Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,268
- 79,643
kwa hiyo hii inamaana hiyo check ni fake yaani ita-bounce! Juzi ma-body guards wake walitaka kumvunja kiuno na ajali maana najua lile ni deal limechezwa kwavile yale magari ni right off straight maana sheria zinasema rais haruhusiwi kutumia gari lililoleta itilafu kiusalama! Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake!
Why can't U love this guy!