why do u cheat??

Kuna mtu kani txt
didy mke wa mtu mtamu best..so utakuta kuna kaama hawa wana miaka inaenda 40 awataki kuoa wakiamini kufakamia ndoa za watu ....anyway panga la vijogoo liko mbioni
 
Rule Number?

Wapi katibu? Leta makabrasha hapa, kuna mwanachama anataka kanuni!

Inshort, mwanaume akitoka nje ya ndoa, anakwenda kutimiza wajibu wake wa kutekeleza kanuni za NATURE, ila mwanamke akitoka thats 100% cheating! Anatafuta nini huko nje wakati ana mpingo wake nyumbani?
 
Kumbe haujaolewa okay subiri uolewe basi, uanze pia kumdunda kabla hajakuoa sawa mama
tena wewe km ungekuwa haujaoa ndo ingekuwa vzur yan ningekunyuka mara 3 kwa siku km doz
na ndomana ntaolewa na mtu mwembamba asiyezd kg 30!!!manake naona vilio vng uko ndoani na masuluhisho haba!!!!!!!
 
Kama wanaume tusingewapenda mademu uzinzi usingekuwepo.Tatizo tunawpenda ..love ... hata kama ni kwa siku moja . Hiyo love inasukmwa na kitu alichoumba Mwenyezi Mungu ndani mwetu. Wengine wakiita tamaa ya mwili , mimi huiita natural love power . Too natural for men to love women .

As long as men and women are there, cheating will never end.
 
wapi katibu? Leta makabrasha hapa, kuna mwanachama anataka kanuni!

Inshort, mwanaume akitoka nje ya ndoa, anakwenda kutimiza wajibu wake wa kutekeleza kanuni za nature, ila mwanamke akitoka thats 100% cheating! Anatafuta nini huko nje wakati ana mpingo wake nyumbani?

na wewe si una bakuli lako nyumban...
 
na wewe si una bakuli lako nyumban...

Tunarudi kule kule kwenye NECHA! Mtarimbo haujaumbwa kwa ajili ya bakuli moja! Ila bakuli limeumbwa kwa ajili ya mtarimbo mmoja! Have I made myself clear?
 
To spice up your relationship /your marriage, Having sex with more than one woman is an ego boost for those with low self-esteem.
 
kama wanaume tusingewapenda mademu uzinzi usingekuwepo.tatizo tunawpenda ..love ... Hata kama ni kwa siku moja . Hiyo love inasukmwa na kitu alichoumba mwenyezi mungu ndani mwetu. Wengine wakiita tamaa ya mwili , mimi huiita natural love power . Too natural for men to love women .

As long as men and women are there, cheating will never end.

awa gnld/alovera awana dawa ya kutotoka nje jamani//watuletee juice ya alovera ya kuchukia nyumba ndogo yaani ukiinywa ukiona ngozi nyingine unaweka bifu..
 
tena wewe km ungekuwa haujaoa ndo ingekuwa vzur yan ningekunyuka mara 3 kwa siku km doz
na ndomana ntaolewa na mtu mwembamba asiyezd kg 30!!!manake naona vilio vng uko ndoani na masuluhisho haba!!!!!!!

Kuna kitu unaki miss unahitaji upewe before mambo hayajawa mabaya kabisa PM me anytime practical session is required
 
Tunarudi kule kule kwenye NECHA! Mtarimbo haujaumbwa kwa ajili ya bakuli moja! Ila bakuli limeumbwa kwa ajili ya mtarimbo mmoja! Have I made myself clear?

Mmmmh m nakunywa hedex;kwa style hii mmh!!
 
tena wewe km ungekuwa haujaoa ndo ingekuwa vzur yan ningekunyuka mara 3 kwa siku km doz
na ndomana ntaolewa na mtu mwembamba asiyezd kg 30!!!manake naona vilio vng uko ndoani na masuluhisho haba!!!!!!!

Nitawafahamisha makatibu wangu wanakili na hio pia maana kunyukana mara tatu kwa siku its even recommended by doctors
 
Nitawafahamisha makatibu wangu wanakili na hio pia maana kunyukana mara tatu kwa siku its even recommended by doctors

uko sawa kabisa nimesahau hii inaweza ikawa sabbabu ya kutoka nje,,kuna watu bila 4*1 awawezi lala unakutawenzao wamezaliwa kwa ajili ya 2* 1 inakuwa shida..hivi wanandoa kulambana madhabahuni nayo dhambi??
 
Hapo ngoja nimtafute Askofu Infi atakuwa na jibu zuri kabisa la kutupa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom