Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Humu ndani kuna vilaza na mashabiki! hivi kule Iraq na Afghanistan mbona Waamerika hawakuwachukua Wajew? Mbona hapo Lebanon wamehenyeshwa Hizbollah mpaka wamemfukuza mkuu wao wa Majeshi! hilo hulijui?:target:akiwepo mjew mmoja na mfano 5000 wamfate kupigana vita mjew atashinda tuuuuuuu. barakaa za mungu