Why feel inferior?

vanilla

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
448
356
Habari zenu wapenzi. . .to be honest i micd jf kwa siku mbili hizi

Okey back to topic, why do most men feel inferior toward beautiful ladies? Mind me hapa nazungumzia wadada wenye uzuri wa asili na anayejikip smart sio wale wa kubandika kope.Yani jamani mkiona mdada mzuri (sio urembo wa dukani) ,smart,anayejipenda yani hata kimavazi tu anajitahidi kupendeza mnaogopa kumuapproach assuming that atakuwa ana gharama sana na hutaweza kumudu. Kwanini inakuwa hvyo? Mnataka mwanamke aweje ili uone kwamba you can afford to be with her? This inferiority thing inazibia wengi kwakweli.hebu fungukeni ili tusije tukawa hatuolewi kisa kuonekana wa gharama sana.
 
inawezekana ni 'mazungumzo' yako

hakuna mwanamke aghali kwa kuvaa tu
since kuvaa ni 'first thing' kwa wanawake
na wengine humaliza mishahara na kukopa na kuazima juu kwa kuvaaa

wanawake aghali utawajua kwa mazungumzo yao tu

ukinza taja taja 'watu na places za watu matajiri' tu
average guys wana sikia na kukaa mbali na wewe

mfano wikiendi hii uje 'makutano bar' for a drink..
we unasema ahh kwa nini usije lunch Kempisiki....lol
 
me mwenyewe huwa nakutana na hyo dhahama. wanaume husema me najickia ,cjui wa gharama mara nipo matawi ya juu. lakn me ni wa kawaida sana. afu pia huwa wana kamsemo hv "mwanamke mzuri atakutia presha mara anatongozwa sana. mwanamke mzuri ni wa show off tu co wa kuoa" nashangaa sana!
 
Wewe umepata shida hiyo? I mean: are you so beautiful that men are afraid to approach you?

yeah sort of. I jst kip myself smart and huwa siongei hovyo. Kinachoniudhi is judging a person b4 hujamjua vizuri n i get that a lot.bt once mtu akinizoea then ananiambia how he thot i was b4 knowing me.
 
inawezekana ni 'mazungumzo' yako

hakuna mwanamke aghali kwa kuvaa tu
since kuvaa ni 'first thing' kwa wanawake
na wengine humaliza mishahara na kukopa na kuazima juu kwa kuvaaa

wanawake aghali utawajua kwa mazungumzo yao tu

ukinza taja taja 'watu na places za watu matajiri' tu
average guys wana sikia na kukaa mbali na wewe

mfano wikiendi hii uje 'makutano bar' for a drink..
we unasema ahh kwa nini usije lunch Kempisiki....lol

wala i dont talk much n huwa sio mtu wa kuhang out sehemu za juu. Mie wa kawaida sana tu kwenye masuala hayo. I dnt knw why my looks deceive most of them.
 
basi you have to learn 'how to be a bitch'

kuna kitabu kinaitwa 'why men marries bitches'......kitafute lol
 
me mwenyewe huwa nakutana na hyo dhahama. wanaume husema me najickia ,cjui wa gharama mara nipo matawi ya juu. lakn me ni wa kawaida sana. afu pia huwa wana kamsemo hv "mwanamke mzuri atakutia presha mara anatongozwa sana. mwanamke mzuri ni wa show off tu co wa kuoa" nashangaa sana!

duh kumbe am nt alone,inaudhi kwakweli.ukishindwa kumuingia mtu basi unaanza kusema anaringa.
 
yeah sort of. I jst kip myself smart and huwa siongei hovyo. Kinachoniudhi is judging a person b4 hujamjua vizuri n i get that a lot.bt once mtu akinizoea then ananiambia how he thot i was b4 knowing me.

I love your confidence darling... :yo:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom