Leo Agosti 13 ni siku yetu Left Handers (Watumiaji wa Mikono ya Kushoto)

The ice breaker

JF-Expert Member
Apr 20, 2023
543
1,163
Bonjour

Tunao tumia mikono ya kushoto, tujuane
8c6c610b26c44c32a9ceef2caa234319.jpg

===============

Utamaduni wa kuadhimisha siku hii ulibuniwa kwa mara ya kwanza Mwaka wa 1976 na Dean R. Campbell, Mwanzilishi wa Lefthanders International, Inc. lengo likiwa ni kukuza ufahamu wa faida na hasara za kutumia kutumia mkono wa Kushoto.

Inakadiriwa 10% hadi 13% ya Watu Duniani hutumia mkono wa kushoto, hali hiyo inachangia vitu vingi au maeneo mengi kujengwa au kutengenezwa kwa matumizi ya Watu wanaotumia mkono wa kulia.

================

International Left Handers Day is an international day observed annually on August 13 to celebrate the uniqueness and differences of left-handed individuals. The day was first observed in 1976 by Dean R. Campbell, founder of Lefthanders International, Inc.

International Lefthanders Day was created to celebrate sinistrality and raise awareness of the advantages and disadvantages of being left-handed in a predominantly right-handed world. It celebrates left-handed people’s uniqueness and differences, a subset of humanity comprising seven to ten percent of the world's population.[2] The day also spreads awareness on issues faced by left-handers, e.g. the importance of the special needs for left-handed children, and the likelihood for left-handers to develop schizophrenia.[3][4]

Several media outlets and commercial associations have made one-off posts and compilations of accomplished left-handed people in recognition of the holiday.
 
Bonjour

Tunao tumia mikono ya kushoto, tujuane View attachment 2715963

Ahsante kwa Elimu hii nilikuwa sijui mkuu!
 
Kuna trd yetu humu inaelezea tabia za watumia mashoto.
Uzi unavutia sana ule make umeelezea sifa na tabia zetu kiufasaha kabisa.
Mashoto sio slow learner ubongo wetu wa utambuzi wa mambo upo upande wa kulia na mara nyingi mashoto tunapenda sana paka make paka wote ni mashoto!
 
Kuna uhusiano mkubwa wa Left Handers na great IQ

Watu maarufu duniani walio left Handers ni pamoja na :-

- Albert Einstein

- Henry Ford

- Bill Gates

- Steve Jobs

- Barack Obama

- Oprah Winfrey

- Ben Franklin

Hao ni kwa
 
UUhu

Uhuru Kenyata, Jimmy Carter,Manny Pacquiao nk,Terence Crawford,Error dispenser nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom