YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,597
- 37
duh! Yaani mtu akitaka kushinda atalazimisha mambo! Au kiingereza kimepiga chenga? Ukisoma hiyo link utaona hizo data ni "according to the legend". Lete facts kama za october badala ya legends! Hii sio sehemu ya paukwa pakawa.