Why feel inferior?

ni kweli wanaume wengi wanaogopa sana kuoa wanawake wazuri koz wanakua wanafatwa sana (wanatongozwa sana)
kwenye black uko zaidi ya sahihi mkuu na iyo ndio huwasababisha hata wasiolewe na kubakia kua vimada wa mapedeshee wa town

correction,sio kila asiyeolewa anabaki kuwa kimada wa mtu.sio kila mtu ni tegemezi take note of that.
 
Habari zenu wapenzi. . .to be honest i micd jf kwa siku mbili hizi

Okey back to topic, why do most men feel inferior toward beautiful ladies? Mind me hapa nazungumzia wadada wenye uzuri wa asili na anayejikip smart sio wale wa kubandika kope.Yani jamani mkiona mdada mzuri (sio urembo wa dukani) ,smart,anayejipenda yani hata kimavazi tu anajitahidi kupendeza mnaogopa kumuapproach assuming that atakuwa ana gharama sana na hutaweza kumudu. Kwanini inakuwa hvyo? Mnataka mwanamke aweje ili uone kwamba you can afford to be with her? This inferiority thing inazibia wengi kwakweli.hebu fungukeni ili tusije tukawa hatuolewi kisa kuonekana wa gharama sana.

Well this has been a tendence 4 me for quite long time definately due to wat ive learnrd in life wanawake wengi akisha jitambua yeye ni mzuri it turns to be hell of a problem to a man in relationship with,kwasababu tajwa hapo juu na zingine ni kama kujiskia an many alternatives (akikumbuka namba ya men wanaomtongoza) such that hat kuachana sio issue kama ikitokea juc normal prblms katka mahusiano....Binafsi i have never thought of dating beautful woman coz kwanza i love truely so sipo tayari kujiumiza na mawazo..

I know wengi mtakubaliana nami!!!
 
Tatizo wanawake wengi hamtabiriki, mimi kuna dada mmoja kama wiki 2 hivi zilizopita, nilimuona kwa kweli nilimpenda nikajitahidi sana mpaka nikamfuata nikamwambia, lakini kilichonikuta hapo mh! Mpaka nilitamani kuweka sura yangu mfukoni, kwakuwa nilikuwa sina lengo baya kwake basi sikutaka kujibizana nae, nikageuka nikaondoka.
 
duh pole!
 
Well this has been a tendence 4 me for quite long time definately due to wat ive learnrd in life wanawake wengi akisha jitambua yeye ni mzuri it turns to be hell of a problem to a man in relationship with,kwasababu tajwa hapo juu na zingine ni kama kujiskia an many alternatives (akikumbuka namba ya men wanaomtongoza) such that hat kuachana sio issue kama ikitokea juc normal prblms katka mahusiano....Binafsi i have never thought of dating beautful woman coz kwanza i love truely so sipo tayari kujiumiza na mawazo..

I know wengi mtakubaliana nami!!!

yeah i knw most wazuri wapo hvyo but trust me,wapo ambao wanaheshimu sana mahusiano yao na hawahangaiki from one relationshp to another.kuna tunaojitambua na kujiheshimu na kuheshimu feelingz za wanaotupenda pia na sio kuwa na kiburi kisa uzuri.hujafa hujaumbika bwana,anayejua ni muumba.
 
Well this has been a tendence 4 me for quite long time definately due to wat ive learnrd in life wanawake wengi akisha jitambua yeye ni mzuri it turns to be hell of a problem to a man in relationship with,kwasababu tajwa hapo juu na zingine ni kama kujiskia an many alternatives (akikumbuka namba ya men wanaomtongoza) such that hat kuachana sio issue kama ikitokea juc normal prblms katka mahusiano....Binafsi i have never thought of dating beautful woman coz kwanza i love truely so sipo tayari kujiumiza na mawazo..

I know wengi mtakubaliana nami!!!

badilisha kwanza mtazamo,sio wanawake wote wazuri wako ivo..kuna wengine tupo simpo tu.
 
yeah sort of. I jst kip myself smart and huwa siongei hovyo. Kinachoniudhi is judging a person b4 hujamjua vizuri n i get that a lot.bt once mtu akinizoea then ananiambia how he thot i was b4 knowing me.

@vannila

kinachokuponza labda ni huo ukimya,unajua kuna watu wengine mnapokuwa karibu alafu unakuwa hauongei unachezea simu tu muda wote,anaona kama umemzalau flani....kumbe inawezekana unaugonjwa wa kutomzoea mtu kwa haraka mpaka upite muda....kuna watu wazuri jamani na watu wanakuja kila leo na vibuti wanavipata haswa.
 
hahahaha my dear u got me there! Will work on that thanx.
 
Inategemea jinsi unavyojiweka na kujipresent mbele za watu! Kuna mtu ukimwangalia tu facial expresion yake inaonyesha dharau hata kabla ya kuongea..lol!
No matter how beautiful you are personality ndo inamatter,try to be simple,weka pembeni complications,jichanganye utaona jinsi watu watakavyojimwaga kwako..sisi wengine wabaya lakini personality zinatuweka juu lol!
 
When it comes to marriage or chosing a life partner beutyness becomes an added advantage.. There is a lot to show than ur pretty face,big ass etc as marriage or serious relationship ni zaidi ya kulala pamoja au kutazamana mlivyo wazuri...

Up chelsea, blue is the colour this year
 
dah,kazi ipo. kuna watu wengne huwa wanataka mazoea sana at the first time. mf.ni mkaka mgen mtaan kwenu au jengoni kwenu au ofcn sasa akikusalimia anataka mazoea mpk msimame mara mtabasamu. me kiukweli huwa cpend mazoea sana na wakaka na ndo mana napata shda et naringa,najickia kisa mzur. salam napokea vzr cjui nin wanataka zaid.ukichangamka na kila m2 et mdada mapepe kha!hebu watuache
 
Ila jamani tuacheni masikhara, nimegundua kukutana na life partner ni degree nyingine, enzi za college access na girls kibao but kuingia maisha ya career ratiba zimekuwa tofaut as siku nzima unaipoteza job, ukirud umechoka siku inaenda, mpaka sometimes unadata sijui wife nitakutana nae vipi na wap maana wengine shughuli zetu wamejaa wanaume tu so ofisin no. Kusema mkutane stand no, but let's has be patient, ukisema u hang out sana unakutana na vitoto vya college tu ambavyo first talk tu unajua huyu anaigiza hata maisha hajui ni nini, its very challenge kukutana na matured life partner hasa ratiba zikiwa tyt
 
umeona eeh,hapo ndo shughuli inapoanzia. marriage ni institution ya kipekee sana. haifananishwi na chochote. hakuna trial n' error thou wanasema ikikushinda waweza divorce but kwa mie siafiki. inatakiwa kufikiri kwa kina na kuwa makin ukikosea ndo ushakosea maisha yote! MKATA KIU
 
Last edited by a moderator:
wala i dont talk much n huwa sio mtu wa kuhang out sehemu za juu. Mie wa kawaida sana tu kwenye masuala hayo. I dnt knw why my looks deceive most of them.

Dont worry atakuja tu. Naona msg kishaipata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom