Sultani kambe
Member
- Apr 26, 2012
- 63
- 4
2ko na raha hadi 2nalala bungeni hafu unasema tunamwogopa huyo kigaa
Hili Swali mpelekee Msitafa Mkullo, anayajua vizuri majibu yake. Maana alijifanya anajua kubishana na Zitto, alishauriwa akutane naye faragha waweke mambo sawa alijifanya mbishi. Sasa anapumulia mashine, hakika weekend ya leo ataikumbuka sana Mkullo maana weekend ijayo tutakuwa tunazungumza mambo mengine
Muulize Mudhihiri anaweza kuwa na jibu.
Itategemea na matokeo ya uchaguzi lakini kabla ya hapo je CDM wako tayari kumpa nafasi ya kuwaongoza?haya mkuuu majebele sasa nimekuelewa ila wasiwasi wangu mpo tayali 2015 tumwachie nchii aongoze na ccm iwe chama cha upinzani
wadau hivi kwa nini members wengi wa ccm wanamuogopa huyu kijana kwani
1.sikusikia hata siku moja wakipinga matokeo ya ubunge
2.wakimsema kwenye mkutano yao ya kampeni
3.akisimama bungeni viongozi wengi huwa wanaanza kutetemeka
hivi naombeni mnipe siri ni nini.....ya kumuogopa huyu kijana yaani hata anawanyima usingizi
Itategemea na matokeo ya uchaguzi lakini kabla ya hapo je CDM wako tayari kumpa nafasi ya kuwaongoza?
Wewe ndio una amini hivyo. Sio vingozi wako.kwani hujui kwamba hapo alipo anatuongoza??
kwa sababu ana akili nyingi sana na busara kuliko viongozi waote wa chadema,na anajua kufanya siasa ndio mana kila hoja anayoibua lazima iwaguse wananchi wote bila kujali vyama.
ndio mana wenye uchungu na nchi hii tungependa agombee urais kupitia muungano wa upinzani
nimecheka mpaka stress imenitoka