanamke kwa jina lilivyo, na hata utaona anasema "nimeolewa".
...Unanufaika vipi kwa effort yooote hii?!




.
 
kwa kweli hawa wadudu kakananii wakati mwingine wanatia kichefuchefu. sijui wana mapepo! wakati mwingine unaweza ukashindwa kuwaelewa kabisa. waweza kumpa kila kitu na kumheshimu lakini asikuelewe. hawa viumbe ni wa ajabu sana kusema kweli.


Please watake radhi wanawake wote akiwemo mama yako na shangazi zako
 
Habari zenu jamani !

Kuna swala moja huwa linanitatiza sana kuhusu hawa wanawake hususani katika maswala ya mahusiano !

Yaani wengi wao niliobahatika kukutana nao wana-compilications za ajabu ajabu tu.Yaani inafikia mahala huwezi jua anataka nini au kachukia kipi. Ilimuradi ni vurugu tu !

Hivi kwa nini wanawake wanakuwa hivyo ???

...hata kitabu ukishajua kinavyoishia, utamu wa kukisoma unaondoka.

Bora hivyo hivyo wasivyoeleweka eleweka, inasaidia 'maisha msisimko' kila siku ya mwenyezi mungu inayopita!
 
Wanawake wote wako hivyo, ila si wakati wote wala kiwango kilicho sawa. kuna wakati complications zinazidi na wakati mwingine hupungua.

Kama tulivyo binaadamu tunapishana kwenye kila jambo pia kwenye hizo complexity wanapishana si sawa kwa wanawake wote.

Hii mpya!
Kipimo gani ulitumia ndugu?
 
Hi wewe tpaul, hukuzaliwa na mwanamke? Kweli unaweza muita mama yako mdudu? Shame on!

Umenishangaza sana, so mama yako ni mdudu kwa mumwe, shangazi yako ni mdudu, bibi yako ni mdudu, dada yako ni mdudu


kwa kweli hawa wadudu kakananii wakati mwingine wanatia kichefuchefu. sijui wana mapepo! wakati mwingine unaweza ukashindwa kuwaelewa kabisa. waweza kumpa kila kitu na kumheshimu lakini asikuelewe. hawa viumbe ni wa ajabu sana kusema kweli.
 
Si ndio maana Mungu alisema muishi na sisi kwa akili, tuzoeeni tu jamani....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom