UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Hayo unayoongea umeyatoa wapi?Watu kuuliza kuhusu imani zao ni kufanya kinyume na imani zao.
Imani haina maswali.
Ukianza maswali umetoka kwenye imani unaingia kwenye sayansi.
Hayo unayoongea umeyatoa wapi?Watu kuuliza kuhusu imani zao ni kufanya kinyume na imani zao.
Imani haina maswali.
Ukianza maswali umetoka kwenye imani unaingia kwenye sayansi.
Fananisha vitu vinavyofanana.Ulitaka nifananishe na nini?
Hebu jibu nilichokuuliza katika hiyo post.
Biblia yako imesema Mungu wako hawapendi watu wavuguvugu, inatakiwa ama uamini ama usiamini.Hayo unayoongea umeyatoa wapi?
Mfano wa jua haiuwezi ukaleta ulinganifu na concept ya mungu kuwepo... kwa vile concept ya jua inakuja baada ya kuliona jua..previous days in which to God it doesn't apply....(mfano huu ungekuwa valid if and only if... haulijui jua kama lipo au la alafu unasema kesho jua litatoka)Unachotaka mie nikifanye ni sawa na wewe ambae unaamini kuwa jua litatoka kesho halafu ukawa unasubiri hiyo kesho,lakini atokee mtu na kukwambia umthibitishie imani yako ya kutoka kwa jua kesho.
Na ukiweza kufanya hivyo maana yake suala la kutoka kwa jua kesho halitakuwa tena imani.
Je,utaweza kufanya hivyo?
Maana kwako wewe hivyo ndiyo kuthibitisha jambo la imani unavyoelewa,na ndiyo maana sie kila tukitoa uthibitisho huwa unasema hatuwezi kuthibitisha.
Maswali yako hayajibiki kwa mwanadamu yeyote kwa kuwa uwezo wa akili ya mwanadamu ni mdogo sana. Atakachofanya binadamu ni mchezo wa kujifikirisha tu. Ukitaka majibu sahihi yasiyo na shaka mtafute Mungu akujibu. Tafuta Neno lake likuweke huru.Kama utakumbuka nimewahi kuleta uzi wa makosa 10 aliyotenda Mungu, kosa la kwanza na kubwa kabisa ni kumuumba Shetani.Kwa nini Mungu alimuumba Shetani ili hali alijua Shetani atakuja kuasi na kumpotosha Binadamu?
Kwa nini Mungu aliumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Kwa nini Mungu asingemwekea Binadamu immunity dhidi ya dhambi na dhidi ya mbinu za Shetani?
Umenena vyema,ubarikiweMaswali yako hayajibiki kwa mwanadamu yeyote kwa kuwa uwezo wa akili ya mwanadamu ni mdogo sana. Atakachofanya binadamu ni mchezo wa kujifikirisha tu. Ukitaka majibu sahihi yasiyo na shaka mtafute Mungu akujibu. Tafuta Neno lake likuweke huru.
So kama ni wengi hamuoni mmechanganyika...humo. hata wewe haujui kwamba wanaopinga uwepo wa mungu wengi ni wasomi...(ndio maana ukipeleka mtu akasome russia.. akirudi anakuwa sio yule wa mungu maria...)... ina maana haulijui kwamba why mko wengi mnaoamin Mungu?? It is very simple concept ya kuwepo kwa mungu ndio imekuwa documented than inayomkataa... ndio maana mtoto anajifunza kuwepo kwa mungu right from the early age.... hii nyingine haitaji vitabu... ni kujiongeza tu. Ninaposoma mwanzo lazima nijiulize maswali... hivi inavyoandikwa hapo mwanzo mungu aliumba mbingu na nchi... ( yaani mungu kaanza kuumba dunia kabla ya jua ) ...hivi can't u find lies from this chapter??? Ni uongo ulio wazi...Sio kweli,wako matajiri wakubwa na wasomi wakubwa,wanaamini uwepo wa Mungu.
Ndio maana nasema na naendelea kusema,msioamini Mingu,uewelewa wengi ni mdogo sana.Hata hamfahamu kama idadi ya wanaoaminini Mungu,ni kubwa kuliko msioamini Mungu.
Kama mwanadamu hana uwezo wa kujibu haya maswali, kwa nini watu tuna uwezo wa kuuliza haya maswali?Maswali yako hayajibiki kwa mwanadamu yeyote kwa kuwa uwezo wa akili ya mwanadamu ni mdogo sana. Atakachofanya binadamu ni mchezo wa kujifikirisha tu. Ukitaka majibu sahihi yasiyo na shaka mtafute Mungu akujibu. Tafuta Neno lake likuweke huru.
Kama mwanadamu hana uwezo wa kujibu haya maswali, kwa nini watu tuna uwezo wa kuuliza haya maswali?
So kama ni wengi hamuoni mmechanganyika...humo. hata wewe haujui kwamba wanaopinga uwepo wa mungu wengi ni wasomi...(ndio maana ukipeleka mtu akasome russia.. akirudi anakuwa sio yule wa mungu maria...)... ina maana haulijui kwamba why mko wengi mnaoamin Mungu?? It is very simple concept ya kuwepo kwa mungu ndio imekuwa documented than inayomkataa... ndio maana mtoto anajifunza kuwepo kwa mungu right from the early age.... hii nyingine haitaji vitabu... ni kujiongeza tu. Ninaposoma mwanzo lazima nijiulize maswali... hivi inavyoandikwa hapo mwanzo mungu aliumba mbingu na nchi... ( yaani mungu kaanza kuumba dunia kabla ya jua ) ...hivi can't u find lies from this chapter??? Ni uongo ulio wazi...
Ili tuwe na mjadala wenye tija nashuri kwamba kwanza tuanze na kufaanua maana ya msamiati tunaoutumia. Hivyo naomba kwanza utupe definition ya Mungu na creation kama ulivyovitumia hapa.Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.
Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)
Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
Nimekuuliza nifananishe na nini maana ni wewe ndiye ambaye unasema havifanani.Fananisha vitu vinavyofanana.
Post yako imeandikwa katika msingi mbovu, msingi wa kufananisha visivyofanana katika namna isiyo na uwiano.
Sahihisha hilo kwanza kabla ya kutaka ujibiwe.
Kwanza unajuaje kuwa mie kitabu changu ni biblia?Biblia yako imesema Mungu wako hawapendi watu wavuguvugu, inatakiwa ama uamini ama usiamini.
Ukiamini na kuleta maswali swali una imani haba, una uvuguvugu, Mungu wako amesema atawatapika wavuguvugu.
Au unaamini dini ambayo kitabu chake hujakisoma vizuri?
Unajua kwanini nimetumia huo mfano? hebu elezea.Mfano wa jua haiuwezi ukaleta ulinganifu na concept ya mungu kuwepo... kwa vile concept ya jua inakuja baada ya kuliona jua..previous days in which to God it doesn't apply....(mfano huu ungekuwa valid if and only if... haulijui jua kama lipo au la alafu unasema kesho jua litatoka)
Una uwezo wa kuuliza kwa kuwa una akili inayofanya kazi lakini haipati majibu. Ukiwa na majibu hutauliza, bali utaeleza.Kama mwanadamu hana uwezo wa kujibu haya maswali, kwa nini watu tuna uwezo wa kuuliza haya maswali?
Fananisha vitu vinavyofanana, first thing first, usifananishe kitu chenye contradiction na kitu ambacho hakina contradiction.Nimekuuliza nifananishe na nini maana ni wewe ndiye ambaye unasema havifanani.
Nimeuliza swali kwa kutumia mfano wako wa jua,sasa sioni sababu ya kulikwepa.
Kwa hiyo leo unaikana Biblia kwamba si kitabu chako cha dini hapa?Kwanza unajuaje kuwa mie kitabu changu ni biblia?
Hata hivyo bado unazunguka zunguka tu.