Why do people cheat??...

tunaishi maisha ya kwenye tv,maisha ya kwenye keyboard za computer na maisha ya kwenye keypad za simu..
 
Kucheat????????????????
Nafikiri mimi kikubwa zaidi ni maudhi yasiyoisha kutokujuwa wajibu kati yao kuona kuwa tayari amefika na hakuna zaidi . tamaa isiyo na maendeleo mashoga na washirika/wanaume
Wenye kipato kuona mwenzako kama vile kinyago na akigundua atatafuta wapi atathaminika
 
Back
Top Bottom