Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,478
Kuhusu nini?Na Mimi nataka nijue kama ulinielewa au hukunielewa.
Unataka nitafsiri ndoto uliyoisahau?
Kuhusu nini?Na Mimi nataka nijue kama ulinielewa au hukunielewa.
..for atheists Its science and FactsTo debate on a huge topic like this which is metaphysical one needs multiple knowledge where as bigbang and evolution being some of them!
You will be foolish to ignore such facts!!
We are discussing whether there is o there is no God!! For theist we have God as our point of reference ( locus of stand) then to atheists, what is your locus of stand? Let's start from there unless you guys would want to extract the what *you think* are weaknesses to prove the non existence of The Almighty God!
Come on!! Let's go toe by toe! You ask then I answer and when I ask just answer unless you will be a filter jus like other typical atheists!
..If God is that Complex why does he want us to understand Him kama haeleweki???Mnajua rafiki zangu ndio sababu Biblia inavyoanza haianzi kumtambulisha Mungu, kwa sababu; kuna jamaa yetu humu anapenda kutumia ligic, logic na common sense inakuambia hakuna kilichojitengeneza, "ukiona vyaelea vimeumbwa". Unahitaji elimu kubwa sana sana ili uhoji kama kalamu ninayoitumia (kumbuka kalamu sio key board) ilijitengeneza au kuna mtu aliibuni. sasa jamani kwa akili yetu kubwa 'Great thinkers!) tunashindwa kuona kwamba simple bacteria ni complex kuliko computer na hapo hatujaangalia higher animals. Well unaweza niambia mimi ni mwanasheria hayo mambo yabayolojia nayajulia wapi: basi angalau chagua mfumo mmoja kenye mwili wako hivi kweli kamera itengenezwe na mtu halafu jicho liwe sababu ya big bang. Hapo hapo labda kuna wataalam - wanjimu hapa: matokeo ya big bang ni universe moja ya units zake ni galaxy, leo uniambie chaos (bang, be it big or small) can it result in order what I see in the universe is order and not chaos. Order comes only from an ordered head. Sasa wewe unataka proof gani Yesu akasema kizazi cha zinaa kiahitaji ishara hamtaipata isipokuwa iashara ya Yona: Matthew 12:39 But he answered and said unto them, An evil and adulterous generation seeketh after a sign; and there shall no sign be given to it, but the sign of the prophet Jonas:
Mungu yuko tayari kujidhihirisha kwa wanyenyekevu ukija kwake kwa kiburi atakutazama tu, hana hasara hata sote tukimkana yeye hawezi kujikana, ndugu wewe ndio unamhitaji Mungu na si vinginevyo, upendo wake kwetu ni upendeleo (favor) na si udhaifu!
Imani ya kuwepo Mungu ina contradictions nyingi sana...If God is that Complex why does he want us to understand Him kama haeleweki???
..after deep pondering nimeanza kuona Hili its Just a phenomenonImani ya kuwepo Mungu ina contradictions nyingi sana.
Contradictions huonesha uongo.
Imani ya kuwepo Mungu ni imani ya uongo.
Hahaha. Contradictions left right and center...after deep pondering nimeanza kuona Hili its Just a phenomenonView attachment 422343View attachment 422344View attachment 422345
Kipi kinafanya ijulikane imani ya uwongo na ya kweli?Imani ya kuwepo Mungu ina contradictions nyingi sana.
Contradictions huonesha uongo.
Imani ya kuwepo Mungu ni imani ya uongo.
Kuhusu nilichokieleza.Kuhusu nini?
Unataka nitafsiri ndoto uliyoisahau?
..uwezo wa Kutoa maJibu Yakinifu na toshelefu yanayokidhi maswali Yanayoulizwa na watuKipi kinafanya ijulikane imani ya uwongo na ya kweli?
Kwahiyo imani ya kuamini mungu yupo ni ya uwongo kwa kushindwa kutoa majibu yakinifu?..uwezo wa Kutoa maJibu Yakinifu na toshelefu yanayokidhi maswali Yanayoulizwa na watu
..HakikaKwahiyo imani ya kuamini mungu yupo ni ya uwongo kwa kushindwa kutoa majibu yakinifu?
Mkuu hivi kwanini wapinga mungu wengi wanatokea kwenye imani ya ukristo?..Hakika
Kipi kinafanya ijulikane imani ya uwongo na ya kweli?
Ulichokieleza kipi? Umeelez mengi.Kuhusu nilichokieleza.
Kipi kinafanya ijulikane imani sahihi na ya uwongo?For starters, imani yenye contradiction haiwezi kuwa kweli.
Kipi kinafanya ijulikane imani sahihi na ya uwongo?
Au hujanielewa?
Hivi kweli unanielewa kweli?Kwa nini unafikiri ni kitu kimoja?
First thing first, ukiona imani ina contradiction ni ya uongo. Umeelewa hilo?
Kama vile kuamini Mungu ambaye anaweza yote, ana ujuzi wote na upendo wote ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea, halafu akaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea ni kuamini contradiction.
Hivyo ni kuamini uongo.
Wapi nimeandika hilo?Hivi kweli unanielewa kweli?
Ina maana usahihi wa imani yeyote ni kutokuwa na contradiction?