Why Students Fails

zaleo

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,902
764
Source: Yaoo network
WHY A STUDENT FAILS ?

It's not the fault of the student if he fails, because the year has ONLY 365' days.

Typical academic year for a student.

1. Sundays-52,Sundays in a year, you know Sundays are for rest.
Days left 313.

2. Summer holidays-50 where weather is very hot and difficult to study.
Days left 263.

3. 8 hours daily sleep-means 130 days.
Days left 141.

4. 1 hour for daily playing-(good for health) means 15 days.

Days left 126.

5. 2 hours daily for food & other delicacies(chew properly & eat)-means 30days.

Days left 96.

6. 1 hour for talking (man is a social animal)-means 15 days !

Days left 81.

7. Exam days per year atleast 35 days.
Days left 46.

8. Quarterly, Half yearly and festival (holidays)-40 days.

Balance 6 days.

9. For sickness atleast 3 days.​
Remaining days 3.

10. Movies and functions atleast 2 days.

1 day left.

11. That 1 day is your birthday. "How can you study at that day?"

Balance days 0

"How can a student PASS???
 
Repeated. Ilishakaa hapa.

Tuwe tunasoma kabla ya ku copy n paste jamani tujanaza jukwaa
 
Repeated. Ilishakaa hapa.

Tuwe tunasoma kabla ya ku copy n paste jamani tujanaza jukwaa

Wewe ndio umechoka akili kweli! Hata daladala unayopanda tayari wengine wengi wameishaipanda. Gari kupandwa na wengine haikuzuii nawe kupanda. Wapi umesikia daladala imejaa? Acha uhuru wa watu uendelee kufaidiwa. Huyo mleta hoja hakusema ni original ya kwake bali imepatikana kwingineko, walioisoma unayoisema heri yao, lakini wengine hawakuiona na hii ni mara yao ya kwanza. Ungeweka mbadala wako sasa ajifunze huyo unayemkatisha tamaa. Zaleo karibu ukumbini, lete habari wala usikate tamaa. Ndivyo walivyo humu ndani, wanataka wasikilizwe wao tu watu fulani. Miaka 50 ya Tanganyika ikomeshe haya, tuachane kabisa na "Zidumu fikra za peke yake yuleyuleeeee!"
 
Yap ! Ubunifu unahitajika zaidi.

Fine, mnapungukiwa nini kuachana nayo kama umeshaiona? Mbona misikitini na makanisani yanarudiwa maneno yaleyale na husemi watajaza maneno masikioni mwa watu? Au tuseme hoja iliyoletwa ina madhara gani? Kurudiwa huenda ndio msisitizo wa mafunzo yaliyoko ndani yake kwa watu wa aina zenu. Mbona hupati mia sasa kama ulipoiona mara ya kwanza ilikufunza akili ukomae na kubadilika?

Unless beyond saturation point, the more one hears a word the more it becomes cllearer for massive assimilation, pending no distract factor is coined during that course.
 
Swafi kabisa kaka, mpe mambo huyo anaye sema repeated,kwan hajui kuna member wapya kila cku!! Kama mimi....zaleo komaa kaka ikiwezekana irudie tena baada ya wiki 1.Ama kwel kuna akil hazina akil!
 
safi sana mkuu.na watu hapa wana ugumu wa kuelewa.hata kama post imekuwa repeated haimaanishi kila m2 JF anaijua.tuwe wapole jamaa.
 
Repeated. Ilishakaa hapa.

Tuwe tunasoma kabla ya ku copy n paste jamani tujanaza jukwaa

kama ulishaisoma kaa kimya....wengine ndo tunaiona.
je hujui kuwa kila siku jf inapata wanachama wapya?
au kwa vile wewe umefunga kizazi unadhani hata jf
waliopo wanatosha?
 
Kwa kweli nawashukuru wote walionisupport. Nilidhania wapo watakaonibonda nikataka niwasubiri na kuwashukia kama mwewe, ndio maana nilinyamaza kimya kwa muda. Bahati yao. Kuna watu humu JF wanageuza jukwaa kama mali yao binafsi, anachotaka kusikia au kuona tu ndio kiwekwe, au rafiki zake wakiweka hata upupu utakuta wanashabikia na thread inakuwa ndeeeeefu hata unashangaa kwa nini inakuwa hivyo. Kama hukulisoma gazeti la 1954 Julai 8, na mtu akakuletea leo hii, kwako hilo ni gazeti jipya na utapenda kujua kuna nini ndani yake na ukisoma utafurahia kwa kiwango ukitakacho. Kukatishana tamaa ni sumu ya umoja mahali popote.
 
"Daladala ikipandwa haina maana weNgine wasipande" nimeipenda hii!
Swafi kabisa kaka, mpe mambo huyo anaye sema repeated,kwan hajui kuna member wapya kila cku!! Kama mimi....zaleo komaa kaka ikiwezekana irudie tena baada ya wiki 1.Ama kwel kuna akil hazina akil!
 
Imesimama sana hii ya ukweli sana.nashangaa wanaocoment kuwa imerudiwa. Lekanjobe kubinika piga mawe hao.
 
Ama kweli vishoka wa JF sasa wameonja ya chuya. Asante kwamba wengi sana wanaelewa ukiritimba wa watu wachache ambao hata kumbe hawaungwi mkono hata na wapenzi wao sasa, wameachwa solemba. Kitu chenye tija kikirudiwa ni tija. Pumba nyingi hurudiwa na kuna watu wanashabikia. Hulka ya binadamu ni kupenda kusikia anachotaka kusikia tu binafsi, wanajisahau kwamba hili ni jukwaa la wengi.

Wapewe vidonge vyao hao, wameze au wasimeze ni shauri yao. Halooo!
 
Back
Top Bottom