Why do people cheat??...

arnolds

Senior Member
Oct 10, 2009
105
57
Mornin wana JF,
cku hizi udanganyifu ktk mapenzi limekua jambo la kawaida sana. kila kukicha relationships znabreak kwasababu ya
uaminifu umekuwa zero!..nimejaribu kuangalia kwa undani chanzo hasa ni nini lakini sijapata jibu!..Hivi ni kwanini couples wanacheat??
Hii inatokea kwa gender zote hvyo hatuna sababu ya kunyoosheana vidole, tujaribu kutafuta mzizi wa hii kitu!.
naomba kuwasilisha hoja!.
 
Nasikia wanasema sababu ni kupata raha na burudiko la moyo. Pale maudhi na kero almost ni sifuri. Dharau hakuna, kununiana hakupo,hakuna kulaumiana,hakuna kuchunguzana,maelewano yapo, kila hoja inapata muafaka hakuna mbunge wa kususia mjadala na kutoka nje na zaidi ya yote unaimarisha uhusiano wa yule uliemcheat. Hapo ni kufaidi maisha hadi unajiuliza kwa nini Mungu aliweka kifo. Hivyo ndivyo wanavyosema wataalamu wa kucheat.
 
We cheat because:-
1. Haramu zote tamu e,g. cheating, bangi, gongo, kitimoto, maunga ya maharage.
2. Rules are there to be broken
3. Nyama inachosha, bora kuonja na dagaa kwa jirani
4." Law use and misuse", anayekitumia kwa watu tofauti tofauti ndo anakuwa na nguvu zaidi.

Cheaters endelezen na mengine.....
 
Daaaaaah hiii kali kongosho we kiboko.
 
wanawake wengi kuliko wanaume,dini zingine zinakataza kuoa mwanamke zaidi ya mmoja,mwanamke ambaye hana mume hitaji lake ni sawa sawa na mwenye mume,hivyo lazima wasaidiwe na wao wapate hiyo raha
 
shetani yuko klazini - akipewa nafasi anamtumia yoyote - cheating ni roho kamili kutoka kwa shetani - na daima mwisho wake ni aibu.

hivyo awe mwanamke au mwanaume ..........akimpa shetani nafasi anakuwa na tabia za kishetani - ambayo mojawapo ni CHEATING
 
wanawake wengi kuliko wanaume,dini zingine zinakataza kuoa mwanamke zaidi ya mmoja,mwanamke ambaye hana mume hitaji lake ni sawa sawa na mwenye mume,hivyo lazima wasaidiwe na wao wapate hiyo raha

Sidhani uko sawa 100%.Wako walio na waume na bado wanatongozwa.Kwanini basi wanaume wasitongoze singles tu?
Cheating ni kitu kinafanyika kwa sababu mbalimbali kwa sababu jamii imegubikwa na unafiki kwa kiwango kikubwa kuliko tunavyodhania.
Kufuatana na mazungumzo na mawazo yanayojitokeza kwenye nyanja mbalimbali zilizo wazi na zilizojificha, kuna sababu kuu kama mbili kwanini watu wanacheat.
a/ kutokuridhishwa na uhusiano uliopo ( hii inaelezea kwanini walio na ndoa nao hucheat).Mtu aliyefanyiwa vitendo vya ukatili, kuchitiwa,na kudhalilishwa kiasi cha kufikia kubomoa self-esteem, mhusika anaweza kujikuta kacheat kujitathmini kuwa je ni kweli hana thamani tena?Tukisema kwanini mhusika haachani na huyo mwenziwe, majibu nayo ni mengi.Hata akiondoka na akakutana na kero zilezile itakuwaje? Si atajikuta anaacha kila siku na huku anahitaji kupendwa?

b/Adventure! Kuna watu watukutu kwa asili yao na haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
 
Wanawake wazuri warembo kila wanazaliwa. Nikimwona Mwanamke mrembo namfukuzia mpaka nimpate, tena wakati namfukuzia najisemea moyoni kuwa hakuna mzuri kama huyu. lakini nikishamweka kwenye himaya, anatokezea mwingine mrembo kupita yeye, kwahiyo inakuwa shughuli kweli.
Lazima utakuwa mwongo kama wewe ni wakujirusha na wanawake wengi, maana hawatapenda kusikia unapanda mbegu kila mahali.
 
Tunacheat sababu Raha ya mwenge kupokezana, na kizuri kula na nduguyo!
 
wanawake wengi kuliko wanaume,dini zingine zinakataza kuoa mwanamke zaidi ya mmoja,mwanamke ambaye hana mume hitaji lake ni sawa sawa na mwenye mume,hivyo lazima wasaidiwe na wao wapate hiyo raha

Wakiwa wengi we inakuhusu vipi kwani ni ww uliyewaleta duniani? Ni kuendekeza tamaa za kimwili kusiko na faida
 
Wanawake wazuri warembo kila wanazaliwa. Nikimwona Mwanamke mrembo namfukuzia mpaka nimpate, tena wakati namfukuzia najisemea moyoni kuwa hakuna mzuri kama huyu. lakini nikishamweka kwenye himaya, anatokezea mwingine mrembo kupita yeye, kwahiyo inakuwa shughuli kweli.
Lazima utakuwa mwongo kama wewe ni wakujirusha na wanawake wengi, maana hawatapenda kusikia unapanda mbegu kila mahali.

The Beautful Ones Are Not yet Born!!!
 
Back
Top Bottom