Why did you get married?

Niliwahi kusema lakini naludia kwa manufaa ya wengine.

Niliowa baada ya kuangalia muvi ya mzee small anaimbiwa wimbo wa talabu na Bichau at ze same taimu anapapaswa upara, mzuka ulipanda hafla sku ya pili nikaowa bila kutest zali.

Warning: Hii iwe sredi ya mwisho kuulizwa hili suali

niliwahi kusema lakini naludia kwa manufaa ya wengine.

Niliowa baada ya kuangalia muvi ya mzee small anaimbiwa wimbo wa talabu na bichau at ze same taimu anapapaswa upara, mzuka ulipanda hafla sku ya pili nikaowa bila kutest zali.

Warning: Hii iwe sredi ya mwisho kuulizwa hili suali

mtanzania aliulizwa na mdenish ati watanzania wakiulizwa swali wanauliza swali

akamjibu -nani kakwambia??

Huoni hili swali halina mwisho

Atoe kile kiulizo kule mbele ndio wataacha kujibu wakiona tu kale kadude sijui mlioata -a kiswahili kinaitwaje??

Wacha na mie ni endelee ku like kama dadangu asha dili

hiii thread naona ni best thread tukiazimisha miaka 50 ya jf aoo sorry miaka 50 ya uhuru wa CCM

mi ilikuwa ya mkeka ba mkwe kashikilia panga....
Nafikiri Klorokwin ameisharudi kutoka Igunga alikuwa kwenye kugawa wali na tshirt kwa wapiga kura kama nilivyokufahamisha awali ile kazi yake ya kuuza bucha amecha sababu ya mgao wa umeme

MBONA HUJAWEKA BAR? (Booked) Haijalishi mtu unayetaka kuoana mmekutana wapi;

hata kama ni kanisani, shuleni, kwenye mkesha wa maombi, kijijini, mjini, hotelini, sokoni, kwenye daladala, barabarani, ofisini, kazini, safarini, kwenye semina au hata kama ni kwenye internet au njia yoyote ile ambayo Mungu anaweza kuitumia maana Mungu hafungwi na njia za kukutanisha watu.

Au Haijalishi ni mzungu, mwarabu, mchina, mwafrika, au awe mnene, mwembamba, mrefu kama Ngongoti, mfupi kama Zakayo,

Awe amesoma au hajasoma, awe mbena au mchaga au mhaya au mgogo au mzigua, au awe anatoka Canada, Kenya, Uganda, Nigeria au Tanzania. Pia haijalisha ktk kukutana naye umeunganishiwa na rafiki yako, au mchungaji wako, au wazazi wako au mtu wako wa karibu.

Kitu cha msingi ni wewe kuwa makini kujiuliza haya maswali matano muhimu.

1. JE, TUNAFANANA? (Compatible)

Ndoa ni kama jengo la nyumba na nyumba ni sharti iwe na msingi (foundation). Msingi imara huwezesha nyumba kuhimili kila aina ya janga linalotokea kama vile mvua, upepo, mafuriko, dhoruba, tetemeko la ardhi nk. Na kuna aina ya material zinazotumika kujengea msingi na hizi aina za material ndizo huelezea aina ya msingi na uimara wake.

Unaweza kujenga ndoa kwa kuvutiwa na umbo la mtu (mvuto wa nje) au urembo tu. Pia sasa hivi kuna uzuri mwingi tu na unauzwa dukani (body shops)

Unavutiwa na kipande kimoja tu cha mwili wake kama vile shingo, matiti, ******, unene, au wembamba, nywele, smile, anavyotembea, miguu, au kifua nk.

this is just physical attraction kuna siku anaweza kubadilika kuna kuugua, kuna ajali, kuna kubadilika mwili nk kwa hiyo ku-base kwenye mwonekano wa nje peke yake lisiwe jibu kwako kuona huyu mtu

Nafikiri Klorokwin ameisharudi kutoka Igunga alikuwa kwenye kugawa wali na tshirt kwa wapiga kura kama nilivyokufahamisha awali ile kazi yake ya kuuza bucha amecha sababu ya mgao wa umeme

jana nilimuona kwenye taarifa ya habari yuko kifua wazi na vuvuzela kuuuubwa halafu kashikilia bendera ya cuf

Back
Top Bottom