Kikwete kawasaidia sana watoto wa Kawawa; huyo Vita mbunge wa Namtumbo bila Mkweree kuwapa vyeo potential rivals wake leo hii asingekuwa Mbunge. Amemsaidia pia yule binti mbunge wa viti maalum anaelialia kwenye vikao vya ccm akiona jinsi magamba yanavyoichuna nchi!!