Why always me?

kwanza pole.napenda usiinyime nafsi inachotaka,kuna ombwe la uchungu moyoni ambalo linakustimulate ulie,bs lia lia mpaka uchungu ulopo moyoni uishe,kwani umechapwa?we lia.its like ubanwe na mkojo ukojoe nusu mwngne uuache,utakusumbua,we lia mpaka ukome,then ukiona umenyamaza,then fuata ushaur wa wadau hapa.

Kuna wadau hapa wanasema ubane penzi usimpe m2 k i mean,sidhan kama ni jibu la kutoswa,la msing sali sana na jiheshimu akija mwanaume hata miez miwil unaweza kugundua anakupenda kwel au la kama unampenda mungu,.lingne chaguen wanaume anaendana nawe
 
I want to take this opportunity to thank all member who marked on this thread.
Your advises mean so much to me,.,
thanx again and gøod night.
 
Mzuri unamjua ?
Umemuona ?
Ukimkuta Mwl. Anatoa alama za mtihani hata paper test hajaiona utamuelewaje ?
Kwamba kalewa ?
Ana majini ?
Ukimkuta fundi anabandika kiraka cha kitambaa cha khanga kwenye Jeans utamuelewaje ?
Kama hamdanganyi mteja ?
Unfair play by the way.
Spendi. NOTE : Sorry nimemissplace pakuiweka hii , hapa namjibu ZOMBA.

Of course simjui, lakini atatamaniwa kama si mzuri? jiulize hilo swali, ukimaliza kujijibu jibu hili, jee, wewe umeshatamani wangapi ambao si wazuri?
 
Mungu awabariki wote,sijui hata niseme nini.

Ahsante sana, ukipata nafasi usisahau kuni PM ili tujuwe what is the next step. Unajuwa ushauri bila kuufanyia kazi huwa ni kama uliyechoma energy bila faida, yaani utoke Mbagala kwenda Bunju kumfata mtu na namba ya simu unayo humpigii kwanza, ukifika huko unaambiwa kasafiri kwenda Arusha jana, mpigie simu kama unamuhitaji.
 
Hata me nimedanganywa na dem wangu, kanimwaga am serious. Perhaps we can comfort @ other, hebu ni PM nikuambie mbinu nlizotumia kumpoteza fasta akilini mwangu..
 
Hata me nimedanganywa na dem wangu, kanimwaga am serious. Perhaps we can comfort @ other, hebu ni PM nikuambie mbinu nlizotumia kumpoteza fasta akilini mwangu..

Kwi kwi kwi, teh teh teh. Bongo Bingo!
 
Hakuna mtu ana mkosi duniani jaribu kila siku kuwa una think in positive way, kuanza kusema una mkosi hapo ndo mungu anazidi kukupa unacho kiomba, mana unajitia mwenyewe mkosi kwa kusema una mkosi.

Afu mbona mnakuwa wagumu kuelewa mpaka leo, kupenda na kupendwa ni vitu viwili tofauti kabisa.

Sio kila ukipendacho wewe kikupende nachenyewe, na mtu mpaa apende sidhani ni nyimbo au mashairi.

Nashangaa kuona mtu kapenda mtu hamjui back ground yake afu anakuja kusema kadanganywa, kweli kupenda kitu usicho kijua ni kama usiku wa giza.

Usijali babe girl, wazungu wana kamsemo kanasema; We have to be willing to feel frustration as much as we feel fantastic.

Mmmmnh! I would personally like to see you Fazaa.
 
Ruppy, hakuna mtu aliye zaliwa kwa ajili ya kuwa na matatizo,shida ama unhappinss isipokuwa waliotutangula walisema, " wakati fulani sisi wenyewe ndiyo chanzo cha matatizo yanayo tukuta. Hebu jaribu kukaa na kufikiria ni wakati gani unamuhitaji mtu na mtu huyo ni wa namna gani na katika mahusiano yepi, ya muda ama ya kudumu. Wanasaikolojia wanasema, "SOME RELATIONSHIPS ARE EXPERIMENTAL" my dear and "MOST WOMEN ENTER INTO A RELATIONSHIP EXPECTING THAT IT WOULD ONE DAY END IN MARRIAGE".
Marriage relationship does not start from nowhere and nobodies but somewhere and when the nobodies have already become somebodies. Before letting some guys into your life try to know them and in due time, let your relatiosnship be known to both your parents and his. Do not make it a secret relationship 'cause it will not take you anywhere but where you are right now!
Sorry for that!
 
Pole Sana.
Ushauri mwingi Humu ni mzuri na unafaa. Usiwe na haraka ya maamuzi eti kwa sababu mtu amekushawishi na Ndoa, Jifunze kumjua Mungu utapata Amani, tena Amani ya kudumu. Shukuru sana kwa huyu aliyepita kwa sababu umepata kujifunza, Kama ulishafanya naye mapenzi pima ujue Afya yako. Anza Upya hujachelewa hata Kidogo, katika maisha una safari ndefu ya kufanya Kila tukio ni Hatua na Mafunzo. Ukiwa Committed na Imani kila kitu hufanyika vyema. Fungua Moyo wako, Sahau yaliyopita.
 
Habari zenu wakuu,

Nimepatwa na matatizo mpaka najihisi na mikosi.Kila siku ni mimi tu wa kulia, ni mimi tu wa kuwa mpweke nimechoka nimeamua nije kwenu mnishauri.

Napenda sana kuwa na mtu anaenipenda kwa dhati kabisa lakini wengi wao huwa wananitamani tu,.
Ni lini nitapata atakaenipenda? Ni kwanini niumie kiasi hiki? Kwani nina kasoro gani?

Nilikuwa na mpenzi wangu,na nilimuamini sana na tuliweka mpaka plans za ndoa i just found out last month he's gat a family somewhere na alikuwa ananipotezea muda.

Am writing this with tears down my cheeks,, where have i gone wrong? Why is it always me? Dont i deserve to be happy?7
Somebody tell me something please.

check me at gozo@jamiiforum.com..

Dunia yako chaguo lako
chagua Gozo kwa mapenz ya dhati na maisha ya furaha mpaka uzeeni..
 
check me at gozo@jamiiforum.com..

Dunia yako chaguo lako
chagua Gozo kwa mapenz ya dhati na maisha ya furaha mpaka uzeeni..

hahahahaha nimecheka kwa loud speaker,kweli dunia yako chaguo lako.
 
MIMI NAOMBENI NIWASHAURI DADA ZANGUNI HASA AMBAO HAWAJAOLEWA:
1. Jitahididi msichague wapenzi kwa sifa ya kuwa na PESA, NYUMBA, GARI AU MALI, badala yake angalia vigezo vingine mbali na hivyo nilivyotaja hapo juu kama vile TABIA NJEMA, SIFA NJEMA, ANGALAU ELIMU, IMANI YAKE JUU YA MUNGU, HOFU YAKE KWA MUNGU, HURUMA, UAMINIFU, N.K ILA IKITOKEA mwenye sifa nzuri unazozitaka na akawa na gari, nyumba, pesa n.k ni bahati yako na Mungu ataibarikia ndoa yako/ uhusiano wako.

2. Epuka kuwa mtu wa kujirahisisha kutoa/kugawa penzi la saa sita, yaani mtu kakutongoza mchana tu jioni ushamvulia chupi. Kwa namna hii kwa kweli utaishia kujuta kwa kuwa kwa muda mfupi namna hii huwezi kumjua na kumtofautisha mtu anayekupenda na yule anayetaka tu penzi lako. take time of being close to each other at least one to two months more than that.

3. Epukeni mapenzi ya njiani. Mkishaweka mapatano ya kuwa wachumba kama kweli wewe na yeye mna nia ya dhati kwa nini ukubali kufichwa fichwa?? kila ukikutana na rafiki yake anakutambulisha wewe kama rafiki yake tu wa kawaida, hataki wewe ujue anapokaa, hataki uwajue ndugu zake, kila mkikutana ni guest tu, WHY??? HUSHTUKI TU KWAMBA HUYU MNDU HANA MAPENZI YA KWELI NA WEWE?? Kwa nini hataki ufike kwake? hataki ujue anapoishi??? CHAA!!!!!

4. Huwa wadada mna kawaida ya kuwapenda wasiowapenda na kuwarukia wanaowatamani tu. Hapa ni pagumu kupaelezea lakini tumieni utashi wa kimungu ili msiwakatae walio waume zenu na kuwakimbilia mapaparazizi.

NIISHIA HAPA KWA LEO; OTHER WISE POLE SANA DADA Ruppy karenston. USIJALI JIPANGE TU KWA MUNGU ATKUPA UBAVU WAKO NAWE UTAISHI MAISHA YA RAHA USHANGAE. NAKUPENDA SANA NA NINAKUOMBEA MUNGU AKUPE UTULIVU WA NAFSI NA AKILI.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom