Why Darwin was Wrong

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
The way that for 150 years certain people have been devoted to such an extraordinarily illogical belief as the theory of evolution is a great miracle created by God by making use of Satan. Those with good sense and faith in God and who are aware of this miracle have been waiting for 150 years to see just when evolutionists would become aware of this deception of Satan's, and have been using various means of suggestion, employing scientific and rational methods, to awaken them.

The way that hundreds of thousands of professors, scientists, university students and doctors have blindly believed in the exceptionally illogical claims of the theory of evolution is a historical phenomenon that will be remembered with astonishment in no more than 20 years, and will be the subject of jokes and sketches.

Believers in evolution fall under the spell of the Latin terminology and pompous language employed by evolutionist scientists, saying, "whatever they say must be true," and do not think about the real meaning of what they are told. One of the most effective ways of getting these people to think is to explain what the theory of evolution actually maintains in a very clear and simple manner, and thus to remove the spell under which they have fallen.

The Claims of the Theory of Evolution Are a Complete Violation of Reason and Logic

According to the unscientific and irrational claim of the theory of evolution, the nothingness in the infinite universe gradually gave rise to mankind as a result of chance developments. According to this utterly unbelievable theory, first dust, then soil, stones, waters, mountains and oceans came spontaneously into being in this nothingness devoid of anything of the sort. Later, certain atoms in the mixtures of these came together by chance and brought into being such elements as calcium, phosphorus and carbon. Over millions of years these lifeless elements, completely lacking in intellect, memory, knowledge and consciousness, turned into human beings able to breathe, speak, think, rejoice and mourn, possessed of a soul and memory, with the intelligence, knowledge and consciousness necessary to invent things, and capable of writing libraries full of books. In other words, under the effects of coincidence over billions of years, accumulations of dust, soil and mud turned into human beings of flesh, blood and soul, capable of building extraordinary factories and producing the latest model of cars in them, of establishing space stations, of constructing palaces, and making marvels of art. To believe that stone and soil could one day turn into human beings as the result of chance is even more irrational and illogical than believing in fairy tales. Not even children would believe such a tale.

If evolutionists are sincere in these claims of theirs, then according to those claims there should be no reason why this so-called evolution should not happen again. They could go, for instance, to the largest swamp in the world and expect to see a palace built there billions of years later. Let them sit by that swamp and see whether a human being to build palaces will emerge from the rocks, stones and mud there. Will even a single living cell come into being, let alone a human being? In order to help coincidences along, let them even fill the swamp up with as much carbon, phosphorus, nitrogen, iron, magnesium and oxygen necessary for a living cell.

It will be absolutely out of the question for a single living cell to emerge spontaneously from there. Even a single living cell is extraordinarily complex, containing; power stations to produce energy; factories that produce the enzymes and hormones essential for life; a data bank containing information regarding all the products to be produced; complex transportation systems to carry raw materials and products from one region to another; pipelines; advanced laboratories and refineries to break down the raw materials brought in from outside into useful components; and specialized cell membrane proteins that control the entry into and departure from the cell of various substances. This is the most simple and superficial description of a cell. Just one single feature of the cell is sufficiently complex and magnificent to fill many volumes.

Could chance produce such an organized system from that mud? Can chance make that smallest organized system increasingly complex and produce an entity such as a human being? Can chance teach a monkey to speak, to make compliments, to think, to build palaces, to found civilizations and nations, to build ships and discover continents, to set up laboratories or to perform experiments by investigating the cells that comprise them? What coincidence can endow an ape with a soul? The answer to each one of these questions is very clear and definite: chance can produce neither a human being nor the cell, the smallest component thereof.

Since evolutionists believe in this impossibility, then let them take a suitable amount of mud and wait for it to construct palaces, produce the latest model Jaguar, or build bridges. Let them wait for that mud to produce, spontaneously, first a single cell, then amoeba, fish, lizards, horses, apes and finally human beings. Then let them watch those human beings design cars, make discoveries and found civilizations. In fact, even the most dyed in the wool evolutionist knows this can never happen, but they imagine that by making this claim together with Latin terms and a weighty style it somehow becomes credible.

To believe that all the living things we see on Earth, the flowers with their matchless beauty, fruits, flavors, butterflies, gazelles, rabbits, panthers, birds, and billions of human beings with their different appearances, the cities built by these human beings, the buildings they construct, and bridges all came about by chance from a collection of mud, means taking leave of one's senses. The fact that large numbers of people believe in such nonsense in no way legitimizes it; on the contrary, it shows that we are looking at a miracle. A miracle took place 150 years ago, when an old man with an amateur interest in biology began to bring a huge mass of people under his influence with the senseless ideas he produced from his imagination during a sea voyage. The fact that so many people were taken in by these nonsensical claims like a spell is a great miracle of God. In the Qur'an God reveals that some people will believe in the impossible and be taken in by nonsense, though they will be unaware of the fact.

The Theory of Evolution Is a Deception of Satan, and Satan's Deception Is Weak
God reveals in the Qur'an that Satan has vowed to turn people away from the true path, to deceive them, to make them believe in nonsense and perversions, and set snares for them:

"I will lead them astray and fill them with false hopes. I will command them and they will cut off cattle's ears. I will command them and they will change God's creation." Anyone who takes Satan as his protector in place of God has clearly lost everything. He makes promises to them and fills them with false hopes. But what Satan promises them is nothing but delusion.
(Q 4:119-120)

When we read that in past civilizations some people worshipped fire or idols made of stone, and took the Sun or Moon as their gods, we are astounded that people could have believed in such things. These people, as revealed in the verses, are taken in by unbelievable nonsense at the prompting of Satan and imagine, as if laboring under a spell, that the most irrational and illogical things are really true. Satan, by God's leave and with the means He gave him of course, has assumed the task of deceiving those who do not believe in God, making them do insane things, making them believe in false things instead of God and portraying, by means of deception, these things as reasonable and legitimate. The theory of evolution is just such a vehicle that Satan has been employing for the last 150 years. In addition he has turned this vehicle into a most potent weapon by concealing it under the name of something that people have the greatest confidence in - science. Those who are taken in by Satan's deceptions, albeit unawares, even professors, rectors, teachers and doctors, come to believe the most incredible things that even children would not.

However, that weapon of Satan is only effective against weak people, those with no faith. Sincere, devout individuals are never affected by it, and perceive Satan's deception in all clarity. In the verse:

"Satan's scheming is always feeble"

(Q 4:76)

God has revealed that Satan's deceptions are weak. In another verse God reveals that Satan says he will never be able to mislead His sincere servants (Q 15:39-40).

As is revealed in the verses, by God's leave, Satan's deceptions are powerless against sincere servants. In the same way that the faithful are unaffected by Satan's snares, they also foil him by revealing his deceptions.
It is easy to free oneself from Satan's snares. All one has to do is to think honestly. Anyone who thinks honestly will see that the claims of the theory of evolution are untrue. Evolutionists, too, would see this manifest truth if they could free themselves from the effect of their own circles, their concerns to the effect that "If I say I do not believe in evolution what will my colleagues think of me?" and will cease to believe in such an impossible scenario as evolution. In one verse God reveals:

As for those who guard against evil, when they are bothered by visitors from Satan, they remember and immediately see clearly.
(Q 7:201)

More Reading: Why Darwin Was Wrong
 

Asante XP, ni kweli kabisa darwin alikuwa mungo tena wa kutumba mbali. darwin kashindwa kusema what was there before the beginning.
 
I think only evolution can help explain or answer differences among groups such as why are Whites and Asians smarter than Blacks?, why do Blacks dominate certain sports? etc.
I don't think the creator purposefully made Blacks have low IQ or dominant in certain sports. Evolution must have played some part in all of this...
 
Tatizo tunakuwa wavivu wa kusoma sayansi sasa in adhibitisha kuwa vitu havikuumbwa ndani ya siku saba kama dini zebu zinavyosema, evolution took place nyinyi mtasema nini hapa. Kuna missing link ambayo watu wa dini walikuwa wanaitumia kama kigezo cha kulazimisha watu kuwa kuna mungu hii sasa imeshapatikana.

Inatoa maelezo ya kutosha kuonyesha kulikuwa na kitu gani kabla ya big bang na kilichotokea baada ya big bang na kiumbe wa kwamba na life agency walikuwa wapi ambapo mpaka leo wapo.

Tafute discovery channel search missing link then utapata majibu yako. Unajua unapopinga mawazo ya mwenzio its better ukawa na alternative explainations ambazo ukizitoa kwenye vitabu vya dini vyote vipo kwa ajiri ya interest za waarabu na waisrael.

Vitabu vina makosa mengi sana yasiyosemeka ambayo mtu wa kawaida ukiwa ni critical reasoner unajua kabisa na nyinyi viongozi wa dini mnaua hilo lakini kwa kuwa mnapata masirahi hamuwezi kusema ukweli matokeo yake mnaanzisha escret courts za kuakikisha wote wanaojua ukweli wanauawa ili muendelee kuwaibia masiki kwa misemo yenu ya aliyenacho ataangozewa, je hilio ni neno la mungu kweli mwenye uwezo wa kila kitu kwanini akuumbe wewe pastor na shee hule kwa jasho la wengine na kuwaacha wengine wanakufa masikini, kwanini asiwasaidie watoto wa palestina wanaokufa bila kujua kosa lao, kwanini watoto wa congo wanakufa anawaangalia bila kuwatetea hata kuwasismamisha hao wanaowahua hata kwa saa moja wakajua kuwa mungu yupo na hawatakiwi kuhua makusudi.

Au ndio hiyo ya kusema kuna watu wamependelewa na mungu kama watoto wa israel na wewe ukiwabaliki utabarikiwa kwahiyo sisi tuliozaliwa nje ya israel sisi ni takataka kwa mungu, kwanini ubaguzi wa aina hii kwa watu ambao amewaumba kwa kila kitu sawa kwanini mmoja awe na haki ya kuwa na vitu ambavyo mwingine haruhusiwi

Hizi dini mnazitumia kuibia watu wenye vipato vya chini, kiongozi gani wa dini ambaye maisha yake ni mabaya, anagalia wafuasi wao, wizi mtupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kanisa katoliki limeshakubali na kumuomba Darwin msamaha kwa kumwekea pingamizi ya thoery yake.
Sasa sielewi watu bado wanakataa nini? Kuamini evolution sio lazima uwe unampinga mungu. Tena nina video nzuri sana ya professor ambaye ni mkristo anaeleza kwanini Evolution ndo ukweli, sema ni 700Mb ningeiupload.
 
Haki za Kibinaadamu na Uadilifu katika Uislamu

Uislamu unatoa fursa ya haki nyingi za kibinaadamu kwa ajili ya mtu binafsi. Zifuatazo ni baadhi ya haki hizo za kibinaadamu ambazo Uislamu huzilinda.
Maisha na mali za wananchi wote katika taifa la Kiislamu huchukuliwa kuwa ni vitukufu, iwe mtu huyo ni Muislamu ama la, Uislamu unalinda heshima pia. Hivyo, katika Uislamu, jambo la kuwatukana wengine na kuwakejeli haliruhusiwi. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: (Hakika damu zenu, mali zenu na hadhi zenu ni tukufu. [100])

Ubaguzi wa rangi hauruhusiwi katika Uislamu, kwani Qur-aan inazungumzia usawa wa binaadamu kwa maneno yafuatayo:

“Enyi watu! Hakika Sisi Tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na Tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mcha Mungu [101]zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.”

(Qur'an, 49:13)

Uislamu nakataa suala la baadhi ya watu au mataifa kupewa upendeleo kwa sababu ya mali zao, nguvu au rangi. Mwenyezi Mungu Aliwaumba wanaadamu kwa usawa ambao wanaweza kutofautiana baina yao kwa imani na ucha Mungu wao. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
(Enyi watu! Mola wenu ni Mmoja na baba yenu (Adam) ni mmoja. Mwarabu si mbora zaidi ya asiye Mwarabu, na asiye Mwarabu si mbora zaidi ya Mwarabu, na mwekundu (mweupe aliyechanyika na wekundu) si mbora zaidi ya mweusi na mweusi si mbora zaidi ya mwekundu,[102]isipokuwa katika ucha Mungu.)[103]

Moja kati ya matatizo makubwa yanayowakumba wanaadamu katika zama hizi ni ubaguzi wa rangi. Ulimwengu uliosonga mbele kimaendeleo unaweza kumpeleka mtu mwezini lakini hauwezi kumzuia mtu dhidi kumchukia au kumpiga mwanaadamu mwenzake. Tangu katika zama za uhai wa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), Uislamu umeonesha mfano dhahiri wa namna ubaguzi wa rangi unaweza kukomeshwa. Hija ya kila mwaka inaonesha undugu khasa wa Kiislamu kwa rangi na mataifa yote, katika wakati ambapo kadiri ya Waislamu milioni mbili kutoka ulimwenguni kote wanakuja Makkah kutekeleza ibada ya Hija.

Uislamu ni Dini ya uadilifu. Mwenyezi Mungu Amesema:

“Hakika Mwenyezi Mungu Anakuamrisheni mzirudishe amana kwa wenyewe. Na mnapo hukumu baina ya watu mhukumu kwa uadilifu."
(Qur'an, 4:58)

Amesema tena:
“...Na hukumuni kwa haki. Hakika Mwenyezi Mungu Anawapenda wanaohukumu kwa haki.”
(Qur'an, 49:9)

Tunapaswa tuwe waadilifu hata kwa tunaowachukia, kama Mwenyezi Mungu Alivyosema:
“...Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na ucha Mungu...”
(Qur'an, 5:8)

Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: (Enyi watu! Nakutahadharisheni dhidi ya dhuluma,[104]kwani dhuluma itakuwa kiza katika Siku ya Hukumu,))[105]

Na wale ambao hawakuzipata haki zao (yaani, ambazo walikuwa na madai ya haki) humu duniani, watazipata katika Siku ya Hukumu, sawa na kauli ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam):
(Katika Siku ya Hukumu, haki watapatiwa wale waliostahiki (na makosa yatalipiwa fidia)...)[106]


[100]Imeandikwa ndani ya Swahiyh Al-Bukhaariy, Na. 1739 na Musnad Ahmad, Na. 2037

[101]Mchamungu ni Muumini anayejiepusha dhidi ya kila namna ya madhambi, anatenda amali zote njema ambazo Mwenyezi Mungu anamwamuru azifanye, na anamwogopa na kumpenda Mwenyezi Mungu.

[102]Rangi zilizotajwa katika Hadiyth hii ya Mtume ni katika mfano tu. Maana yake ni kwamba, katika Uislamu, hakuna yeyote aliye mbora zaidi ya mwingine kwa sababu ya rangi yake, ikiwa ni nyeupe, nyeusi, nyekundu, Khaki, au nyingine yoyote.


[103]Imesimuliwa katika Musnad Ahmad, Na. 22978

[104]Yaani, kuwakandamiza wengine, kunyima haki, au kuwafanyia wengine isivyotakiwa.

[105]Imesimuliwa katima Musnad Ahmad, Na. 5798, na Swahiyh Al-Bukhaariy, Na. 2447

[106]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim, Na. 2582, na Musnad Ahmad, Na. 7163
 
Back
Top Bottom