Who is behind the fall of IPP media?

IPP Media is one of East Africa's largest Media conglomerates. Its chief executive officer is Reginald Mengi.

IPP Media is a private company, held under IPP Group and based in Dar es Salaam, Tanzania. IPP Media comprises nine newspapers, which are published in both English and Swahili, two television stations, and three radio stations (Radio One, SkyFM and East Africa FM). IPP Media is also a wide content provider for East African news on the Internet via its web site ippmedia.com. The Swahili newspapers groups are now 9 for EACU. The largest Swahili newspaper is Nipashe (Dar es salaam)

Mpaka sasa kuna small companies ambazo ziko zinawork under IPP lakini zimekufa/ utendaji weka sio wa kulizisha

1. EATV mpaka sasa wameishiwa nguvu za utangazaji watangazaji wengi wamekimbia
2. ALhasiri ( Gazeti la JIoni) siku hiz halionekani
3. Bonite bottles (cocacola VS Azam Cola)
4. Lete raha ilikufa lakini later ikaja kuwa inserted kwenye gazeti la nipashe
5. Turnover ya wafanyakazi kuondoka ni kubwa

Mytake:

1. What is the going concern of IPP media?
2. Hata ITV imeanza kuishiwa nguvu quality ya utangazaji imepungua

Nawakilisha

Personaly kwa Data hizi ...sioni ni vipi ... zinapelekea hali ya Tishio kuanguka kwa IPP MEDIA!!!
 
Nijuavyo magazeti ya Mengi katika lugha ya Kiswahili yanafanya vizuri tu. Hata gazeti la Kiingereza. Magazeti ya mchana hayauzi sana kama magazeti ya asubuhi nadhani ndiyo sababu aliacha kutoa edition la mchana. Kuhusu TV amejiweka vizuri kwa kuanzisha EATV lakini challenge ninayoiona itakuwa katika programming. Al Jazeera wakianzisha ya Kiswahili watakuwa na resources za programming na itakuwa changamoto kubwa kwa EATV. But all in all Mengi is well situated businesswise.
 
Well Said, You must be the Company Lawyer.
 
Back
Top Bottom