Who is the Father of physics?

mmmh! father kwa maana ya baba ama father kicheo kwamba he did a lot? to me bado nabaki kusema kwamba kile chenye mchango mkubwa kwenye maisha ambacho leo hii ndicho msingi wa maisha basi muasisi wake ndo angefaa kuwa baba kitu hicho ni atom so sequence hii inaonyesha seniority Planck, Einstein, Bohr, and later de Broglie, Heisenberg, Schro¨ dinger, Dirac, Pauli,and Born. Anyways niko tayari kurekebishwa. i love physics aisee.............

Mwalimu gfsonwin unafundisha masomo gani?
 
Kumtaja mmoja si rahisi kwani fizikia ina uwanja mpana sana. Kwangu naona ni Micheal Faraday kwa kuwa alifanya experiments nyingi zaidi kuliko binadamu yeyote yule na Thomas Edison anafuatia. Hawa wawili wamechangia sana kwenye (AC na DC) umeme. Einstein hakufanya experiments lakini nadharia zake nyingi zimeleta changamoto kubwa kwenye uelewa wetu wa nishati na ulimwengu. Enrico Fermi naye aliongoza experiment ya kwanza ya nyuklia. Sergei Korolyov na Wehner von Braun wamechangia sana katika aeronautics.
 
Newton deserves the title. He was starting from scratch, but Eistein had a starting point to hinge his extraordinary discovery of mass-energy relationship- E=MC[SUP]2[/SUP]

mass-energy relationship- E=MC[SUP]2
was derived from newton's third law: momentum law althoght for eistein only he squared the velocity and changing the media with which the energy can be formed (speed of light) while for Newton only liner motion with normal media was observed.[/SUP]
 
No one is better than other amongst scientific founders.If we dedicate Newton,Eistein,Gallileo e.t.c what about Pythrograss?
 
No one is better than other amongst scientific founders.If we dedicate Newton,Eistein,Gallileo e.t.c what about Pythrograss?

Sio huyo tu, wako weengi wakali. Henri Becquerel, Ludwig Boltzmann, William Henry Bragg, Enrico Fermi , Werner Heisenberg, James Clerk Maxwell, Robert Millikan, J. J. Thomson, James Watt, D. van der Waals, Archimedes na wengine wengi, plus ancient greek philosophers. ila Sir Isack Newton deserves the title.
 
Mbona kama hakuna Mwafrika hata mmoja?
 
Wakuu habari
Hebu tujadilini, ni nani haswa anastahili kua father of physics kwa kuzingatia contributions zao kwenye physics kwa ujumla. Binafsi naamini Newton deserves the title. Kuna wanafizikia wengine kibao kama Albert einstein, Marie Curie, Niels Bohr, Galileo Gallilei na wengine. Je wewe unasemaje?

I am the greatest physist of all time, those who know me will readily accept.
 
Mbona kama hakuna Mwafrika hata mmoja?

Hapo ni kweli hamna waafrika ila kwenye ulimwengu wa physics wapo but ndo vile pengine historia zao hazijatiliwa maanani sana, mfano ni great physicist and mathematicians waliojenga pyramids.
 
Hapo ni kweli hamna waafrika ila kwenye ulimwengu wa physics wapo but ndo vile pengine historia zao hazijatiliwa maanani sana, mfano ni great physicist and mathematicians waliojenga pyramids.

Una uhakika kuwa hao waliojenga hayo madubwana walikuwa ni Waafrika weusi? Au unasema tu hivyo ili kujipa faraja ya kwamba Waafrika weusi nao wamo?
 
Back
Top Bottom