Why ni ngumu sana kupata mtu unayempenda naye anakupenda same way?

Hili suala zaidi ni psychological. Watu tunapenda kupendwa, tena ikiwezekana tupendwe sana. Lakini shida kupendwa sana mara hugeuka kuwa kama kero vile, huchosha na kukinai. Mtu anaanza kujiskia kama mtumwa vile, kama yuko gerezani vile kwa sababu ya 'kukamatwa' na mtu. Kumbe kinachofuata mtu anaanza kujinasua, kutafuta uhuru kutoka gereza hilo.

Kwa kifupi watu hupenda mtu wa kufukuzia, yule anakupa shida kidogo, anayeonesha dalili - hata kama si za kweli - za kukuacha, yule anayeringa kidogo. Huyu hupendwa sana na kuvuta hisia za mpendwa wake. Na mara nyingi huyu mwenye maringo akishagundua wewe unamgwaya, naye hupenda kutafuta mwingine mwenye kumtesa moyoni mwake. Mi nadhani ndiyo maana ni ngumu sana kukuta watu wanaopendana sana sawia. Wapo lakini ni wachache

Nafikiri sasa nimeanza kupata majibu ya maswali yangu.
 
185106_290271891085905_265716605_n.jpg

Yani wanaume hawependi kuoa hivyo!!
 
mapenzi huanza na matamanio kisha hukuzwa na matendo. unaweza ukatamani kitu fulani kwa mtu yeye akawa hana aanachotamani kwako. hapo mapenzi hayasongi mbele. mnaweza mkawa wote mnavutiana vizuri tu lakini matendo ya mmoja wenu yakawa kikwazo. fikiria siku moja umerudi home full tabasamu kinyume, mwenzio akaanza maudhi fulani tabasamu lote litapotea na hasira itatawala. upendo hakuna.
tatizo pia wengi wanapenda kuthibitishiwa mapenzi kwa maneno kama sweety, honey baby, n.k na kusahau kuwa inaweza kuwa unafiki tu.
kama unampenda mtu kwa sura basi umependa ua nalo likianza kunyauka utatafuta ua lingine. upendo ni kitu complex lakini lazima lipaliliwe
 
Swali langu linajieleza wanajamvi,
Kwa nini ni nadra sana kubahatika kumpata mtu ambaye unampenda sana naye akawa anakupenda sana? sana sana unaweza ukapata mtu unampenda sana but akawa anampenda mtu mwingine zaidi kuliko wewe, au inatokea mtu anakupenda sana but wewe humpendi likewise. Why inakuwaga hivi?[/QUO

Simple, no like things can attract each other, so lazima mmoja awe na mapenzi zaidi ya mwenzie not 50/50!!
 
Nafikiri sasa nimeanza kupata majibu ya maswali yangu.
Mkuu, chunguza wengi waliolizwa na wapendwa wao ni wale waliopenda sana. Sababu walionekana kuwa na kiherehere, kuwa mzigo, yaani walionekana kuwa exploiters. Wapendwa wao wakawakimbia kwa sababu ni mzigo mzito, hawabebeki. Hakuna anayetaka kubeba mzigo mzito au tuseme kuegemewa kiujumla. Watu wanataka mtu anayejiamini, asiyebabaika kwa mapenzi, anayeumiza kidogo kwa tabia zake bila kuzidisha mno. Hapo kuna raha kwani kuumiza huko kunakuwa kichocheo (catalyst) katika mahusiano. Kwa kifupi: utamu wa mapenzi uko katika kuumizwa kidogo, kwani jinsi unavyokuguswa ndivyo unavyomfuata na kutaka kummiliki anayeumiza moyo wake. Raha ya mapenzi iko katika mateso, ila yasipite mpaka kwani yakipita mpaka yanaharibu tena.
 
mapenzi huanza na matamanio kisha hukuzwa na matendo. unaweza ukatamani kitu fulani kwa mtu yeye akawa hana aanachotamani kwako. hapo mapenzi hayasongi mbele. mnaweza mkawa wote mnavutiana vizuri tu lakini matendo ya mmoja wenu yakawa kikwazo. fikiria siku moja umerudi home full tabasamu kinyume, mwenzio akaanza maudhi fulani tabasamu lote litapotea na hasira itatawala. upendo hakuna.
tatizo pia wengi wanapenda kuthibitishiwa mapenzi kwa maneno kama sweety, honey baby, n.k na kusahau kuwa inaweza kuwa unafiki tu.

nimekupata mzamifu,good one and very helpful indeed.
nimeipenda hii;"kama unampenda mtu kwa sura basi umependa ua nalo likianza kunyauka utatafuta ua lingine. upendo ni kitu complex lakini lazima lipaliliwe"
 
Very interesting hii picha.men are not interested.....but ladies wako very interested to be the next one's....
ndo ivo huwezi kupata anaekupenda kiivo cause tupo tofauti wewe unawaza hili mwenzako anawaza vile na moyo wa mtu huwezi kuusoma...raha jipe mwenyewe my dear
 
Swali langu linajieleza wanajamvi,
Kwa nini ni nadra sana kubahatika kumpata mtu ambaye unampenda sana naye akawa anakupenda sana? sana sana unaweza ukapata mtu unampenda sana but akawa anampenda mtu mwingine zaidi kuliko wewe, au inatokea mtu anakupenda sana but wewe humpendi likewise. Why inakuwaga hivi?[/QUO

Simple, no like things can attract each other, so lazima mmoja awe na mapenzi zaidi ya mwenzie not 50/50!!
Means ili penzi lisimame na kudumu ni lazima kuwepo na mtu mmoja ambaye atampenda zaidi mwenzie?
 
ndo ivo huwezi kupata anaekupenda kiivo cause tupo tofauti wewe unawaza hili mwenzako anawaza vile na moyo wa mtu huwezi kuusoma...raha jipe mwenyewe my dear

Ni kweli SMILE moyo wa mtu ni kama msitu mnene ambao mwenye kuujua ni yeye mwenyewe,basi tukubali ktk kuduisha upendo ni lazima awepo mmoja atakayeubeba huo uhusiano kwa kupenda kwa dhati yaani isiwe 50/50 as ni nadra sana kutokea. mara nyingi ratio ya upendo ni lazima izidiane btn two people in love ili mambo yaweze kwenda.
 
Mkuu, chunguza wengi waliolizwa na wapendwa wao ni wale waliopenda sana. Sababu walionekana kuwa na kiherehere, kuwa mzigo, yaani walionekana kuwa exploiters. Wapendwa wao wakawakimbia kwa sababu ni mzigo mzito, hawabebeki. Hakuna anayetaka kubeba mzigo mzito au tuseme kuegemewa kiujumla. Watu wanataka mtu anayejiamini, asiyebabaika kwa mapenzi, anayeumiza kidogo kwa tabia zake bila kuzidisha mno. Hapo kuna raha kwani kuumiza huko kunakuwa kichocheo (catalyst) katika mahusiano. Kwa kifupi: utamu wa mapenzi uko katika kuumizwa kidogo, kwani jinsi unavyokuguswa ndivyo unavyomfuata na kutaka kummiliki anayeumiza moyo wake. Raha ya mapenzi iko katika mateso, ila yasipite mpaka kwani yakipita mpaka yanaharibu tena.
mmmh mapenzi ?
 
wahenga walisema tabia ya mtu ni sawa na ngozi kuibadili ni ngumu. Jiulize inawezekana vipi watu mmekutana ukubwani ambapo kila mmoja amelelewa kulingana na mila na desturi za kwao hivyo kuunganisha tabia kuwa kitu kimoja ni jambo gumu japo mwanzoni watu wanavaa ngozi za kondoo lakini baadae tabia zao halisi uwekwa wazi. Kinachotakiwa ni kuvumiliana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom