Why did you get married?

Hahahahahahaha hiswali limekaa kimas'hara sana mi nilifikia maamuz ya kulipia vati kimwana wangu nilipo choka kuiba maswala nakuja then haj kuzinitu ambako hakuna inshu cna ninacho kimbia zaid ya gharama zisizo na ulazima nilichoshwanayo hayo nikaona bora niweke ndani nikitaka napata hata usiku wa manane tena halali haina dhambi mathawabu kedekede huku unapata burdan
 
Pdidy kama unavoona, nimeenda kuchukuliwa na kuletwa hapa kwa hisani yako... Unasemaje dear...

umenirudisha kutoa mawazo yangu niliishia kuweka like baada ya kukumiss ma d wazima kidume walitaka kuingia anga zake akatoa warning mmoja nikbidi nimliwaze hata wewe shem ..naona roho wa bwana kamwonyesha bila wewe hii mada aiishi si unaona swali lilivyo nipe basi hata vya kulalia nikasome mawazo yako mzazi
 
Hii inafanana na ile upewe muda urudishwe na Mungu wakati unaoa/olewa utamchagua huyo uliye naye sasa hivi??? hili swali limekaa kizushi kama hili
 
Usiseme nitambadilisha baada ya kumuoa, kwa Taarifa yako wewe ndo utabadilika.

5. JE, UMEMUOMBA MUNGU?
Tuna muhitaji Mungu ktk kutoa maamuzi muhimu ktk maisha yetu (important decisions in life) kama kuoa.

Jiulize kama umemuomba Mungu na kuthibitisha kwamba​
 
"Apataye Mke Apata Kitu Chema; Naye Ajipatia Kibali Kwa Bwana"
(Mithali 18:22)


Kutokana utafiti ambao umefanywa unaonesha kwamba moja ya mambo ya msingi ambayo kila kijana anahitaji ni Ndoa ya Kudumu ukiacha ongezeko la kufeli kwa ndoa nyingi.

Wakati huohuo moja ya uamuzi (decision) wa maana sana katika maisha ya binadamu ni kuamua nani atakuwa mume wako au mke wako na huu uamuzi ndiyo utakufanya uweze kuishi maisha ya namna gani katika ndoa yako na pia kuathiri kabisa mfumo wa maisha yako kuwa raha au kuwa karaha

Watu wengi katika maisha wamekuwa wakilaumu upande mwingine iwe mke wake au mume wake kwamba ndiye sababu ya kuvunjika kwa uhusiano au ndoa yao.
This is none sense! muhusika mara nyingi ni wewe kwani asilimia 99 ni jinsi ulivyompata huyo mtu ambaye amesababisha ndoa yako au uhusiano kuvunjika.

Mtu anayestahili kupewa lawama zote ni wewe.

Kama hujaolewa au ndio upo kwenye process za kuolewa au kuoa,Fahamu kwamba hakuna jambo muhimu maishani mwako kama huo uamuzi unaotaka kufanya, unaweza kukupa furaha ya maisha au uchungu wa maisha hapa duniani.

Unahitaji kutumia
akili zako zote,
maombi yako yote,
uwezo wako wote na
kila resource ulizonazo
kwani hapa makosa hayana nafasi kabisa

Wala usikubali kumuoa huyo binti au kuolewa na huyo kaka eti kwa sababu:

Watu wanasema Mbona hujaolewa au kuoa!
Au ndugu zako, au mchungaji, au wazazi wako au rafiki zako wamekwambia!
Au kwa sababu umeona muda unakwenda!

Amua mwenyewe na jichunguze kama upo tayari na kama mtu unayetaka kuwa naye anakupa uhakika unaoridhika nao wewe mwenyewe.

Kumbuka it is easy to reshape the mountain siyo mtu, kwa hiyo kama kuna tabia fulani ambayo unaiona kwa mtu unayetaka kuoana naye na hujaridhika nayo Please fikiri zaidi ya mara mbili.
Na kama unaweza give time au fikiri mara nyingi zaidi.

Mara nyingi wanaosema watawabadilisha matokeo yake wao ndo wamebadishwa

Hapa huhitaji kuwa blind kwa sababu ya fall in loves, bado unahitaji kuwa na akili timamu kumfahamu zaidi huyo unataka kuoana naye kabla love haijawafanya kuwa blind au otherwise muwe blind maisha yenu yote.

"Remember any fool can fall in love,
but it takes character for a fool to remain in love"
 
Nani kasema happiness is an accident
inategemea na wewe ulivyojiandaa umeamua kuchukua mzigo wa happiness kwa muda gani ndio maana utaona juu swala la kwa nini nioe ama nisioe nilako mwenyewe na hata unayokutana nayo hayo ni maandalizi uliyofanya kwenye maisha yako
na wala usilaumu mtu yoyote jamani so lamaana kabla ya kufanya jiandae kuwa makini na ujiangalie wewe kama wewe utayaweza ..kuna kesi moja nilisolve mwaka jana kanisani mwanaume anadai ananyimwa unyumba nikajaribu kutoka mbinguni na kuingia dunian kujua tunmalizaje mwanaume nikakaa nae chemba akadai mkewe akifanya nae mapenzi wala afutahii kabsa na ukweli anahisi nanii yake imekuwa kubwa nikamwambia mna miaka miwili ulivyoiukuta ilukuwaje akasema safi kabisa nikamuuliza aliekuwa akitumia ni wewe pekee yako akujibu ...nikamfwata mwanamke nikamuuliza akadai mwanaume alishamuuliza ati kwa nini nanii yako kubwa sikuhizi ...nikamwambia mbona kasema tofauti kadai kila siku anatamani kuitumia akiomba unamnyima na kasema anafikiria kujiua kwa ajili yako ...akadai mwongo nikamwambia nakwambia ukweli...sasa tutayamalizaje akasema atubu mbele yenu kwamba ni tamu na kama kubwa aliikuta hivyo...nikamweka sawa mwanaume nikamwambia akuna aja ya kwenda kukuza nanii mama anataka a-b-z akuamini leo wamechapana mimbaya pili ndani ya miaka miwili na nusu...so unachojiapnga ndicho unachokwenda kuvuna
 
Nafikiri Klorokwin ameisharudi kutoka Igunga alikuwa kwenye kugawa wali na tshirt kwa wapiga kura kama nilivyokufahamisha awali ile kazi yake ya kuuza bucha amecha sababu ya mgao wa umeme

jana nilimuona kwenye taarifa ya habari yuko kifua wazi na vuvuzela kuuuubwa halafu kashikilia bendera ya cuf

hehehehe aisee nyinyi huu muda wenu wa cafe mnautumia vibaya sana! kama bado mpo cafe jibuni na post hii basi.
 
Are you married yourself?
<br />
<br />
Not yet..i want to explore from those who are in a marriage already maybe i could learn something and probably nika find a meaning to it!
 
Back
Top Bottom