Why women are so complicated?

THE JOY OF BEING WOMEN

1.They smile when they want to scream
They sing when they want to cry
They cry when they are happy and
Laugh when they are nervous

2.They fight for what they believe in
They stand up for injustice
They don’t take “NO” for an answer when they believe there is a better solution

3.They go without new shoes so their children can have them
They go to the doctor with a frightened friend
They love unconditionally

4.They cry when their children excel and cheer when their friends get awards
They are happy when they hear about a birth or
A new marriage

5.Their hearts break when a friend dies
They have sorrow at the loss of a family member; yet
They are strong when they think there is no strength left

6.They know that a hug and a kiss can heal a broken heart
Women come in all sizes, in all colors and shapes
They’ll drive, fly, walk, run or e-mail you; to
Show how much they care about you.

7.The heart of a woman is what makes the world spin!
Women do more than just give birth
They bring joy and hope
They give compassion and ideas
They give moral support to their family and friends
Women have a lot to say and a lot to give

This has been written by someone who respects women
 
"Complications" is a personal character not applicable to all women. Some women are decent!

Wanawake wote wako hivyo, ila si wakati wote wala kiwango kilicho sawa. kuna wakati complications zinazidi na wakati mwingine hupungua.

Kama tulivyo binaadamu tunapishana kwenye kila jambo pia kwenye hizo complexity wanapishana si sawa kwa wanawake wote.
 
..Mi nilitoka safari ya kikazi Zanzibar last week nikaamua nimnunulie kazawadi mchuchu tena kalinitoboa mfuko kiasi chake angalau nimpelekee mpenzi.. nilichokutana nacho niliboreka sana. ananiambia bora hiyo pesa ungenipa mwenyewe ningeenda kutafuta ninachotaka huko madukani kuliko hili zagazaga uliloniletea..Nikamwambia mama kwa kweli umenidissapoint sana sidhani kama nitadiriki kukunuliwa zawadi tena kama mambo yenyewe ndio haya...Zawadi ni zawadi tu ni kuonyehs jinsi mtu anavyojali..!!!!
 
kipanga its all a matter of choise baba,How was the zawadi?(not the price) and how did you present it?
women are selective species and sentitive to taste, take time to know the feminine taste: dont think a 2000UDS necklace will amaze any woman, no way !its a matter of how it is (according to your lady),how to present it. Just read her motives, tastes , moods(according to hormonal changes) and your world will be paradise.
Its very funny every woman complains that men are unhandled creatures, men too say women are unhandled species! reminds me of the old swahili saying Nyani haoni kundule.... we are all incomplete, it all depends with our efforts to make the other mate complete and not to point out the incompleteness of someoneelse. If your man/woman is complicated then you have to do something (everyone has a homework here) to make it right.
 
kwa kweli hawa wadudu kakananii wakati mwingine wanatia kichefuchefu. sijui wana mapepo! wakati mwingine unaweza ukashindwa kuwaelewa kabisa. waweza kumpa kila kitu na kumheshimu lakini asikuelewe. hawa viumbe ni wa ajabu sana kusema kweli.

wanawake wanaitaji tu upendo na heshima. cha kushangaza wanaume wengi wanafikiri unaweza kumfurahisha mwanamke kwa kumpa material, hapo ndio mnapokosea.
you need to understand women, na kwa bahati mbaya nyie kaka zetu hilo linawashinda. Lol!!!
 
kipanga its all a matter of choise baba,How was the zawadi?(not the price) and how did you present it?
women are selective species and sentitive to taste, take time to know the feminine taste: dont think a 2000UDS necklace will amaze any woman, no way !its a matter of how it is (according to your lady),how to present it. Just read her motives, tastes , moods(according to hormonal changes) and your world will be paradise.
Its very funny every woman complains that men are unhandled creatures, men too say women are unhandled species! reminds me of the old swahili saying Nyani haoni kundule.... we are all incomplete, it all depends with our efforts to make the other mate complete and not to point out the incompleteness of someoneelse. If your man/woman is complicated then you have to do something (everyone has a homework here) to make it right.

totally agree with you. men just need to learn how to impress women and noit just assuming that material things will make a woman happy.
 
kipanga its all a matter of choise baba,How was the zawadi?(not the price) and how did you present it?
women are selective species and sentitive to taste, take time to know the feminine taste: dont think a 2000UDS necklace will amaze any woman, no way !its a matter of how it is (according to your lady),how to present it. Just read her motives, tastes , moods(according to hormonal changes) and your world will be paradise.
Its very funny every woman complains that men are unhandled creatures, men too say women are unhandled species! reminds me of the old swahili saying Nyani haoni kundule.... we are all incomplete, it all depends with our efforts to make the other mate complete and not to point out the incompleteness of someoneelse. If your man/woman is complicated then you have to do something (everyone has a homework here) to make it right.

..Kinyau, mimi ni mtu matured nafahamu jinsi gani nipresent zawadi kwa mpenzi wangu bila kujali imenighalimu kiasi gani? Nilichofanya nilinunua zawadi kwa kum-surprise...Perfume nikiamini kabisa hata anapojipulizia akisia kale kaharufu kazuri definately itamkumbusha mpenzi wake..Najua kuna style mbali mbali za kumpa zawadi mpenzi wako kulingana na wewe unavyodhani inafaa lakini ni katika njia ya upendo na kiuungwana tu...Honestly, siku hiyo hata mchezo sikutaka kuomba kwani sikuamini kama kweli binti was serious au la na alichonijibu...
 
pole kipanga just talk out your feelings, tell her ur disapointed. She will learn from her mistakes. by the way si bado mchumba ? ndio muda wa kuchunguzana/kurekebishana tabia mdogo wangu,usichoke kumrekebisha: otherwise she maynot be your perfect match.
 
Habari zenu jamani !

Kuna swala moja huwa linanitatiza sana kuhusu hawa wanawake hususani katika maswala ya mahusiano !

Yaani wengi wao niliobahatika kukutana nao wana-compilications za ajabu ajabu tu.Yaani inafikia mahala huwezi jua anataka nini au kachukia kipi. Ilimuradi ni vurugu tu !

Hivi kwa nini wanawake wanakuwa hivyo ???

Jichunguze labda mwenye complication kibao ni wewe mkuu. Haiwezekani wanawake wote uliobahatika kukutana nao wakawa complicated.
 
Hata kwa kufuatilia mjadala hapa inaonesha jinsi ilivyo ngumu kumuelewa mwanamke kuliko ilivyo kwa wanaume. Walioandika haya wanatoa funzo muhimu sana,

  • To be happy with a man, you must understand him a lot and love him a little.
  • To be happy with a woman, you must love her a lot and not try to understand her at all.

Men Never Listen

.
 
pole kipanga just talk out your feelings, tell her ur disapointed. She will learn from her mistakes. by the way si bado mchumba ? ndio muda wa kuchunguzana/kurekebishana tabia mdogo wangu,usichoke kumrekebisha: otherwise she maynot be your perfect match.

...You might be right kinyau. Kitu kinachonipa tabu wakati akigundua kama umechukizwa na jambo fulani ni mwepesi sana ku-appologize tena huwezi kuamini. Kama siku hiyo baada ya kuboreka na alichonifanyia niliamua kuondoka kwenda nyumbani kwangu, huwezi kuamini saa 5 usiku nasikia nagongewa mlango na maswali kibao, mbona umetoka safari umepitiliza kwenda kwako ina maana ulipokuwa zanzibar hukunimiss au ulipata mtu so u' don't feel like having me here?

Na hii hali imeshatokea mara nyingi anapogundua amechemka kitu fulani ni mwepesi sana kuomba msamaha ingawa wakati mwingine nadhani hayuko serious...Ni kweli ndio ambaye nategemea atakuwa "my wife to be" but nafikiria kumtafutia mgombea mwenza ili nikihisi ananizingua natereza tu taratibu...lakini nampenda sana kiasi kuna wakati zikipita siku mbili bila kumuona inakuwa ngumu kidogo but i need to be flexible this time!!!!
 
..Kinyau, mimi ni mtu matured nafahamu jinsi gani nipresent zawadi kwa mpenzi wangu bila kujali imenighalimu kiasi gani? Nilichofanya nilinunua zawadi kwa kum-surprise...Perfume nikiamini kabisa hata anapojipulizia akisia kale kaharufu kazuri definately itamkumbusha mpenzi wake..Najua kuna style mbali mbali za kumpa zawadi mpenzi wako kulingana na wewe unavyodhani inafaa lakini ni katika njia ya upendo na kiuungwana tu...Honestly, siku hiyo hata mchezo sikutaka kuomba kwani sikuamini kama kweli binti was serious au la na alichonijibu...

Zaidi ya hayo,kuna suala la kufurahishana katika mapenzi.Yaani kuna wakati unafanya jambo kwa sababu tu mpenzi wako analipenda.Yaani hata hili lilimshinda,kuipenda hile zawadi kwa sababu tu imeletwa na wewe akupendae.On top of that hata kama haikumpendeza,haiwezekani akawa agressive kiasi hicho,kama ambavyo wanasema kuna lugha za kutolea zawadi na pia wajue kuna lugha za kupokelea zawadi hasa ambazo haukuzipenda.
 
...You might be right kinyau. Kitu kinachonipa tabu wakati akigundua kama umechukizwa na jambo fulani ni mwepesi sana ku-appologize tena huwezi kuamini. Kama siku hiyo baada ya kuboreka na alichonifanyia niliamua kuondoka kwenda nyumbani kwangu, huwezi kuamini saa 5 usiku nasikia nagongewa mlango na maswali kibao, mbona umetoka safari umepitiliza kwenda kwako ina maana ulipokuwa zanzibar hukunimiss au ulipata mtu so u' don't feel like having me here?

Na hii hali imeshatokea mara nyingi anapogundua amechemka kitu fulani ni mwepesi sana kuomba msamaha ingawa wakati mwingine nadhani hayuko serious...Ni kweli ndio ambaye nategemea atakuwa "my wife to be" but nafikiria kumtafutia mgombea mwenza ili nikihisi ananizingua natereza tu taratibu...lakini nampenda sana kiasi kuna wakati zikipita siku mbili bila kumuona inakuwa ngumu kidogo but i need to be flexible this time!!!!

Dalili zote zinaonesha tunakaribia kupata shemeji,usisahau kunialika mkuu.
 
haya maswala ya wanaume na wanawake kikubwa ni tofauti tu zilizoko kati yetu...wanawake wakikueleza hapa jinsi wanaume wanaume walivyo complicated utaamini kabisa hakuna complicated kuwashinda..wanaume nao wakitoa ya kwao pia ni hivyo hivyo

kwa mfano nimeshasikia wanawake (mama wa nyumbani) wanaolalamika waume wao hawaachi hela ya matumizi halafu wakirudi nyumbani jioni zogo kali kabisa eti wanataka kupikiwa nyama si maharage
 
As stated on post no. 32, this is likely to happen if you do not understand your man.

hapo ndio tatizo lilipo Lazydog yaani kujaribu kumwelewa asiyeeleweka...(na kwa wanaume kujaribu kumpenda asiyependeka) maana kwa issue kama hiyo ya maharage it is just one simple logic - beef is more expensive than beans and he didn't leave any money at home. at least his wife kafanya fanya maarifa, heavens knows what she went through to get those beans on the table, in such circumstances zogo la nini??
 
..Mi nilitoka safari ya kikazi Zanzibar last week nikaamua nimnunulie kazawadi mchuchu tena kalinitoboa mfuko kiasi chake angalau nimpelekee mpenzi.. nilichokutana nacho niliboreka sana. ananiambia bora hiyo pesa ungenipa mwenyewe ningeenda kutafuta ninachotaka huko madukani kuliko hili zagazaga uliloniletea..Nikamwambia mama kwa kweli umenidissapoint sana sidhani kama nitadiriki kukunuliwa zawadi tena kama mambo yenyewe ndio haya...Zawadi ni zawadi tu ni kuonyehs jinsi mtu anavyojali..!!!!

Ukisusa haitasaidia ulitakiwa kufanya home work ili angalau ujue taste ya mwenzio manake zawadi si zawadi, umpelekee laizoni wakati imepitwa na wakati akusifie tu! Bora huumpongeze kwa kusemea moyo wake ukweli kuliko kukufake kama watu wengi walivyo.

Complication zingine mnaleta wenyewe!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom