Why I Love Kikwete - I really Do... The Most Consistent President!

The man doesn't even know why Tanzania is poor do you really expect him to give you a plausible answer on this.

ya mfalme wa ufaransa enzi hizo siku wananchi wataandamana hadi ikulu, JK hatauliza, wana tatizo gani hawa? msaidizi wake atamwambia wana njaa hawana mkate, Kikwete atatupa mikono kwa mshangao na kumwambia msaidizi wake "kwanini wasile keki basi"
Huyu mjamaa si ajabu seriously hajui shida zetu since yuko mawinguni.
 
MM,

If I were an opposing candidate to Kikwete or any CCM candidate, I would have focused my questions on lack of leadership on his part and CCM as whole on the National Debt that is soaring.

I would have asked Kikwete, how is he planning to cut the deficit and reduce dependency on Foreign Aid to run his countr
Answer: just borrow from internal banks stanbic, crdb, nmb, nbc etc.
 
Ni kiongozi dhaifu lakini watu wamezidisha kumshusha zaidi , kikwete tatizo kubwa moja tuu kutokuwa na maamuzi magumu, lakini ameweza kuleta uhuru wa habari
 
Ni kiongozi dhaifu lakini watu wamezidisha kumshusha zaidi , kikwete tatizo kubwa moja tuu kutokuwa na maamuzi magumu, lakini ameweza kuleta uhuru wa habari
Hilo tatizo lake ndilo husimama kwanza ktk madaraka ya rais....
 
Nafikiri ni Bingwa wa mizaha

Na ninaanza kuamini bado hajaanza kutuongoza maana kama vile bado anatusoma watanzania. Ndio maana he is a President and the only president that have ever been busy even for a second thinking of the real development of his own country. Lazima atakuwa anatufanyia mzaha. Show-off ni nyingi kuliko utendaji, anapokea hata mawaziri na manaibu waziri toka nje wanapokuja TZ. Ninapoishiwa pozi ni hapa, Hivi hatuna viongozi wa level yao wa kwenda kuwapokea mapaka rais. Hivi ni kweli kweli kabisa hana issue yoyote ile inayomuweka bize, licha ya kero zote za Elimu, Uchumi, Social n.k?

From that, Am starting to convice myself kwamba he is still warming-up and we should wait for a while, soon He will be starting to lead the Tanzanian.

Lovely president ever.
 
Wow MM
What a consistent Vasco Dagama we have. always on air to explore more possible investors for our minerals even if we get nothing from them.
 
2cp4020.jpg

Why can't U love this guy!
 
Ndugu wana JF,
Salaam, kwanza napenda nitangulize heshima kwenu. Naamini hapa ni uwanja wa fikra zilizo komaa. Napenda nichangie mada hii.
Kwanza kumskosea heshima Rais au Kiongozi wako, ni utovu wa nidhamu. Hata kama humpendi Rais wako, lakini mpe heshima yake. Viongozi wamechaguliwa
kwa demokrasia na kwa kura za wengi. Ni shurti kuwapa heshima yao. Kumbuka hata vitabu vya dini vinasema kilichokublika na wengi duniani na mbinguni hukbalika.

Tumheshimu Rais wetu. Ni mtu wa watu ambaye umaskini wetu ni suala kubwa linamsumbua kichwani.
akhsanteni wakuu
 
sawa tunamheshimu sana ndio maana tunamkosoa; nyinyi msiotaka kumkosoa ndio mnatakiwa kuanza kuonesha heshima.
 
rais safi sana huyu mchapa kazi mnoooooooo...mlishwahi sikia raisi anachoka hadi anazirai majukwaani?? anachapa kazi kuelewa matatizo ya watanzania... poor him he don't have the needed handful of normal brain!! Tarehe saba KAKA atashukia home kwake kabisa au? Anaweza ata akavaa jezi ya brazil uwanjani msishangae!!
 
Mzee Mkjj, Umesahau sifa ya kipee( duniani??). He is the only president who changed his public/official whatever photo in the name that @the first official photo was taken soon after election and he was under a lot of stress. He consistently aware of his looks. Oooh what a handsome presidaa!
 
Ndugu yangu Mwanakijiji, ni kweli kama unataka kumsaidia mtu ni vema kumkosoa kwa yale mabaya hayafanyayo na pia vyema kumpongeza kwa yale mazuri aliyoyafanya. Ninaamini waliokuwa karibu naye huwa wanamueleza na kumkosoa kama vile ile hotuba ya wazee wa Dar. Ilikuwa kali mno kuliko suala lenyewe. Ninachokisema hapa ni kuwa huyu ni kiongozi wa nchi yetu, ni msemaji mkuu wa nchi yetu, amechaguliwa kwa kura nyingi, tumpe heshima yake jamani. Mimi hata angekuwa rais anatoka CHADEMA bado tungempa heshima yake kama rais wetu. Tumheshimu rais wetu ndugu zangu. Mimi si mwananchama wa chama chochote ila napenda kusisitiza kuwa lazima kuwaheshimu viongozi wetu.

Tuangalie na maneno tutumiayo hasa wakati wa kuchangia mada kama hizi. Kwa mfano mtu anaka anafikiria eti Rais akifa achukue nani nchi. Kwa hasa binadamu ukae kuwazia fulani kufa???????. Huu si ustaarabu hata kidogo. Naombeni pia ile mada iondolewe maana haina maana.

Ndugu yetu Kikwete amefanya mengi ya kusifiwa, kweli yawezekana kafanya mengine si ya kupendeza ila ametijahidi sana kwa kipindi hiki, tusibiri kipindi cha pili atasukuma ngwe salama naamini hilo.
 
Katika picha hiyo hapo juu naamini yeye hana kosa hata kidogo katika makosa yaliyopo kwenye cheque. Wenye kutoa cheque ilitakiwa wamuombe rais msamaha kwa kosa lile. Kumbuka rais ameiona ile cheque muda ule wa kukabidhiwa. Sasa mkuu wa shirika linalokabidhi cheque kwa nini hakuliona hilo. Makosa mengine tuache kumlaumu Ndugu Rais, walaumiwe wenye makosa jamani. Let us think before we say something.
 
ni makosa gani ambayo tunaweza kumlaumu Rais. Kwa sababu kwa kadiri nikifikiria kwa kipimo chako hakuna makosa yoyote ya Rais. Kwanza, ni wazi Rais hawezi kufanya makosa hata kidogo..!
 
Siajasema kuwa Rais huwa hafanyi makosa. Yeye ni binadamu kama wengine. Ninachokisema hapa hasa kuangalia hiyo picha ya hapo juu, ni kuwa yeye Rais hakuwa na kosa kwa maana cheque walioandika ni wengine. Iweje sasa tumlaumu yeye?? Kumbuka ile chequ kaiona pale jukwani jamani. Let us be honest, na tumtendee haki. Walaumiwe walioandika ile cheque.

Rais wetu anapoona kuna pahala kateleza huwa muwazu na kuomba radhi kama marais wengi wanavyofanya. Ndugu yetu ana ustaarabu sana. Simtetei kwa vile anastahili kutetewa la hasha, ninachokisema ni kuwa tulaumu pale inapostahili.
 
Namaste, hadi hivi sasa unafikiri Kikwete kafanya makosa gani? Na hapa hatuzungumzii makosa ya kibinadamu tunazungumzia ya kiuongozi, kiutawala na kiuwajibikaji? Hatuzungumzii kama Rais kateleza ulimi, au Rais kajikwaa!
 
Sitaki kusema uwongo, namchukia sana Kikwete kwa sababu anapata heshima ya uongozi na privileges zote za uongozi wakati yeye haongozi chochote.
 
Ndugu yangu Mwanakijiji, ni kweli kama unataka kumsaidia mtu ni vema kumkosoa kwa yale mabaya hayafanyayo na pia vyema kumpongeza kwa yale mazuri aliyoyafanya. Ninaamini waliokuwa karibu naye huwa wanamueleza na kumkosoa kama vile ile hotuba ya wazee wa Dar. Ilikuwa kali mno kuliko suala lenyewe. Ninachokisema hapa ni kuwa huyu ni kiongozi wa nchi yetu, ni msemaji mkuu wa nchi yetu, amechaguliwa kwa kura nyingi, tumpe heshima yake jamani. Mimi hata angekuwa rais anatoka CHADEMA bado tungempa heshima yake kama rais wetu. Tumheshimu rais wetu ndugu zangu. Mimi si mwananchama wa chama chochote ila napenda kusisitiza kuwa lazima kuwaheshimu viongozi wetu.

Tuangalie na maneno tutumiayo hasa wakati wa kuchangia mada kama hizi. Kwa mfano mtu anaka anafikiria eti Rais akifa achukue nani nchi. Kwa hasa binadamu ukae kuwazia fulani kufa???????. Huu si ustaarabu hata kidogo. Naombeni pia ile mada iondolewe maana haina maana.

Ndugu yetu Kikwete amefanya mengi ya kusifiwa, kweli yawezekana kafanya mengine si ya kupendeza ila ametijahidi sana kwa kipindi hiki, tusibiri kipindi cha pili atasukuma ngwe salama naamini hilo.

Kuna wabongo kibao wenye mawazo kama yako. Na ndio wanaoifanya Tanzania kupata sura iliyonayo leo: Toka aina ya uongozi, uhuru na demokrasia, maendeleo ya kiuchumi, ustawi wa watu; na huduma nyingine za kijamii. Tuna kazi kubwa sana ya kupunguza upupu huu.
 
Back
Top Bottom