Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Wakuu,
suala la Congo na vita ya huyu Nkunda ni matokeo ya hawa wamarekani na waingereza. Hii ni hidden agenda kutaka kuvuna mali za Kongo ambazo kwa kuwatumia Rwanda na Uganda wana influence unstability kwenye ukanda huo ili waibe madini.
Hapa ni mpaka uwe na macho makali na ya kina ndio unaweza kuona hili.
Hivi kama ingelikuwa ni sehemu nyingine huyu Nkunda na Kagame na Mseveni wangelikuwa wanafanya hivi? wangelishapata ile hati ya kukamatwa kama alivyofanyiwa yule rais wa Sudan. Sasa wanavyofanya hawa vibaraka wao si ni kama anavyofanya msudani? mbona wako kimya?
Badala yake media ya west na marekani inatangaza habari za Nkunda kila kukicha kama vile anachokifanya ni sawa. Tena anasema anataka kuiteka Kongo yote mbele ya media yao huku akiwa amewakusanya waandishi wa kigeni bila wasi wasi na hakuna anaye conderm. Anaonekana anafanya sawa tu. Kweli anafanya vizuri kutaka kuiangusha serikali halali iliyochaguliwa na watu wa Kongo?
Hapa utaona tatizo ni west and US ndio wachangiaji wa vita hii. Wanawatumia watusi kufanya ujinga huu.