Hapa bila kukubali kuwa risk taker kama moja ya kanuni ya mjasiriamali nchi hii hatuwezi kuikomboa,hapa MMM aliaza post vizuri lakini mwisho wa siku watu wameonyesha woga wa kuleta mabadiliko kwa kuhofu kuwa hao watakaoongoza mabadiliko tunajuaje kama na wao hatakuwa kama hawa waliopo,ambao wamechagua mfumo huu wanaotuongoza nao.Niseme tu kwamba mfumo uliopo umeshawaathiri kifikra watanzania na kama hatutakuwa tayari kujikomboa kifilra bado hatutaweza kuleta mabadiliko ya kimfumo na kisha kupoza ugumu wa maisha ya watanzania na ama kulikoa taifa hili huku shimoni linakotumbukia,For sure i hate them i will keep on hating them forever and ever,due to the fact that they hate me and dislike me,so i have to hate them consecutively.I appeal to all people with good will to keep on going in this right track as still working on the keyboard and tommorow we will work on the street demonstrating non stop till freedom is obtained.