Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,416
Jews sio wapo zaidi ya waislam tu peke yao, bali wapo mbele dhidi ya mataifa yote wakiwemo, wakristo,mabuda na wahindu.
pia wapo mbele zaidi ya waafrika , ambao wapo nyuma kuliko watu wote duniani.
Jews walikua wana dominant ulaya yote kabla ya vita ya dunia, wao ndio walikua wamiliki wa viwanda, mabank, vyombo vya habari na walihakikisha watoto wao wanapata elimu bora zaidi
hali hii iliwafanya waweze kuwa mbali sana dhidi ya wazungu na makabila mengine wakiwemo waislam na na wasiokuwa waislam.
kuona hali hii chuki dhidi ya jews ilikuwa sana ulaya yote . kwa pamoja hawa walikua wakuchukia kuendelea kwa jews , walikua na uchiyo kwa nini hata wavumbuzi wote ni jews , nao jews upande wao walikua wanafanya kila mbinu kuweza kutawala mazingira ya ulaya.
hali hii ya chuki dhiidi ya jews ikazaa dhana ya kuwa jews wanataka kutawala dunia na hatimae ulaya nzima chuki dhidi yao ikapandwa na ulaya rasmi walimpa kazi ya kuwamaliza mayahudi ulaya , ili kuondoa mzizi wa fitina.
hivyo alitumiwa Hitler na Morselline wa Italy kwa barka za pope na kuangamiza jews wote ulaya ili kupunguza nguvu zao.
hatimae jews wali salim amri na wakaamua kuhama ulaya rasmi mara baada ya vita vya II kumaliza kwa wayahudi kwa mamilioni kuhama huko na kuhamia Palestine .Mwaka 1948 wakaweza kuunda taifa lao kwa kunyanganya ardhi ya palestine lakini kwa msaada wa wazungu kwani wao waliwaona ni tatizo.
sasa hata baada ya kuuliwa sana bado jews wapo mbele kuliko mataifa mengi ya kiislam na kikiristo , kwa nini jews wapo mbel kuliko wengine ?
historia pekee ndio inawapa nafasi zaidi kuliko dini nyengine.

- jews ndio taifa ama kabila kongwe zaidi duniani ambao wao wameanza kusoma tangu enzi za Nabii Noah.hawa mitume wote walikua ni jews
- kama unaamini torati, zaburi basi utaona hawa jamaa walianza kusoma miaka mingi sana kwani hivi vitabu vilishuka na watu walivisoma, hivyo mambo ya kusoma utayaona walianza zamani sana,na hebu fikiria wafrika walikua vipi miaka hiyo ?
- jews wana history nzuri ya biashara tangu miaka moses ,
- angalia walivojenga Pyramids pale misri, hii ni historia ya kale,labda wakati huo waafrika tunaishi juu ya miti na waraabu nao walikua nyuma sana na walikua hawana kitu
- ama kulinganisha uislam na jews ni vitu tofauti kwa uislam wa sasa umeanza miaka 2000 iliyopita na judaism imeanza zaidi ya miaka 500,000 nyuma , na hali ya maisha ,ustaarabu ,elimu ya waislam ama waarab basi imebadilika sana baada ya uislam kuja,
- kwa hio utaona jews wana historia iliyo tukukuka ya miaka mingi sana kabla ya uislam,
- hata wakati wa Mtume alikuwa akitoa amri kwa mayahudi kusomesha waislama kama adhabu pale wanapokesea.
- jews ni taifa lenye kuweka kumbukumbu za familia zao zote , kila jews popote alipo duniani anajulikana na roots zake zinajulika wapi ametoka ..na hii roots inaweza kwenda kwa zaidi ya miaka 1000 nyuma, na hii pia inafatwa kwa karibu sana na waarabu , nao wanajuana kwa kabila zao.
- ama kuhusu wavumbuzi duniani hilo sio kweli ni la jews pekee yao , ila waislam ndio wengi walileta mapinduzi ya sayansi na kuigwa na nchi za ulaya kama nilivo onesha hapo juu kwenye makala nyengine
- ama haya ni kwa jews mmoja mmoja lakini kwa taifa la Israel , halina chochote zaid ya kwamba linalindwa na mataifa ya ulaya na marekani, israel inapokea zaidi ya dolla 400 billion kwa mwaka kutoka mataifa mbali mbali kama misaada na ni taifa ambalo haliguswi na sheria zozote za kimataifa, wao wapo immune .