Who is General Nkunda?

Wakuu,

suala la Congo na vita ya huyu Nkunda ni matokeo ya hawa wamarekani na waingereza. Hii ni hidden agenda kutaka kuvuna mali za Kongo ambazo kwa kuwatumia Rwanda na Uganda wana influence unstability kwenye ukanda huo ili waibe madini.
Hapa ni mpaka uwe na macho makali na ya kina ndio unaweza kuona hili.
Hivi kama ingelikuwa ni sehemu nyingine huyu Nkunda na Kagame na Mseveni wangelikuwa wanafanya hivi? wangelishapata ile hati ya kukamatwa kama alivyofanyiwa yule rais wa Sudan. Sasa wanavyofanya hawa vibaraka wao si ni kama anavyofanya msudani? mbona wako kimya?
Badala yake media ya west na marekani inatangaza habari za Nkunda kila kukicha kama vile anachokifanya ni sawa. Tena anasema anataka kuiteka Kongo yote mbele ya media yao huku akiwa amewakusanya waandishi wa kigeni bila wasi wasi na hakuna anaye conderm. Anaonekana anafanya sawa tu. Kweli anafanya vizuri kutaka kuiangusha serikali halali iliyochaguliwa na watu wa Kongo?
Hapa utaona tatizo ni west and US ndio wachangiaji wa vita hii. Wanawatumia watusi kufanya ujinga huu.
 
Nkunda analipa kiwango cha chini USD 600 per month kuna vijana kibao kutoka Burundi, Congo na hata Rwanda wanaenda sio tu kwa sababu zilizoanishwa hapo na wachangiaji mbali mbali bali there is life to work with mjeda Nkunda kuliko kuendelea kusota kijiweni. Swali kubwa sijui jamaa anavyonzogani vya mapato kuweza kulipa kiwango hicho cha mshahara ukichukulia katika ukanda huu wa maziwa makuu na hakika ndio kiwango cha juu kabisa kulipwa kwa mwanajeshi wa chini.

Kwa mfano tu burundi wajeda na polisi wanachukua mshahara chini ya elfu hamsini za kibongo, can you imagine lakini muasi analipa mshahara zaidi ya mara 10 inayolipa serikali.

Kunawatu wanatonya jamaa anamigodi ya almasi na dhahabu ambayo inatema kinoma na jamaa anauza ulaya na marekani kwa hiyo anauwakika wa kulipa mishahara minono na kuendelea kutoa kichapo kwa serikali ya Congo. Kama kuna mjumbe ana data zaidi anaweza kutujuza uhususani mishahara na askari wanatoka wapi.

Kiwango cha ukosefu wa ajira Congo na Burundi kiko juu sana kiasi kwamba ni rahisi kwa vijana kushawishika kujiunga na waasi na kusonga mstari wa mbele. Wakati mwingine ukiwa mbali na ukanda huu unashindwa kufigure out nini hasa kiko huku.
 
Mkuu nawe uko ukanda huo wa vita nini? tunaweza kukuaminia kwa habari za hakika. Lakini agenda ya Kongo ni hidden. Wazungu ndio wana finance wakina Nkunda kwa interests zao. Hakina Nkunda ni mamluki na wanatakiwa kuwa hanged.
 
Nkunda is nothing but a puppet of the Freemasons cum Illuminati.He is implementing the agenda of the New World Order elite for world domination,it's as simple as that.He is funded by them.If you want to read more go to Cartels.If you are a 'freemason' pole sana 'but that's the truth.'
 
nkunda analipa kiwango cha chini usd 600 per month kuna vijana kibao kutoka burundi, congo na hata rwanda wanaenda sio tu kwa sababu zilizoanishwa hapo na wachangiaji mbali mbali bali there is life to work with mjeda nkunda kuliko kuendelea kusota kijiweni. Swali kubwa sijui jamaa anavyonzogani vya mapato kuweza kulipa kiwango hicho cha mshahara ukichukulia katika ukanda huu wa maziwa makuu na hakika ndio kiwango cha juu kabisa kulipwa kwa mwanajeshi wa chini.

Kwa mfano tu burundi wajeda na polisi wanachukua mshahara chini ya elfu hamsini za kibongo, can you imagine lakini muasi analipa mshahara zaidi ya mara 10 inayolipa serikali.

Kunawatu wanatonya jamaa anamigodi ya almasi na dhahabu ambayo inatema kinoma na jamaa anauza ulaya na marekani kwa hiyo anauwakika wa kulipa mishahara minono na kuendelea kutoa kichapo kwa serikali ya congo. Kama kuna mjumbe ana data zaidi anaweza kutujuza uhususani mishahara na askari wanatoka wapi.

Kiwango cha ukosefu wa ajira congo na burundi kiko juu sana kiasi kwamba ni rahisi kwa vijana kushawishika kujiunga na waasi na kusonga mstari wa mbele. Wakati mwingine ukiwa mbali na ukanda huu unashindwa kufigure out nini hasa kiko huku.

unachosema ni kweli kabisa kiwango cha ajira katika nchi hizo kinatisha na vijana wengi wamekata tamaa wanajiunga na waasi hao , kama ukiangalia logo ya akina mkunda ( rebels for christ ) halafu nkunda anavyojiita mprotestanti hapo sasa utaelewa nini nkunda anataka katika kongo na maeneo ya karibu
 
Kabila kakulia hapa nchini akiwa mkimbizi ambako lugha inayozungumzwa na Kiswahili na kiingereza, hivyo kusema kuwa siyo Mcongomani kwa kuwa hajui kifaransa ni kupotosha ukweli. Kwa kuficha uasili wake, baba yake alijulikana kama Mfipa na hiyo ilikuwa na sababu kubwa kwa sababu alikuwa ametofautiana na Mobutu.

Kabila ni Mkongomani na wala tusipotoshe hilo. Nkunda anatumiwa kwani kuna jitihada za dhati kwa watu wa asili ya Bahima kutaka kutawala nchi zote za maziwa makuu. Angalia Uganda, Museveni ni Mhima, Kagame ni Mhima, na Burundi watutsi hawaishi kufanya chokochoko ili watwae nchi. Wahima ni watu hatari sana, ukisoma historia utaelewa vizuri walikotoka na jinsi walivyo walaghai wenyeji waliowakuta na kisha kuwatawala. Kwanza watajifanya waganga wa kuleta mvua nk. kisha kuishia kuchukua madaraka. Ni wepesi sana kujipenyeza katika serikali yoyote na kupewa madaraka hata katika vyombo vya ulinzi na usalama. Mfano mzuri ni pale Kagame alipoichukua/tawala Rwanda, tuliona watu wengi waliokuwa na madaraka hapa nchini kutimkia Rwanda na kupewa madaraka makubwa. Hapa nchini walikuwa wanajiita Waha, Wahangaza, Wasubi nk. Ogopa Mhima [MTUTSI]. Inauma lakini ndiyo ukweli.
 
Mzee Kibiongo nadhani wewe unajua ukweli kuhusu hawa jamaa. Ukiangalia kuna watu wengi sana wamesoma pale shycom sasa hivi ni maofisa wakubwa kule Rwanda, kina Rutihinda wote mpaka wamefikia ugavana wa benki Tanzania lakini ni watusi na sio watanzania, sijui vyombo vyetu vya usalama vilifanya kazi kweli au jamaa alipewa madaraka kwa makusudi.
 
proof pls.....ingawaje najua ni story za ulevini tuu na kupakaziana bila sababu,halafu tunajiuliza kwanini kina Nkunda wapo msituni!
 
Wapo msituni kuendeleza 'hidden agenda' yao....You sound as if you are one of them....(Proof...unapenda sana tuharakishe federation ya East Africa...waambie waungane...Tanzania itajiunga baadae)
 
Mojawapo ya sifa kubwa ya akina 'Nkunda et al.' ni kuwaona wenzao wana akili za viroboto. Walipomweka Kabila (baba) madarakani walidhani ana akili za kiroboto...lakini walishangaa sana baada ya Kabila kuchukua madaraka alivyowageuka.
 
Last edited by a moderator:
Ni lazima tupigane sana mpaka kundi moja lishinde.
kama hakuna kundi linaloshinda vita iendelee milele.
Kufa au kuishi ni sawa tu, kifo ni sehemu ya maisha yetu.
Ndiyo maana hata walioshinda vita ya majimaji nao kifo kimewashinda,walikufa siku nyingi tele zilizo pita.
Ni lazima mapambano yaendelee mpaka ushindi kamili upatikane hata kama ikibidi kundi moja la watu lipotee milele au likimbilie nchi za mbali.
Hata Dini zinazo takiwa kueneza Amani na Upendo nazo hueneza upendo huo kwa kumwaga damu.
Vita haikuvumbuliwa Afrika nawala Afrika haitakuwa sehemu ya mwisho kuendeleza mapambano.
Wakishinda watusi huko kongo ndio watakao tawala, wakishinda wakongo ndiyo watakao tawala.
Siku unyonge ukiwatoka wakongo ndiyo siku watakayojikomboa.

Wazungu walipigana miaka elfu nyingi mpaka wakagawana vi nchi vidogovigogo vikifuata makabila yao.Kama ikibidi nasi tutakawana vi nchi vidogo kama Rwanda na Burundi lakini vyenye umoja na mshikamano.
Pamoja na kupigana miaka yote hiyo bado mpaka leo wazungu wanapigana tu japo kwa mtindo uliotofauti na huu wa Afrika.

Ukisikia huko UK kuna Malkia ambaye watu na kende zao mbili za nguvu wanainama kwa adabu zote na kusujudu, usidhani malkia huyu alipigiwa kura kwenye sanduku,au alitawazwa kwa baraka za wazee fulani. Babu zake malkia walikata shingo za watu kwa maelfu ili kujisimika wao pekee yao kutawala UK na kueneza utamduni wao kila kona ya dunia. Tena inasadikiwa kuwa ukoo wa malkia walikuwa ni sehemu ya Wavamiziwa wa kabila la Viking kutoka maeneo ya Scandiavia.

Sasa sisi wengine ni waoga kama kunguru wa Zanzibar ndiyo maana tumekimbilia huku ughaibuni kwani tungekaa bongo na mawazo yetu ya kuipinga CCM pengine wangekwisha kutunajisi kisiasa.
Hata huivyo,Pamoja na uoga wangu,
huwa nimeapa kwamba mtu akigusa familia yangu na kuinyanyasa kwa kutumia cheo chake nitarudi kwa siri nihakikishe naua kinara wa shughuri hiyo kwa bunduki yangu mwenyewe.

Naibukia Mexico aa Pass ya Marekani kisha ninazamia Tanzania kwa Pass ya TZ ya kufoji nafanyiza, huyo narudi. Nitatumia uchaka wa JKT na uzoefu wa kucheza na hii mitutu kila mwezi,
Si unajua tena hapa USA wanaruhusu ku own AK47, siyo kwamba ninayo moja ninazo kadhaa ndani ya Sefu zikiwa modified na viwambo na darubini zake kubwa.

Vita ni muhimu barani Afrika ili kukomaza Uhuru heshima na Utu wetu. Hata sisi waTanzania tunaodhani tuna amani tunajidanganya tu. Kuna mambo mengi sana tu ambayo ni Time Bomb. Muda ukifika hakuta kalika kabisa. Amani gani hiyo wengine wanakufa kwa njaa magonjwa na kwa aina zote za ujinga huku Viongozi wa CCM na Mabasha wao wakiirepu hazina ya nchi kwa zamu????

Vita ni lazima, ushindi ni lazima.
 
Je hamjui kuwa kuna kitu kinaitwa HIMA EMPIRE? Wahima ni watu wote wa jamii ya Kitutsi kama tunavyoweza kusema WABANTU. Hima Empire inatakiwa kuanzia Uganda yote, Rwanda, Burundi, Eastern DRC na Northwest TANZANIA (mikoa ya Kagera na Kigoma ambako watu wa jamii ya kitutsi kwa tz wapo). Kwahiyo KAGAME + NKUNDA + MUSEVENI = HIMA EMPIRE.

Kinachosababisha Kagame asije kwetu ni uimara wetu, kwahiyo EDRC haitapata amani hadi hapo Jose Kabila atakapokuwa na jeshi imara, lenye nidhamu, wazalendo (committed), na linalojua wajibu wake.
 
DR Congo's rebel leader arrested

Gen Laurent Nkunda, leader of the strongest rebel group in eastern Democratic Republic of Congo, has been arrested, the military says.

He was detained in Rwanda after resisting a joint Rwandan-Congolese operation to arrest him, officials say.

Some 4,000 Rwandan troops this week entered DR Congo to help fight rebel forces in the area.

