Hapa tosha kabisa, kila mtu lazima ajipende nafsi yake kabla hajapenda wengine oa
Mkuu, zomba atakuwa anatongoza na hiyo ni gia yake, angalia alivo itimisha.
Mzuri unamjua ?
Umemuona ?
Ukimkuta Mwl. Anatoa alama za mtihani hata paper test hajaiona utamuelewaje ?
Kwamba kalewa ?
Ana majini ?
Ukimkuta fundi anabandika kiraka cha kitambaa cha khanga kwenye Jeans utamuelewaje ?
Kama hamdanganyi mteja ?
Unfair play by the way.
Spendi. NOTE : Sorry nimemissplace pakuiweka hii , hapa namjibu ZOMBA.
Mungu awabariki wote,sijui hata niseme nini.
Ni kwl Bwana ! Haka kajamaa kanaonekana kalafi aisey !
Hata me nimedanganywa na dem wangu, kanimwaga am serious. Perhaps we can comfort @ other, hebu ni PM nikuambie mbinu nlizotumia kumpoteza fasta akilini mwangu..
Hakuna mtu ana mkosi duniani jaribu kila siku kuwa una think in positive way, kuanza kusema una mkosi hapo ndo mungu anazidi kukupa unacho kiomba, mana unajitia mwenyewe mkosi kwa kusema una mkosi.
Afu mbona mnakuwa wagumu kuelewa mpaka leo, kupenda na kupendwa ni vitu viwili tofauti kabisa.
Sio kila ukipendacho wewe kikupende nachenyewe, na mtu mpaa apende sidhani ni nyimbo au mashairi.
Nashangaa kuona mtu kapenda mtu hamjui back ground yake afu anakuja kusema kadanganywa, kweli kupenda kitu usicho kijua ni kama usiku wa giza.
Usijali babe girl, wazungu wana kamsemo kanasema; We have to be willing to feel frustration as much as we feel fantastic.
Changia JF iweze kujiendesha kwa ufanisi zaidi!!!Mie sio "kajamaa" mie bepari wewe, tena mambo ya ujamaa siyapendi kabisa. Money Talks. Bongo Bingo.
Habari zenu wakuu,
Nimepatwa na matatizo mpaka najihisi na mikosi.Kila siku ni mimi tu wa kulia, ni mimi tu wa kuwa mpweke nimechoka nimeamua nije kwenu mnishauri.
Napenda sana kuwa na mtu anaenipenda kwa dhati kabisa lakini wengi wao huwa wananitamani tu,.
Ni lini nitapata atakaenipenda? Ni kwanini niumie kiasi hiki? Kwani nina kasoro gani?
Nilikuwa na mpenzi wangu,na nilimuamini sana na tuliweka mpaka plans za ndoa i just found out last month he's gat a family somewhere na alikuwa ananipotezea muda.
Am writing this with tears down my cheeks,, where have i gone wrong? Why is it always me? Dont i deserve to be happy?7
Somebody tell me something please.
check me at gozo@jamiiforum.com..
Dunia yako chaguo lako
chagua Gozo kwa mapenz ya dhati na maisha ya furaha mpaka uzeeni..
Aseeee...
Duh!!!!