Who were the men behind the "Kikwete project"?

Ok, i get you on that, so Mwinyi na Kawawa ndio walifanya maandalizi hayo single handledly? did they carry through na mpango wao hadi Kikwete anakuwa Rais?

lemonade............waliungwa mkono na wengi na ndiyo maan amwishowe alifanikiwa...................lakini historia itawatambua wale ambao ndiyo waanzilishi wa huu mradi ambao hauna tija kwa taifa hata chembe..........
 
Last edited by a moderator:
Apson Mwang'onda former tiss boss. Huyu jamaa alimtisha Mkapa kua CCM inaweza kushindwa na nchi inaweza kua haitawaliki kama JK hapitishwi... Mkapa akaogopa na akaruhusu uchafu wa kuwatukana akina SAS, Kitine, Mnagula etc sasa hivi tunajua Apson alikua karibu na EL na RA (inasemekana alivuta $3 mil kwenye mkwapuo wa EPA kama ahsante ya kufanyikisha project kikwete kupitia chombo muhimu cha TISS)

mharakati..........Apson Jk tayari kesha mtema......................this is typical of Machiavellian students.........like JK....a well chisseled "use and dump" policy...........
 
Last edited by a moderator:
Mkandara tatizo lako unaenda kwa pupa mno hata inatisha sana..................kiini ya hii mada ni kauli yake mwenyewe JK ndani ya Mkutano wa CCM wa 2005 baada ya kushinda kura za kugombea uraisi. Hivyo kama ni unafiki basi uwe wazi ya kuwa JK ni mnufaika wa udini na wala siyo mwandishi wa makala hii .............mjumbe hauwawi hata siku moja.....kazi kwenye hii makala ni kuonyesha JK alisema lini wakati ule na sasa anafanya nini, that is all hakuna udini wala cha ndugu yake unafiki hapo!!!!..kuhusu kunufaika na utawala wa JK yuko Mwinyi ndani ya nyadhifa kuu ikiwemo waziri wa zamamni wa ulinzi na saa kapewa wizara ya afya ndani ya serikali ya JK......Kama ingelikuwa JK hakubebwa na mstaafu Mwinyi mabomu ya Gongo la Mboto na yaliyofuatia kule kwingineko yalitosha kumfuta kazi Mwinyi juniour.......na yupo Mwinyi mwingine Mbunge wa Afrika Mashariki akimalizia kipindi cha pili.............watoto wa Kawawa wawili wako bungeni......mwingine viti maalumu!......kwa hiyo malalamishi yako hayaungwi mkono na historia yetu labda una ajenda nyingine...........Be open, please...........
Weka hotuba ya Kikwete mwenyewe kama ndio kiini cha mada hii, sio tafsiri ya mtu mwingine anachokifikiria ndio iwe mada yetu.. Mjadala hujadili kilichosemwa ili nasi tuwe na nafasi sawa kama huyo mwandishi - Tupime na kupembua maneno yale. Sasa ni kna nani behind his project?.. Nakumbuka Mzee Es alituletea hapa habari nzito kuhusiana na Mtandano mzima ambao Mwinyi na Kawawa hawakuwemo wala hawakutakiwa ila walipewa heshima zao..
Wewe umeyaona mabomu ya Gngo la Mboto tu, mbona mawaziri wote wanaharibu toka kuzama kwa meli, ajali barabarani, watu wanauawa ktk maandamano, wanatuibia kura na hakuna alofukuzwa au kuwa ndio mwisho wa mtu. Anachokifanya JK ndio utamaduni wa CCM imeshazungumzwa mara kibao kwamba chama kile kina wenyewe. Alomwingiza ktk siasa JK ni Kitwana Kondo na ndiye mlezi wa JK ndani ya chama toka wakati wa Nyerere na alipikwa na kuandaliwa na wenyewe kuja kushika madaraka baadaye kuliko hata hao kina Mwinyi na Mkapa waliotokea from nowhere na walibebwa kweli na Mwalimu Nyerere.
 
Mkuu Mkandara,

Nijuavyo mimi Kitwana Kondo alikuwa meya wa Jiji la Dar na baadae Mbunge wa JMT.Nyazifa zote hizi hazina uzito wa kumbeba na kumwanda mtu kukalia kiti cha magogoni.

Mkandara...............mlivyozoea kubebwa nenda kwenye u-tube utaikuta hiyo hotuba kaisome usiwe unabisha mambo ambayo kumbe hata hotuba huijui.........................what a waste of time.............!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mkandara,

Nijuavyo mimi Kitwana Kondo alikuwa meya wa Jiji la Dar na baadae Mbunge wa JMT.Nyazifa zote hizi hazina uzito wa kumbeba na kumwanda mtu kukalia kiti cha magogoni.

Ngongo.........Kitwana Kondo kwa hiyo anahusika nini na mradi wa JK? Mwaka 2005 unajua kitwana Kondo alikuwa wapi? Hivi mko nchi gani nyie....................acheni kuuchapa usingizi..kitwana Kondo hata Mkutano Mkuu wa CCM hakuhudhuria wala hakuwa mjumbe...............I see kumbe watu mnaogelea tu bahari ambalo hata kina chake hamkijui kabisa.......................mtazama bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
WildCard kura zinavyopigwa na kuhesabiwa ndani ya CCM ni kitendawili na huwa ninawashangaa ambao hugombea nafasi mle ndani ambako hakuna uhakiki wa wagombeaji........................hakuna anayeweza kukuthibitishia kama kweli Jk alishindwa kura baada ya kuongoza mara ya kwanza......na ashindwe kama walivyoonyesha........haiingii akilini

Ruta,
Je utakubaliana nami kuwa Mwl. J.K. alikuwa ni mwanzilishi wa mfumo wa uchakachuaji wa kura?
Alifanya hivyo kule Z'bar 1995, na pia ktk NEC za CCM most notably 1995.
 
Weka hotuba ya Kikwete mwenyewe kama ndio kiini cha mada hii, sio tafsiri ya mtu mwingine anachokifikiria ndio iwe mada yetu.. Mjadala hujadili kilichosemwa ili nasi tuwe na nafasi sawa kama huyo mwandishi - Tupime na kupembua maneno yale. Sasa ni kna nani behind his project?.. Nakumbuka Mzee Es alituletea hapa habari nzito kuhusiana na Mtandano mzima ambao Mwinyi na Kawawa hawakuwemo wala hawakutakiwa ila walipewa heshima zao..
Wewe umeyaona mabomu ya Gngo la Mboto tu, mbona mawaziri wote wanaharibu toka kuzama kwa meli, ajali barabarani, watu wanauawa ktk maandamano, wanatuibia kura na hakuna alofukuzwa au kuwa ndio mwisho wa mtu. Anachokifanya JK ndio utamaduni wa CCM imeshazungumzwa mara kibao kwamba chama kile kina wenyewe. Alomwingiza ktk siasa JK ni Kitwana Kondo na ndiye mlezi wa JK ndani ya chama toka wakati wa Nyerere na alipikwa na kuandaliwa na wenyewe kuja kushika madaraka baadaye kuliko hata hao kina Mwinyi na Mkapa waliotokea from nowhere na walibebwa kweli na Mwalimu Nyerere.

Mkandara........hebu nawe tubandikie hapa mkanda huo wa mzee Es kuthibitisha kauli yako......maana haya yanasikika leo sijui kuthibisha JK alikuwa mradi wa mzee Es au?............whatever the case the point I am attempting to drive home ni kuwa JK is not his own man and it explains why his policy decisions are vagaries of the owners of his project..........
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mkandara,

Nijuavyo mimi Kitwana Kondo alikuwa meya wa Jiji la Dar na baadae Mbunge wa JMT.Nyazifa zote hizi hazina uzito wa kumbeba na kumwanda mtu kukalia kiti cha magogoni.
Mkuu isome historia nzima ilivyoanza juu mahusiano ya JK, Kawawa na Mwinyi. Pengine hufahamu nafasi ya mzee Kondo ktk siasa za Bongo na aliheshimika vipi..

Nachosema mimi ni kwamba JK alikuwa na Mtandano ambao ulikuwa juu ya Kawawa na Mwinyi hawa wazee hawakuwa na jinsi hata kidogo isipokuwa kufuata nguvu ya Upepo. Pengine niseme kwamba EL, RA, Apson, marehemu Ditto na Sitta hawa ndio picha nzima ya JK kuwa hapo alipo. Labda niseme kwamba UWT ndio waliohusika zaidi kumweka JK hapo alipo leo sii Kawawa wala Mwinyi.
 
Ruta,

I don't know your intentions with this good article, but to me it leaves a trail of more questions and probes.

The inner-core of the "Project" (scum) is really what made my mind itching. The particular environments which hatched and nursed it.

Roughly it seems there were more than two mobs there. Assuming it wasn't static and things were just moving in the manner which earth rotates; then Mwl. definately had his preferrentials. Kawawa and Mwinyi had theirs too (according to the thread it's Kikwete). Where are the other players' left? The likes of Malecela, Kolimba, Warioba, Msekwa, Z'baris etc vis viz Kikwete's mob.
 
Rais Jakaya Kikwete

The then CCM presidential flag seeker, Jakaya Mrisho Kikwete, in 2005 nominations acceptance speech made a rare revelation of how the “Kikwete project” was hatched and nurtured. Kikwete was nostalgic but economical with the truth when he tapped only two CCM national stalwarts namely Rashid Mfaume Kawawa (now deceased) and former president Ali Hassan Mwinyi as the founders of the “Kikwete project.”

According to Kikwete, Kawawa had parlayed his Secretary General portfolio not only to employ him in CCM district and later Regional secretary dockets but Kawawa had also exposed him to top CCM power environment. Through those interactions, the “Kikwete project” was launched and sustained over the years by the election of president Mwinyi in 1985 who singlehandedly breathed life into Kikwete’s political life when he nominated him as a national MP and a deputy Minister in 1987.
One of the lynchpin of Kikwete presidential aspirations in 2005 was no other than Kingunge Ngombale Mwiru; an atheist, ...................

Mkuu Rutashubanyuma,
Labda tu niseme wazi kwamba mada yako imelenga kuleta hisia za udini kwa suala zima la urais wa JK! Ulichofanya, ni kutumia tu ghiriba ya hali ya juu katika matumizi ya lugha ili kuficha lengo lako...udini! Lazima nitamke wazi kwamba hukuwatendea haki wasomaji wako kwa kushindwa kutamka wazi kwamba lengo la Kawawa na hadi mwinyi alipoingia madarakani lilikuwa kuhakikisha Mwislamu anashika nafasi ya urais na mwislam huyo ni JK!

Rutashubanyuma, WHY KAWAWA & MWINYI kama ndio founders wa hiyo unayoita Kikwete Project?! Mbona tangu JK kuingia kwenye CCM na Mwinyi kushika urasi ilishapita miaka? What ru insuniating here?! Can i guess?! Kwamba, Kawawa Muislamu, project yake ya kumweka JK Mwislamu ikapata key and strong co-founder baada ya kiongozi mkuu wa nchi (Mwinyi) hii kuwa muislamu. Hivyo, hapo ikabidi Kikwete Project ipate nguvu zaidi kwavile rais aliye madarakani ni mwislam...! Is this not wht you're trying to tell us?!

Rutashubanyuma, mbona suala la mtu kushukuru wale waliomfikisha mahali ni jambo la kawaida sana?! Was it enough ku-brand kwamba ambayo yalifanywa na Kawawa ilikuwa ni official launch ya Kikwete Project?!

Pamoja na kwamba umejitahidi kutumia ghiriba ya hali ya juu ili kuficha lengo la mada yako, bado wenye weledi wa kuchambua mambo hawatashindwa kuona thread yako ni mwendelezo wa thread zilezile ambazo leo wengine wanadai hata lengo la JK kwa sasa ni kuiacha nchi mikononi mwa mwislamu....bila shaka ni katika kuendeleza hiyo Kikwete Project! Inafurahisha sana kuona kwamba, ingawaje ulijitahidi kujificha lakini sentensi yako hapo kwenye red ukajidhirisha pasi na shaka yoyote! Inawezekana ulifanya hivyo kwa kujisahau, au kujaribu kuwatafunia wale ugumu wa kuelewa! Kwamba, mmoja wa watu muhimu kabisa katika mbio za JK kuwania urais 2005 si mwingine bali ni Kingunge Ngombale Mwiru; an atheist, hoja ambayo imekuumbua na kukuacha mtupu hata kwa mjinga! Hapa umedhihirisha ulichokusudia kutujuza vinginevyo sijui kulikuwa na sababu gani ya kuhusisha na suala la imani ya Kingunge na mbio za urais wa JK!
 
Lemonade, kilichofanyika ni kuwaanda vijana wengi bila ya kujua nani kati yao atafanikiwa...................baadhi ya waliojaribu kuwaandaa ni pamoja na Professa Kighoma Malima, Dr. Idrisa Rashid n.k ambao hawakwenda mbali kwa sababu ya mapungufu yao mengineo au kukutwa na mauti kabla ya wakti...............ulaini wa kulielezea hili jambo ni JK mwenyewe is on record at Dodoma Mkutano Mkuu wa 2005 uliomptitisha ya kuwa bila ya kawawa kumwajiri ndani ya TANU/CCM na Mwinyi kumteua kuwa mbunge wa Taifa na naibu Waziri asingeweze kuwa na nyenzo za kufika hapo alipofikia......................kwa hiyo JK anajua mbeleko zilizombeba hadi akafika hapo alipo lakini ninashangaa wapambe wake nuksi wanapingana naye humu ndani ya huu uzi....inashangaza kama akina Mkandara.............ought to be ashamed of themselves...............

Na hapa ndo ukajisahau moja kwa moja na kueleza kwa uwazi dhima ya mada yako....kwamba ilikuwa ni kuhakikisha Mwislamu anashika uongozi wa juu wa nchi!!!!!! Unafiki haufichiki hata chembe!

Swali langu lile lile, inagwaje linaongezeka! WHY RASHID KAWAWA, WHY ALLY HASSAN MWINYI, WHY JAKAYA MRISHO KIKWETE, WHY IDRIS RASHID, WHY KIGHOMA ALLY MALIMA....all MUSLIMS?!

Sipingi makala, lakini naponda UNAFIKI wa kujifanya unaongelea jambo lingine wakati kimsingi mada yako imekaa kiudini udini!!!

UDINI UTAKUUA NDUGU YANGU!
 
jamaa yenu aliingia madarakani kwa mbinu za kila aina kuanzia matumizi ya wana habari kuwachafua washindani wake, matumizi ya mbinu za medani, udhaifu wa Ben na timu yake, fedha/rupia chafu,mporomoko mkubwa wa maadili huko CCM na pengine hata ujinga wa Wadanganyika kwa maneno matamu ....Tanzania yenye neema inawezekana,.......kasi mpya ari mpya na nguvu mpya........ na hata charisma
Upungufu mkubwa wa MTANDAO huo uwe na kina KAWAWA,KINGUNGE,EL RAzizi,APSON na watata wengine walijiandaa vilivyo kushinda lakini hawakujiandaa kuongoza hilo tu!
 
Mkuu Mkandara,

Nimekusoma na kiasi nakubaliana na wewe hasa hilo kundi la akina Ditto,Lowassa,Sitta na Apson.

Mkuu isome historia nzima ilivyoanza juu mahusiano ya JK, Kawawa na Mwinyi. Pengine hufahamu nafasi ya mzee Kondo ktk siasa za Bongo na aliheshimika vipi..

Nachosema mimi ni kwamba JK alikuwa na Mtandano ambao ulikuwa juu ya Kawawa na Mwinyi hawa wazee hawakuwa na jinsi hata kidogo isipokuwa kufuata nguvu ya Upepo. Pengine niseme kwamba EL, RA, Apson, marehemu Ditto na Sitta hawa ndio picha nzima ya JK kuwa hapo alipo. Labda niseme kwamba UWT ndio waliohusika zaidi kumweka JK hapo alipo leo sii Kawawa wala Mwinyi.
 
Ruta,

I don't know your intentions with this good article, but to me it leaves a trail of more questions and probes.

The inner-core of the "Project" (scum) is really what made my mind itching. The particular environments which hatched and nursed it.

Roughly it seems there were more than two mobs there. Assuming it wasn't static and things were just moving in the manner which earth rotates; then Mwl. definately had his preferrentials. Kawawa and Mwinyi had theirs too (according to the thread it's Kikwete). Where are the other players' left? The likes of Malecela, Kolimba, Warioba, Msekwa, Z'baris etc vis viz Kikwete's mob.
[MENTION]Ronal Reagan[/MENTION] "the others" had no godfather that is why their presidential bids came into a cropper............
 
Back
Top Bottom