Who were the men behind the "Kikwete project"?

Mkuu Mkandara,

Nimekusoma na kiasi nakubaliana na wewe hasa hilo kundi la akina Ditto,Lowassa,Sitta na Apson.

Ngongo endelea tu kumpatapata Mkandara lakini basi tusema JK alikuwa mwongo katika ile Mkutano mkku wa ccm pale kizota?
hata hivyo Kitwana Kondo alikuta JK tayari kawawa na Mwinyi tayari wamekwishampika na yeye ndiye aliyekuwa mtazamaji kwa sababu kumbuka Kitwana Kondo alikuwa Meya wa Dar lini? na je alikuwa na nafasi ipi ya kushawishi JK akapaishwa vile?........hayo ni maswali ambayo yanadai majibu kabla hujamwelewamwelewa Mkandara
 
Last edited by a moderator:
Ruta you have quitely mesmerized me with your insights and analysis.
[MENTION]
Utantambua[/MENTION] tunajukumu la kuweka rekodi za historia yetu sawasawa.........................ili tuelewe tunatoka wapi tuko wapi n atunaelekea wapi na kwa sababu zipi tuko hapa tulipo.................................in summary we are victims of political nepotism....................na kwa mazingira haya uwajibikaji wa viongozi ambao wanabebwa kama Mkapa na JK ni njozi ya kusadikika kwa sababu wao wenyewe hawana sifa za uongozi.....................kwa lugha ya wenzetu they are not self-made but they are mere projects to serve personal purposes of the power-brokers behind them not you and I.........
 
quite right, well said..RA,EL walikua opportunists, ila Mwinyi alimjenga JK pale alipompa rungu la kuwafukuza watu waliokula chini ya Prof K Malima wizara ya fedha pale mwaka 93 kama nakumbuka vizuri. Ile ndiyo POWER MOVE ya kisiasa aliyofanya kikwete kujulikama kitaifa na kuonekana makini. Mwinyi akamrudisha Nishati kumuhifadhi na dhoruba za wizara kali ya Fedha. watu walijua JK rais atakua huyu wa kipindi hiki kifupi cha 93' kumbe.....

Imagine when people realize they are watching a different movie
 
yule naye mwislamu au ana jina la kiislamu, ninyi mnaolumbana mambo ya imani mkaacha ya msingi?

KOMBESANA wasichojua ni kuwa muislamu au mkristu hawezi kuwa fisadi kwa hiyo hao wanao watetea mafisadi nao ni mafisadi tu................kushabikia mwizi nawe ni mwizi tu kwa sababu kam aungelipata nafasi yake basi ungelituibia sana...........Mkapa siyo Mkristu kwa sababu krsitu anachukia ufisadi vilevile JK siyo Muislamu kwa sababu Mohammed mtume anachukia ufisadi wa aina zote..................kumcha Mungu siyo jina au cheo bali ni matendo yako jamii itakupima...........
 
Last edited by a moderator:
jamaa yenu aliingia madarakani kwa mbinu za kila aina kuanzia matumizi ya wana habari kuwachafua washindani wake, matumizi ya mbinu za medani, udhaifu wa Ben na timu yake, fedha/rupia chafu,mporomoko mkubwa wa maadili huko CCM na pengine hata ujinga wa Wadanganyika kwa maneno matamu ....Tanzania yenye neema inawezekana,.......kasi mpya ari mpya na nguvu mpya........ na hata charisma
Upungufu mkubwa wa MTANDAO huo uwe na kina KAWAWA,KINGUNGE,EL RAzizi,APSON na watata wengine walijiandaa vilivyo kushinda lakini hawakujiandaa kuongoza hilo tu!

KOMBESANA umefanya vizuri kutukumbusha huu utapeli wa wazi kabisa............
 
Last edited by a moderator:
Paukwa pakawa!

Kassim Awadh.palitokea chanjagaa akala wali mkavu bila ya kuwa mgagaa na upwa............................na akajengewa nyumba akakaa...........yeye (JK) ni mtendewa tu, kutenda kwake ni kutuangushia tabasamu la kinafiki tu............huo ni mradi mkubwa wa kumbeba kiwete ambao lazima tuuweke vyema kwenye rekodi zetu na kubuni njia za kuhakikisha viongozi dhaifu kama huyu hawarudi tena kwenye msukani na kutuachia maumivu makali.........
 
Last edited by a moderator:
Na hapa ndo ukajisahau moja kwa moja na kueleza kwa uwazi dhima ya mada yako....kwamba ilikuwa ni kuhakikisha Mwislamu anashika uongozi wa juu wa nchi!!!!!! Unafiki haufichiki hata chembe!

Swali langu lile lile, inagwaje linaongezeka! WHY RASHID KAWAWA, WHY ALLY HASSAN MWINYI, WHY JAKAYA MRISHO KIKWETE, WHY IDRIS RASHID, WHY KIGHOMA ALLY MALIMA....all MUSLIMS?!

Sipingi makala, lakini naponda UNAFIKI wa kujifanya unaongelea jambo lingine wakati kimsingi mada yako imekaa kiudini udini!!!

UDINI UTAKUUA NDUGU YANGU!

NasDaz.............................unasema hupingi makala hi lakini unani mulika mchana kwa minajili ya kunichoma na mkuki usiku...........nani mnafiki....mie ambaye nimenukuu kauli za Jk mwenyewe au wewe unayeulizia maswali ya jela?

Swali langu lile lile, inagwaje linaongezeka! WHY RASHID KAWAWA, WHY ALLY HASSAN MWINYI, WHY JAKAYA MRISHO KIKWETE, WHY IDRIS RASHID, WHY KIGHOMA ALLY MALIMA....all MUSLIMS?!

mimi sikumteua Kawawa kuwa katibu mkuu wa kwanza wa ccm mwaka 1977 wakati huo nilikuwa fomu one.................mie sikumpigia kura Mwinyi kuwa Raisi au hata kumpendekeza aliyefanya hilo ni Nyerere na wenzie.................mie sikumwajiri JK CCM na baadaye kumpa ubunge wa dezo na unaibu waziri kazi hizo zilifanywa na Kawawa akisaidiana na Mwinyi......................Mie sikumteua Dr. Idrissa BOT aliyefanya hiyo kazi ni Mwinyi...........Mie sikumteua Kighoma Malima kuwa waziri wa fedha aliyefanyakazi hiyo ni Mwinyi..............................sasa udini wangu uko wapi kama kazi ninayoifanya ni kurekodi tu matukio yaliyofanywa na wengineo tena baadhi yao hata siyo waislamu?

Lingine katika hao wote uliwaotaja hakuna muislamu hata mmoja.......................uislamu imani yake ni upendo na wala siyo ujambazi wa kupora mali ya umma na kuutumia uislamu kama kichaka cha kuficha maovu dhidi ya Mwenyezi Mungu..................

Mkapa ambaye ni fisadi mkubwa tunamkemea bila zengwe lakini husemi udini wangu uko wapi...............Lowassa tunamwandama kila kukicha sasa udini uko wapi? Ipo makala ya kumzomea Maige nimeiandika humu mbona husemi udini wangu uko wapi? Kama ni mgeni humu nenda polepole.............................Mkapa, Lowassa, maige na wakristu jina wengineo siyo watumwa wa YESU KRISTU kwa sababu MUNGU WETU YESU KRISTU anachukia ufisadi na kama yeye Mwenyewe alivyosema kwa nini unaniita Bwana na khali hufuati amri zangu? Soma Luke 6:46 "Why do call Me LORD, LORD and yet you do not do the things I say?"

Tofautisha dini na waporaji wa mali za umma ambao ni wajanja sana hata kujificha kwenye vichaka vya dini ambazo hata maadili yake wanayakejeli kwa matendo yao na fikra zao.....

wewe ndiye mnafiki ambaye unaingiza dini kutetea dhuluma dhidi ya wanyonge wa TZ ukifikiri kama JK anavyofikiri upuuzi wake ya kuwa tutaogopa kujadili na kukemea dhuluma kwa kukhofia kuitwa wadini................you are such a loser.............total loser, man and get over udini stupidity unless, of-course you are a dunce........
 
Mkuu wangu Rutashubanyuma,
Lazima tu nikiri wazi kwamba wewe ni genius mwenye ujanja wa sungura! Ni mtaalamu hasa wa kufinyangafinga maneno katika kutetea hoja zako! Panahitajika umakini na werevu wa hali ya juu mtu aweze kunasa dhima ya maandiko yako! Si unaona hata hapa jinsi ulivyofinyangafinyanga maneno hata ionekane mie nawatetea hao watu kwa ajili ya uislamu wao (na bila shaka kwamba nawatetea waislamu wenzangu)?! Huo ni upotoshaji wa makusudi unaosaodiwa na werevu wako!!!

Ngoja nikupe mfano wa hadithi moja (ipo kwe2 sisi waislamu). Inasemekana kwamba, zama hizo palikuwapo mwanazuoni mmoja wa kiislamu ambae kwavile ambavyo alikuwa anamchukia shetani, basi kwenye kila sala yake moja alikuwa akimlaani shetani mara 1000! Muislamu muumini wa kawaida, anasali mara 5 kwa siku! Hivyo, endapo mwanazuoni huyo angekuwa anasali tu zile sala za kawaida (sala5) basi kwa siku alimlaani shetanu mara 5000! Lakini, mwanazuoni huyu hakuwa muumini wa kawaida, hivyo kwa siku bila shaka aliweza kumlaani shetani zaidi ya mara 5000 (yaani plus zile sala za sunna!)

Siku moja mwanazuoni akawa anasafiri! Baada ya kwenda kwa mwendo mrefu sana, akachoka na hivyo akaamua kupumzika chini ya mti uliokuwa na kivuli. Muda si muda, akapitiwa na usingizi mzito paleplale! Ghafla, akiwa amelala, mara akaamshwa na mtu asiyemfahamu kisha huyo mtu akamtaka huyo mwanazuoni atoke hapo kwenye mti hara sana kwavile mti ule ulikuwa unataka kudondoka. Na kweli, ile tu anatoka hapo mtini, ule mti ukadondoka!

Kuona hivyo yule mwanazuoni akamshukuru sana mwenyezi mungu na kisha akamshukuru pia yule mtu aliyekuwa amemnusuru na umauti! Mwanazuoni akaomba dua kadhaa kumwombea yule mwokozi wake kabla hawajafahamiana! Baada ya kushukuru na kumwombea dua na rehema, ndipo yule mwanazuoni akamuuliza yule mwokozi ni nani!! Yule mwokozi, bila kutafuna maneno akamwambia yule mwanazuoni kwamba mimi ndie yule Shetani Ibilis ambae kila unaposali unanilaani mara 1000!

Yule mwanazuoni akashangaa.....akamuuliza, mapenzi hayo ameyatoa wapi wakati anafahamu kila anaposali huwa anamlaani! Mwokozi yule akamwambia Mwanazuoni kwamba, "niliamua kukuokoa usifikwe na umauti kwavile nilichelea ungekufa huku ukiwa shahidi!!!!" Mwanazuoni yule kikamshuka!

Unajifunza nini toka kwa simulizi hiyo?! Kwa kutumia macho/akili ya kawaida, ingeonekana kwamba mwokozi yule alikuwa anamtakia mema mwanazuoni, kumbe kimsingi haikuwa hivyo! Nawe, simulizi yako umeficha dhamira ya andiko ambayo kimsingi haikuwa kuelezea wizi, ufisadi, na maovu ya JK na timu yake bali ni kuelezea JK Project yenye lengo la kuhakikisha nchi inatawaliwa na waislamu! hayo mengine yote ni poroja na proganda tu zinazolenga kuficha dhima ya andiko kuu!

Ninachokipinga mimi ndo hicho unachokusudia kutueleza kwamba palikuwa na mpango wa makusudi wa kuifanya nchi itawaliwe na waislamu! Hoja kama hizi ni hatari! Zungumzia ufisadi wa JK kwa tani yako! Zungumzia ufisadi wa yeyote, awe mwislamu au vinginevyo, kwangu nitachangia vile dhima ilivyo hususani kama nitaona hoja yenyewe haina elements za kidini.....lakini nikiona kuna elements za udini lazima nipinge kwa nguvu zote!

Hiyo haijalishi kwamba mtuhumiwa ni muislamu au mkristo! Ni bahati mbaya haiwezekani kupitia posts zote za mtu alizoandika kabla. Kama ingewezekana ningekuambia pitia za kwangu kama utakuta ninapomtetea au kumponda kiongozi yeyote, awe wa CCM na serikali yake au kutoka upinzani kwa misingi ya dini yake!

Mara kadhaa hapa watu wamekuwa wakisema kwamba CHADEMA ni chama cha kikristo.....lakini sijawahi kusema hivyo ingawaje mara kwa mara nimekuwa nikiponda harakati za CHADEMA ambazo hazioneshi dhamira ya utaifa! Hivyo ndivyo nilivyo kwa kuwa nafahamu ubaya wa kuweka elements za kidini kwa jamii yetu!
 
kikwete did not sacrifice more or less he carrier was doomed by the fact he had recorded a very low performance at 2.3 by favours to earn respect on eyes of colleagues. (from udsm records). iam even surprised by this volunteer fact. let us be frank kikwete was not fool anymore to sacrifice his carrier but rather predicted the hardship he could face following his academic failure.
 
unadhani kawawa na mwinyi waliijulia wapi hiyo 2.3? Kuna vitu ni sie tuloelimika ndo tunavijua. Kuna binti namfahamu amedisco udsm mwaka wa pili baba ake kampeleka uingereza na mtaani wanasema ameamua kuacha udsm. Unadhani wananchi wanajua hata gpa ni nini? Wengi wetu huwa tunafuata mkumbo tu na kusikiliza wanachoongea wengine. Si nasikia hata mwanaye alidisco law wakamuokoa kibahati bahati. Sasa hivi si anajivuna mtaani kwamba ni mwanasheria mzuri?
 
quote_icon.png
By Rutashubanyuma

NasDaz.............................u nasema hupingi makala hi lakini unani mulika mchana kwa minajili ya kunichoma na mkuki usiku...........nani mnafiki....mie ambaye nimenukuu kauli za Jk mwenyewe au wewe unayeulizia maswali ya jela?

mimi sikumteua Kawawa kuwa katibu mkuu wa kwanza wa ccm mwaka 1977 wakati huo nilikuwa fomu one.................mie sikumpigia kura Mwinyi kuwa Raisi au hata kumpendekeza aliyefanya hilo ni Nyerere na wenzie.................mie sikumwajiri JK CCM na baadaye kumpa ubunge wa dezo na unaibu waziri kazi hizo zilifanywa na Kawawa akisaidiana na Mwinyi......................Mie sikumteua Dr. Idrissa BOT aliyefanya hiyo kazi ni Mwinyi...........Mie sikumteua Kighoma Malima kuwa waziri wa fedha aliyefanyakazi hiyo ni Mwinyi.............................. sasa udini wangu uko wapi kama kazi ninayoifanya ni kurekodi tu matukio yaliyofanywa na wengineo tena baadhi yao hata siyo waislamu?

Lingine katika hao wote uliwaotaja hakuna muislamu hata mmoja.......................uislamu imani yake ni upendo na wala siyo ujambazi wa kupora mali ya umma na kuutumia uislamu kama kichaka cha kuficha maovu dhidi ya Mwenyezi Mungu..................

Mkapa ambaye ni fisadi mkubwa tunamkemea bila zengwe lakini husemi udini wangu uko wapi...............Lowassa tunamwandama kila kukicha sasa udini uko wapi? Ipo makala ya kumzomea Maige nimeiandika humu mbona husemi udini wangu uko wapi? Kama ni mgeni humu nenda polepole...................... .......Mkapa, Lowassa, maige na wakristu jina wengineo siyo watumwa wa YESU KRISTU kwa sababu MUNGU WETU YESU KRISTU anachukia ufisadi na kama yeye Mwenyewe alivyosema kwa nini unaniita Bwana na khali hufuati amri zangu? Soma Luke 6:46 "Why do call Me LORD, LORD and yet you do not do the things I say?"

Tofautisha dini na waporaji wa mali za umma ambao ni wajanja sana hata kujificha kwenye vichaka vya dini ambazo hata maadili yake wanayakejeli kwa matendo yao na fikra zao.....

wewe ndiye mnafiki ambaye unaingiza dini kutetea dhuluma dhidi ya wanyonge wa TZ ukifikiri kama JK anavyofikiri upuuzi wake ya kuwa tutaogopa kujadili na kukemea dhuluma kwa kukhofia kuitwa wadini................you are such a loser.............total loser, man and get over udini stupidity unless, of-course you are a dunce........
Mkuu wangu Rutashubanyuma,
Lazima tu nikiri wazi kwamba wewe ni genius mwenye ujanja wa sungura! Ni mtaalamu hasa wa kufinyangafinga maneno katika kutetea hoja zako! Panahitajika umakini na werevu wa hali ya juu mtu aweze kunasa dhima ya maandiko yako! Si unaona hata hapa jinsi ulivyofinyangafinyanga maneno hata ionekane mie nawatetea hao watu kwa ajili ya uislamu wao (na bila shaka kwamba nawatetea waislamu wenzangu)?! Huo ni upotoshaji wa makusudi unaosaodiwa na werevu wako!!!

Ngoja nikupe mfano wa hadithi moja (ipo kwe2 sisi waislamu). Inasemekana kwamba, zama hizo palikuwapo mwanazuoni mmoja wa kiislamu ambae kwavile ambavyo alikuwa anamchukia shetani, basi kwenye kila sala yake moja alikuwa akimlaani shetani mara 1000! Muislamu muumini wa kawaida, anasali mara 5 kwa siku! Hivyo, endapo mwanazuoni huyo angekuwa anasali tu zile sala za kawaida (sala5) basi kwa siku alimlaani shetanu mara 5000! Lakini, mwanazuoni huyu hakuwa muumini wa kawaida, hivyo kwa siku bila shaka aliweza kumlaani shetani zaidi ya mara 5000 (yaani plus zile sala za sunna!)

Siku moja mwanazuoni akawa anasafiri! Baada ya kwenda kwa mwendo mrefu sana, akachoka na hivyo akaamua kupumzika chini ya mti uliokuwa na kivuli. Muda si muda, akapitiwa na usingizi mzito paleplale! Ghafla, akiwa amelala, mara akaamshwa na mtu asiyemfahamu kisha huyo mtu akamtaka huyo mwanazuoni atoke hapo kwenye mti hara sana kwavile mti ule ulikuwa unataka kudondoka. Na kweli, ile tu anatoka hapo mtini, ule mti ukadondoka!

Kuona hivyo yule mwanazuoni akamshukuru sana mwenyezi mungu na kisha akamshukuru pia yule mtu aliyekuwa amemnusuru na umauti! Mwanazuoni akaomba dua kadhaa kumwombea yule mwokozi wake kabla hawajafahamiana! Baada ya kushukuru na kumwombea dua na rehema, ndipo yule mwanazuoni akamuuliza yule mwokozi ni nani!! Yule mwokozi, bila kutafuna maneno akamwambia yule mwanazuoni kwamba mimi ndie yule Shetani Ibilis ambae kila unaposali unanilaani mara 1000!

Yule mwanazuoni akashangaa.....akamuuliza, mapenzi hayo ameyatoa wapi wakati anafahamu kila anaposali huwa anamlaani! Mwokozi yule akamwambia Mwanazuoni kwamba, "niliamua kukuokoa usifikwe na umauti kwavile nilichelea ungekufa huku ukiwa shahidi!!!!" Mwanazuoni yule kikamshuka!

Unajifunza nini toka kwa simulizi hiyo?! Kwa kutumia macho/akili ya kawaida, ingeonekana kwamba mwokozi yule alikuwa anamtakia mema mwanazuoni, kumbe kimsingi haikuwa hivyo! Nawe, simulizi yako umeficha dhamira ya andiko ambayo kimsingi haikuwa kuelezea wizi, ufisadi, na maovu ya JK na timu yake bali ni kuelezea JK Project yenye lengo la kuhakikisha nchi inatawaliwa na waislamu! hayo mengine yote ni poroja na proganda tu zinazolenga kuficha dhima ya andiko kuu!

Ninachokipinga mimi ndo hicho unachokusudia kutueleza kwamba palikuwa na mpango wa makusudi wa kuifanya nchi itawaliwe na waislamu! Hoja kama hizi ni hatari! Zungumzia ufisadi wa JK kwa tani yako! Zungumzia ufisadi wa yeyote, awe mwislamu au vinginevyo, kwangu nitachangia vile dhima ilivyo hususani kama nitaona hoja yenyewe haina elements za kidini.....lakini nikiona kuna elements za udini lazima nipinge kwa nguvu zote!

Hiyo haijalishi kwamba mtuhumiwa ni muislamu au mkristo! Ni bahati mbaya haiwezekani kupitia posts zote za mtu alizoandika kabla. Kama ingewezekana ningekuambia pitia za kwangu kama utakuta ninapomtetea au kumponda kiongozi yeyote, awe wa CCM na serikali yake au kutoka upinzani kwa misingi ya dini yake!

Mara kadhaa hapa watu wamekuwa wakisema kwamba CHADEMA ni chama cha kikristo.....lakini sijawahi kusema hivyo ingawaje mara kwa mara nimekuwa nikiponda harakati za CHADEMA ambazo hazioneshi dhamira ya utaifa! Hivyo ndivyo nilivyo kwa kuwa nafahamu ubaya wa kuweka elements za kidini kwa jamii yetu!

NasDaz Mkapa na Kingunge walimsaidia JK hapo kuna udini gani? Dini ni sehemu ya maisha tusipoitathmini jinsi inayoathiri ubora wa maisha yetu tutakuwa hatujitendei haki...........
 
Last edited by a moderator:
unadhani kawawa na mwinyi waliijulia wapi hiyo 2.3? Kuna vitu ni sie tuloelimika ndo tunavijua. Kuna binti namfahamu amedisco udsm mwaka wa pili baba ake kampeleka uingereza na mtaani wanasema ameamua kuacha udsm. Unadhani wananchi wanajua hata gpa ni nini? Wengi wetu huwa tunafuata mkumbo tu na kusikiliza wanachoongea wengine. Si nasikia hata mwanaye alidisco law wakamuokoa kibahati bahati. Sasa hivi si anajivuna mtaani kwamba ni mwanasheria mzuri?

usungilo usichoke kuielemisha jamii yetu
 
Last edited by a moderator:
kikwete did not sacrifice more or less he carrier was doomed by the fact he had recorded a very low performance at 2.3 by favours to earn respect on eyes of colleagues. (from udsm records). iam even surprised by this volunteer fact. let us be frank kikwete was not fool anymore to sacrifice his carrier but rather predicted the hardship he could face following his academic failure.

LOVI MEMBE ni ukweli wake jk...........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom