Why We Oppose Them: Against the Banality of the Corrupt Ruling Elite

We oppose them not because we hate them, we do not - for hate is a blinding force. We oppose them rather because they stand for everything that we hate. They have become defenders of a corrupt political regime, guardians of vice and envoys of incompetence! My friends, we oppose them because their interests stand opposed to that of the majority of our people. They are in utter and absolute contempt of the people of Tanzania. In this then there is neither compromise nor retreat or surrender.

Its a choice that we didn't have to make but by their actions it was a choice forced upon us. A choice that was thrown upon us as if we were mere automatons! They look down on those who oppose them as if we are mere mortals living at the mercy of their Immortal Selves. They look at us and consider us to be troublemakers, hatemongers, and political novices of the First Order! They hate our guts to question them, they hate our resolve to despise them, they hate our audacity to dare to be free minded and independent in our views. For we do not tremble when they cough nor do we bow when they move! They hate that we do not remain silent when they speak, and when they laugh we frown and do not laugh with them! When they stand we sit!

This is the nature of what lies ahead of the upcoming political showdown. They will push the so called "new constitution" upon us. They will make us pay for not agreeing with them (or not pretending that we agree!), they will use all the tools at their disposal to make us recognize who they are- our almighty rulers! The police, security agencies and even the military will be used to instill fear in our hearts! O' my friends we will be required either to agree with laughter or remain forever silent if not in our homes then in our graves!

What choice then is left for a free people? What other option is there for those who don't want to sing a 'redemption song' in the land of captivity?

We will continue to oppose them until they recognize the validity of our arguments and step aside to let change effected for the better future of our people!
Thus, to oppose them is quintessential Tanzanian. - MMM

Do we have to say more than those few red lighted words? Well said MMM,
WE WILL CONTINUE TO OPPOSE UNTIL THE LAST DAY.........OUR TIME IS NOW
We are tired of not been listened, our dreams and views to be turned into their own, no no noooo not anymore.......

KATIBA FIRST:focus:
 
Jamani demokrasia msingi wake ni kupinga na kukataa. In a democracy conformity is optional but dissent is necessary!

Upande huo ndiyo haswaa unaoleta shida kwa watawala wetu, wao hupenda tu kutamka neno demokrasia lakini when it comes to practicability they have their own version. Hebu imagine huu upuuzi wa "walikusanyika bila kibali", "kutoa hotuba bila kibali", " wanaleta vurugu Kutokukubaliana na uongozi" Haiingii akilini kwamba hzi ni haki za kuzaliwa nazo na ndiyo maana hata enzi na enzi mfano kwenye mikutano ya jadi hakujawahi kuwa na kibali kwa kufanya mkusanyiko, Kutokubaliana na wasaidizi wa machifu au chifu mwenyewe, kuhutubia/ kuhubiri/ kuhamasisha wanajamii.

Sasa leo karne ya 21, information age, ndani ya demokrasia haki za msingi kabisa zinaminywa kwa kisingizio cha eti kuepusha uvunjifu wa amani.
 
Vita kubwa kwa sasa ni kupigania misingi ya utawala bora kwa nguvu zote!!! Mfano mzuri ni hili la katiba.....hapa tukilala tu then tusahau falsafa ya RULE OF THE PEOPLE BY THE PEOPLE FOR THE PEOPLE
Mdondoaji msisitizo uko kwenye "ruling corrupt elite" au "corrupt ruling elite"... matatizo yetu hayajasababishwa na watu walio nje ya utawala, bali ya wenye kushika utawala. Sasa mtagombana na walio nje ya madaraka kwanini wakati hawana wizara, idara, au afisa hata mmoja wa serikali?
venerable
 
ndio muhimu wa kuwa na katiba mpya ambayo itakuwa na checks and balances. The new constitution to be sure will not be the cure for all our socials ills, it will however help prevent glaring acts of abuse of power and office.

huu ni ukweli mtupu, tatizo ni kwamba hawa wanaojiita watawala (na si viongozi), hawataki kamwe watanzania tuielewe katiba, wameifanya katiba ni mali yao. Ili tuweze kuipata katiba ya watanzania tunatakiwa tuielewe katiba na yalliyomo na umuhimu wake? Ndo maana ukienda kijijini kwetu kule "kemakorere" ukawaeleza habari za katiba mpya, utaulizwa katiba ndio nini?

Asilimia kubwa ya watanzania wasomi kwa tusiosoma hatuijui katiba wala kazi/umuhimu wa katiba na uhusiano wake katika maisha yetu ya kila siku na ustawi wa jamii yetu. Hawa wanaojiita wanaharakati, sijui jukwaa la katiba, walitakiwa kwanza watoe elimu from grassroot ya Tanzania juu ya umuhimu wa katiba, ndio watuhamasishe kuidai katiba hiyo.

Mimi binafsi naamini kuwa tumefika hapa tulipo kwa sababu ya IGNORANCE. Tunahitaji kuuondoa huu ukungu uliotanda machoni mwetu na kuiona picha kwa mapana na marefu yake. SASA je, ni nani wa kumfunga PAKA kengele?????????
 
In a matter of ‘our constitution’ nobody real opposes anybody. It is ‘them’ the very few ‘elites’ who think that there are people out there who want to ‘get them’. The opposition is the voice inside their head because of the ills doings that we know very little about. Their ‘narrow’ interpretation of the TRUTH in our stories is that we oppose everything they stand for. Ni mwendawazimu pekee ndie anayeweza kufukuzana na upepo. Truth is a basic course these people are avoiding, and until they open up and learn the truth, Jesus 101 ‘Ukweli ni kitu gani?’ that we are talking about constitution……??!! In the end however, the truth will prevail, and hope this will happen before it is too late for ‘them’ to avoid the consequences of their ignorance.
 
Tatizo letu ni ukuta uliojijenga kuanzia utawala wa Mzee ruksa,chini ya kivuli cha mfumo ulioasisiwa na Mwalimu.Mfumo wa vyama vingi kwa watu ambao wamejitanabaisha kama ndio wasimamizi wa mfumo [system] ni kama haupo vichwani mwao.Wengi wao hasa wa umri wa Mwalimu wamezidi nguvu na kizazi cha waliokada ya mafisadi kwa sasa.

Walio kwenye kada ya sasa,ambayo imebatizwa jina la mafisadi,wameingia kwenye mfumo [system] na kwa dhamira mbili
1: Kuchuma Mali Nyingi kwa kila hali [hook and croocs]
2: Kushika hatamu za kiutawala ili kulinda mali zaona kuunda walithi wa kulinda mali zao na familia zao dhidi ya umma mkubwa.

Hivyo Taifa limepoteza mwelekeo kwa kuwa dhamila ya ndani ya wenye jukumu la kuongoza Taifa limegeuka kuwa kada la wachumaji ndani ya kivuli cha mfumo [system].

Mfumo [System] ni lazima uwepo popte pale kwenye Serikali duniani,lakini mfumo unapokiuka dhamila halisi ya walio wengi cheche za maasi uanza kuibuka kushambulia mfumo [system] ambao ni watu.

Nimeona huku ndani walio wengi ndani ya JF wanatabia ya kutenga mfumo na watendaji wa mfumo huo.Mfumo ni watu sio jitu.Ndio maana yanayojili hapa Nchini ni mipasuko ya maasia kwa watu kushituka wanaingia kwenye skendo zenye kuibua mijadala ambayo inakuza maasi dhidi ya mfumo.

Kiasilia watawala wakikosa busara ya kutambua ukengeufu wa mfumo [system] unaposhindwa kufuata ukweli halisi wa nyakati /zama kama Mwalimu alipogundua kuwa hawezi kuendelea kutetea itikadi yake huku dhahili dunia iliyokubwa imeshindwa kumuelewa,alichofanya ni kukaa pembeni na kuacha asilia [nature] ichukue ukanda wake na kusimamia itikadi yake kuliko kugeuka jiwe.Leo hii watanzania wanamkumbuka Mwalimu na kujua pumba nini na mchele nini.

Watawala wetu wamegoma kutambua zama na nyakati zinataka nini juu ya watu wake yaani wananchi wa Tanzania.Kwa kuwa wanajijua kuwa wameshajichotea Mali nyingi na wana ukwasi mkubwa na hivyo kuacha [Kungatuka] kama Mwalimu alivyofanya akiwa Rais basi disco litakuwa limeingia masai na mwanzo wa malipo.

Ubaya wa kungangania kuwa mambo yako sawa na kuwa kuna kada ya wananchi wachache wenye nia mbaya na amani ya Taifa hili,hivyo kupoteza maana nzima ya kuwa mfumo [system] imeingiliwa na kirusi na hivyo mfumo unaitaji kusafishwa kwa namna ambayo Mwananchi ambae ni mmilki wa mfumo huo kupitia kada mbalimbali za watawala na wawakilishi wa wananchi, watakapo amua ni namna hipi mtambo huo utasafishwa ili kuondoa kirusi huyo.

Ni vyema wakatambua kuwa kuna namna mbili za kukabiliana na asilia [nature] hasa katika kipindi hiki ambacho watanzania wameonyesha kuwa wanataka mabadiliko halisia na sio mbwembwe tulizo zoea kila siku za watawala kusimama kwenye majukwaa na kutapika majibu mepesi dhidi ya maswali magumu.
Nature ufanya kazi kwa namna mbili nazo ni.
1: Kukubaliana na Mageuzi na kuyafuata kama yanavyokutaka,uku ukiwa pembeni kama mshiriki ambae kwa hiari umejitolea [Kama Kaunda,Mwalimu JK Nyerere na kungatuka].Baadae kipindi cha mpito kikiisha wtananchi wanakuja kutambua kuwa kuwa kumbe uliengatuka ulikuwa sahihi na hivyo kuacha jina la mhusika kustwai kwake yeye na familia yake]

2: Ama kungangania kushindana na asilia nature na hatimae kutolewa na nguvu ya asilia [nature] kama ilivyotokea kwa Gadhafi na hivyo kufuta kabisa historia ya mika 42,kwa muda wa miezi sita tu[6] na pia kuacha alama ya mambo ya aibu kwa mhusika na kifo cha kinyama na kukosa legacy ambalo ni jambo jema kwa mwanasiasa yoyote yule au kiongozi.

Mzee Mwanakijiji umewaambia the way wananchi walio wengi wanavyojisikia juu ya Watawala, lakini wao watakuona na wanakuona ni wale wale wenye kusudio la kupingana nao.Hakika sikio la kufa halisikii dawa Gadhaffi hakuaminai kuwa Libya itamtoka.Ndiyo hivyo hivyo system watu wenye umri wa miaka [80-55] wasivyotka kuamini imeingiliwa na kirusi na inawa[pasa kukitoa kirusi hicho ili system iendelee kufanya kazi yake kabla syste ajazima [Collapse] ghafla kitu amabcho kutafuta tatizo na kuludisha system kwenye utendaji wake wa kawaida itachukua muda sana.Ukizangatia system ya kwanza iliundwa kwa kupitia Wafanyakazi na Wakulima,lakini kirusi kikaingia cha kuunda system kupitia Wafanyabishara tena wengine wenye utata mpaka uhalisia wa kitaifa.

Na kukabiliana na kirusi hicho chenye nguvu ya pesa,kada ya Wafanyakazi imeshindwa hivyo wakati wowote kada ya Wakulima na Kada mpya iliojizalisha kada ya wajasilia mali [Machinga na Wafanyabishara ndogondogo] itafukutua kukitoa kirusi ,na kwa bahati mbaya kada hii aijui mfumo nini?Ila inauwezo wa kung'oa mfumo huo [system] na kusambalatisha kiasi kuwa itachukua kazi kubwa sana kuunda upya endapo pale ambacho Jeshi liatashindwa kukabiliana na Umma huo.

Viongozi wetu kila siku nasema bado wana muda mkubwa tu wa kuchagua wasimame wapi?
 
Brother,
Going into the streets we shall,
but;
never underestimate the power of the keyboard in this struggle!
For how else can we prepare for the street fight if we dont use every tool at our disposal?

Yes my brother for the only weapon devil fears is exposure (light) of his evil works (done in darkness) that's why Jesus made a public spectacle of the works of the devil when he descended to hell 2000 years ago. After the exposure he took the keys for life from him and gave them to us; because of this we know for sure if we do the same victory is on our side.
 
Na je una uhakika gani kuwa wale walioko nje ya utawala wakitawala hawatatupa matatizo? Im very skeptical lol.
Ninavyoona tuna tatizo kubwa mno la kimfumo/systemic.Tumejijengea value system yenye kuamini/kukumbatia na kutukuza rushwa na ufisadi.Siamini kuwa kwa hatua tuliyofikia kuna utawala utakuja Tanzania kwa miaka ya karibuni utakaokuwa tofauti.
Constitution change and change of the people in the steering is THE CRAVED CHANGE OF THE SYSTEM NEEDED NOW NOW
 
We oppose them rather because they stand for everything that we hate. They have become defenders of a corrupt political regime, guardians of vice and envoys of incompetence! My friends, we oppose them because their interests stand opposed to that of the majority of our people

How come they have 83% of the parliament?

How did we get Multipartism? How does our elections are free and fair? What is the degree of social satisfaction to the Government? What is the distribution of wealth and services to the society?.............

We must do something at this right time.
 
Na je una uhakika gani kuwa wale walioko nje ya utawala wakitawala hawatatupa matatizo? Im very skeptical lol.
Ninavyoona tuna tatizo kubwa mno la kimfumo/systemic.Tumejijengea value system yenye kuamini/kukumbatia na kutukuza rushwa na ufisadi.Siamini kuwa kwa hatua tuliyofikia kuna utawala utakuja Tanzania kwa miaka ya karibuni utakaokuwa tofauti.

UNTIL WE KNOW THEY ARE THE SAME!! WE NEED TO GIVE THE A CHANGCE AND SEE, WE HAVE GIVEN THESE FAGS 50YRS NOW THEY PUT US ON `AUTO PILOT' i.e NO PRESIDENT, REMEMBER WE HAVE THE CHANCE TO CHANGE SHOULD THEY FAIL TO DELIVER
 
Because this constitution favours them
It doesn't create a foundation for free NEC , free and independent PCCB, free and Judicial , police force for wananchi

The constitution is for CCM to rule for ever even wananchi don't want . They use Police, DEDs,NEC,PCCB,judicial to winnie by all means even if wananchi don't vote them

Absolutely imperative that Tanzania have a free and independent judiciary, NEC, PCCB & police force. Stand your ground on this matter. Without an independent and free judiciary, or other organs, corruption will remain status quo. This country will not be able to move forward in this century.
 
We oppose them not because we hate them, we do not - for hate is a blinding force. We oppose them rather because they stand for everything that we hate. They have become defenders of a corrupt political regime, guardians of vice and envoys of incompetence! My friends, we oppose them because their interests stand opposed to that of the majority of our people. They are in utter and absolute contempt of the people of Tanzania. In this then there is neither compromise nor retreat or surrender.

Its a choice that we didn't have to make but by their actions it was a choice forced upon us. A choice that was thrown upon us as if we were mere automatons! They look down on those who oppose them as if we are mere mortals living at the mercy of their Immortal Selves. They look at us and consider us to be troublemakers, hatemongers, and political novices of the First Order! They hate our guts to question them, they hate our resolve to despise them, they hate our audacity to dare to be free minded and independent in our views. For we do not tremble when they cough nor do we bow when they move! They hate that we do not remain silent when they speak, and when they laugh we frown and do not laugh with them! When they stand we sit!

This is the nature of what lies ahead of the upcoming political showdown. They will push the so called "new constitution" upon us. They will make us pay for not agreeing with them (or not pretending that we agree!), they will use all the tools at their disposal to make us recognize who they are- our almighty rulers! The police, security agencies and even the military will be used to instill fear in our hearts! O' my friends we will be required either to agree with laughter or remain forever silent if not in our homes then in our graves!

What choice then is left for a free people? What other option is there for those who don't want to sing a 'redemption song' in the land of captivity?

We will continue to oppose them until they recognize the validity of our arguments and step aside to let change effected for the better future of our people!
Thus, to oppose them is quintessential Tanzanian. - MMM

Democratic process also means to "oppose and support"

Those who oppose have the right to do so with arguments so is those who support

Ultimately the "wananchi will judge" the better options as per arguments..

Sasa hivi wanatafuta media attention without concrete arguments..

warudi mezani wa -argue wananchi waamue..
 
Mkuu sidhani kama WE means Chadema na NCCR bali wananchi... Tatizo linakuja kwamba CCM hawataki swala hili liwe la Watanzania kwanza kabla ya vyama ( samahani lao). Na kama nimemsoma vizuri Mwanakijiji yeye anawakilisha mawazo ya wananchi sio ya chama.
 
Ndio tunawapinga kwa kuwa hawaoni mbele zaidi ya matumbo yao! Ni ajabu kuwa hawaoni hata upeo wa wajukuu achilia mbali vitukuu na vilembwe wao
 
We oppose them because they have violated the democratic notion of "A government for the people, by the people, and of the people". They are forgetting that the government is the people. They are forgetting that we hired them. They need to be reminded.
 
Mkuu sidhani kama WE means Chadema na NCCR bali wananchi... Tatizo linakuja kwamba CCM hawataki swala hili liwe la Watanzania kwanza kabla ya vyama ( samahani lao). Na kama nimemsoma vizuri Mwanakijiji yeye anawakilisha mawazo ya wananchi sio ya chama.

Tangu lini mwanakijiji ameanza kuwakilisha mawazo ya wananchi??? mkuu acha utani bana ???)

Hivi uwakilishi wa wananchi unakuwaje??? hata kale ka jukwaa la katiba NGO inayoongozwa na mfadhili moja au wawili jijini Dar watakuwa wanawakilisha wananchi????

Wote hawa wanajidai wazalenda either wanawakilisha "mawazo yao binafsi" au wanawakilisha mawazo ya mfumo wanaoutumikia period..
 
Funny, we like turning blind eyes to the obvious. Kwa bahati mbaya, siasa za kileo hazina tena upendeleo kwa the so called elite. History is the best teacher of what I say.
Ni uovu mkubwa sana kuendelea kufikiri ajenda za nchi nzima ziko katika mikono ya watu wachache wenye nia ovu.
 
Tangu lini mwanakijiji ameanza kuwakilisha mawazo ya wananchi??? mkuu acha utani bana ???)

Hivi uwakilishi wa wananchi unakuwaje??? hata kale ka jukwaa la katiba NGO inayoongozwa na mfadhili moja au wawili jijini Dar watakuwa wanawakilisha wananchi????

Wote hawa wanajidai wazalenda either wanawakilisha "mawazo yao binafsi" au wanawakilisha mawazo ya mfumo wanaoutumikia period..
Unayoyasema yaweza kuwa kweli lakini katika hili amekuwakilisha wewe na mimi na yeye mwenyewe, hivyo tunaunda kundi jingine letu sote na sii CCM wala Chadema wala mfadhili wake. Msome, kisha mpe credits zake anazostahili...hayo maswala mengine sidhani kama yana nafasi ktk hoja hii.
 
Mzee Mwanakijiji said:
Haya ndio makosa makubwa zaidi, kabla hujaweza kwenda mitaani ni lazima uweze kwenda vichwani mwa watu kwanza. Ndio maaana niliita hili ni "mgongano wa kifikra". Huwezi kwenda mitaani kama hujui unasimamia nini na wenzako wanasimamia nini. Sasa hivi watu wanapokwenda mitaani lengo halijawa wazi bado na kifikra wengi hawajaweza kuarticulate vizuri kile wanachokipinga na kile wanachokitaka. Hatuwezi kwenda mitaani kwa sababu "tunaichukia CCM"! au "tunataka CCM iondolewe madarakani". Hivyo vinavutia lakini havitoshi.
Mwanakijiji unawajuwa watanzania vilivyo.

You're a leader my friend.

Sijui kwanini unataka uzeeke kabla hujaongoza?

There is something about yo that connects you with people.

Hii miye nimeisoma tu,lakini nimejikuta kama mtoto aliye na zawadi kubwa sana na hajui cha kuifanyia kutokana na ile excitment.

Haya maneno kwenye bandiko lako la mwanzo ni makali sana lakini ukali wake umefunikiwa na hekima.
 
Unayoyasema yaweza kuwa kweli lakini katika hili amekuwakilisha wewe na mimi na yeye mwenyewe, hivyo tunaunda kundi jingine letu sote na sii CCM wala Chadema wala mfadhili wake. Msome, kisha mpe credits zake anazostahili...hayo maswala mengine sidhani kama yana nafasi ktk hoja hii.

Sawa mkuu sisi tunao wa "support" hao jamaa nafasi yetu iko wapi??

Sababu ya kuwa support ni kwamba bado "HATUWAAMINI" hao kina mwanakijiji na jukwaa lao..kwasabab bado tuna reservations za mfumo wanaoutumikia??

Nikuuliza tunayo haki pia ya support au hatuna?? kwa mtazamo yenu
 
Back
Top Bottom