Correspondents say Gen Nkunda's arrest removes one obstacle to peace but other rebel groups remain active.

BBC Africa analyst Martin Plaut says Gen Nkunda has been caught in the rapidly changing diplomatic situation in Central Africa.

Gen Nkunda had been Rwanda's ally in eastern DR Congo - a Tutsi, like Rwanda's leaders, he guarded their Western flank against attacks from the Hutu forces who fled there after the Rwandan genocide of 1994.

But in mid-November Rwanda shifted its position, announcing it would work with the Congolese to destroy the Hutu rebels.

Gen Nkunda did not back the new alliance and so became an impediment to Rwandan plans in the region, causing Rwanda to turn on him, our correspondent says.

The decision earlier this month by a group of Gen Nkunda's top commanders to break away and join forces with government troops gave them their opportunity, he adds.

Henry Boshoff, an analyst from South Africa's Institute for Security Studies, told the BBC that following intense diplomatic pressure in recent months, Rwanda was obliged to arrest Gen Nkunda.

The next step is for the joint Congolese-Rwandan force to tackle the FDLR Hutu rebels, some of whose leaders are accused of involvement in the 1994 slaughter in Rwanda of some 800,000 Tutsis and moderate Hutus.

But Mr Boshoff says this may not be easy, as they have resisted previous attempts to disarm them.

Arrest warrant

The rebel leader was detained in Rwanda after troops converged on his stronghold in the Congolese town of Bunagana.

"The ex-general Laurent Nkunda was arrested on Thursday 22 January at 2230 hours while he was fleeing on Rwandan territory after he had resisted our troops at Bunagana with three battalions," a Congolese-Rwandan official statement said.
Gen Nkunda has lost the support of some of his troops in recent weeks

Rebels with him were being urged to disarm, reports said.

Congolese Information Minister Lambert Mende Omalanga, told the BBC he welcomed the arrest.

"I think it is a good achievement for peace and security in this area and this region of Great Lakes," he said.

DR Congo has issued an international warrant for Gen Nkunda's arrest following past accusations that his forces had committed atrocities and Mr Omalanga said he wanted Rwanda to extradite him to face justice in DR Congo.

Rwanda has not yet said whether it will hand over its former ally.

Some of Gen Nkunda's forces - perhaps as many as 2,000 - are still said to be loyal to him.

The question now is whether they will fight, or whether they will join the new consensus and become integrated into the Congolese army, correspondents say.

The CNDP launched a major offensive in August 2008, which displaced more than a quarter of a million people in North Kivu and raised fears of both a humanitarian crisis and a wider regional war.

Correspondents say this may have been Gen Nkunda's undoing, by bringing huge international pressure on all sides to end the conflict in DR Congo.

Human rights group have accused CNDP forces, along with those of the government, of numerous killings, rapes and torture.

All sides in the Congolese conflict have also been accused of using the fighting as a pretext to loot eastern DR Congo's rich resources of minerals such as gold, tin and coltan, used in mobile phones.

Some five million people are estimated to have died as a result of almost 15 years of conflict in DR Congo, following the Rwandan genocide.
 
Safi sana, nadhani vita vya DR Congo vitaisha. Kinachonishangaza na kunifanya nijiulize maswali ni: Urafiki huu wa ghafla wa Rwanda na DR Congo dhidi ya Nkunda umekujaje?
 
Nahofia kuwa ni mkono wa Obama. Naona hata Izrael wakati Obama anaapa, wao wakawa wamejiondoa tayari Gaza. Hawa akina Nkunda walikuwa wanapata nguvu kutoka kwa hawa ma Republican. Kibaya kwa Nkunda ni kuwa hakujua kuwa serikali ya dunia inabadilika. Heri angelijifanya kurudi kwenye serikali na kutangaza vita imeisha. Hapo angelisubiria kwanza kuona hali inakwendaje.
Sijui Mugabe na yeye atafikiriakubadili system au atakaa kimya hadi waje wamuondoe kwa nguvu? Kweli ukiwa mwana siasa inabidi uwe unaangalia alama za nyakati.
 
Obama amesema wazi kabisa kuwa hatavumilia viongozi wanaotegemea ufisadi kukaa madarakani, pia hatakubali marekani (makampuni yake) yatumie raslimali za dunia bila kujali madhara yake. Katika hali hiyo hayo makampuni yaliyokuwa yanamsupport Nkunda na serikali ya Rwanda yamejikuta yapo on the wrong side of history. Obama amesema wakibadilika tutawafungulia mikono wasipobadilika wataenda na maji.
Huo ni mwanzo; Raslimali za DRC haziwezi kuendelea kuwanufaisha wanyarwanda na makampuni ya nje na kundeleza vita DRC wakategemea Obama atakaa kimya. Angalia pia mchango wangu katika thread ya Hotuba ya Obama Full text ktk international forum.
 
Kagame knows well that he can no longer maintain his Guantanamo in eastern Congo under the current US administration!
 
Last edited:
Poleni sana.I frankly don't know why you become fascinated by these childish games of the the West.Look here, Nkunda's assignment has been completed,that is why they are "pretending" to arrest him.They are now going into a new phase of the game!Wait and see.

DR Congo's rebel leader arrested

Gen Laurent Nkunda, leader of the strongest rebel group in eastern Democratic Republic of Congo, has been arrested, the military says.

He was detained in Rwanda after resisting a joint Rwandan-Congolese operation to arrest him, officials say.

Some 4,000 Rwandan troops this week entered DR Congo to help fight rebel forces in the area.

Correspondents say Gen Nkunda's arrest removes one obstacle to peace but other rebel groups remain active.

BBC Africa analyst Martin Plaut says Gen Nkunda has been caught in the rapidly changing diplomatic situation in Central Africa.

Gen Nkunda had been Rwanda's ally in eastern DR Congo - a Tutsi, like Rwanda's leaders, he guarded their Western flank against attacks from the Hutu forces who fled there after the Rwandan genocide of 1994.

But in mid-November Rwanda shifted its position, announcing it would work with the Congolese to destroy the Hutu rebels.

Gen Nkunda did not back the new alliance and so became an impediment to Rwandan plans in the region, causing Rwanda to turn on him, our correspondent says.

The decision earlier this month by a group of Gen Nkunda's top commanders to break away and join forces with government troops gave them their opportunity, he adds.

Henry Boshoff, an analyst from South Africa's Institute for Security Studies, told the BBC that following intense diplomatic pressure in recent months, Rwanda was obliged to arrest Gen Nkunda.

The next step is for the joint Congolese-Rwandan force to tackle the FDLR Hutu rebels, some of whose leaders are accused of involvement in the 1994 slaughter in Rwanda of some 800,000 Tutsis and moderate Hutus.

But Mr Boshoff says this may not be easy, as they have resisted previous attempts to disarm them.

Arrest warrant

The rebel leader was detained in Rwanda after troops converged on his stronghold in the Congolese town of Bunagana.

"The ex-general Laurent Nkunda was arrested on Thursday 22 January at 2230 hours while he was fleeing on Rwandan territory after he had resisted our troops at Bunagana with three battalions," a Congolese-Rwandan official statement said.
Gen Nkunda has lost the support of some of his troops in recent weeks

Rebels with him were being urged to disarm, reports said.

Congolese Information Minister Lambert Mende Omalanga, told the BBC he welcomed the arrest.

"I think it is a good achievement for peace and security in this area and this region of Great Lakes," he said.

DR Congo has issued an international warrant for Gen Nkunda's arrest following past accusations that his forces had committed atrocities and Mr Omalanga said he wanted Rwanda to extradite him to face justice in DR Congo.

Rwanda has not yet said whether it will hand over its former ally.

Some of Gen Nkunda's forces - perhaps as many as 2,000 - are still said to be loyal to him.

The question now is whether they will fight, or whether they will join the new consensus and become integrated into the Congolese army, correspondents say.

The CNDP launched a major offensive in August 2008, which displaced more than a quarter of a million people in North Kivu and raised fears of both a humanitarian crisis and a wider regional war.

Correspondents say this may have been Gen Nkunda's undoing, by bringing huge international pressure on all sides to end the conflict in DR Congo.

Human rights group have accused CNDP forces, along with those of the government, of numerous killings, rapes and torture.

All sides in the Congolese conflict have also been accused of using the fighting as a pretext to loot eastern DR Congo's rich resources of minerals such as gold, tin and coltan, used in mobile phones.

Some five million people are estimated to have died as a result of almost 15 years of conflict in DR Congo, following the Rwandan genocide.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom