Who is Beatrice Shelukindo?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Huyu mama (or dada), amesema kuwa JF inatumika kuchafuana. But sina hakika kama kulishakuwa na thread au hata post iliyowahi kumuingelea humu. Hii inadhihirisha kuwa hawa wana Magamba ni members humu lakini hawajitambulishi.

By the way, huyu mama ni wakuchafuliwa, au ni mchafu by default? Wenye data juu ya 'usafi' wake wauanike hapa ili aridhike na JF...
 
Back
Top Bottom