Who are the real Israelities? Why Palestinians?

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
I am bit confused.

Who are the realJews. What are those Israelties who are being recognized recent years from Ethiopia.

Is Jewish a Culture, Tribe or divinity?

If I recorn. Even Palestines are new to the conflicted area. They have a starting date for every clan settlement in the area.

What was the reasons led the scramble and dismental of Israel which lead to reunite for the restart?

Am in the middle of somewhere uknown

Please
 
Mchawi lugha
 
Wayahudi halisi wapo na wanakaa hapo Israeli, ambao sio halisi inasemekana ni Ashkenazi Jews(Hawa ni khazarians , walibadili dini na kukubali Uyahudi), the rest are Jews. Kuna Hadi kabila la Levi(Walawi) wanakaa hapo, wanasubiri ujenzi wa third temple waanze kutoa sadaka za kuteketezwa .

Jews inainvolve kwanza kabisa ethnicity na pili conversion.
 
Mkuu hapo umechanganya mafaili katika maelezo yako na kuzidi kuwachanganya hadhira.
 
Naona sijachanganya , Wayahudi wako wa aina nyingi, Kuna wale wa asili kabisa kutokana na ancestry, Kuna waliotoka Morocco na Spain, kuna Ashkenazi Jews, kuna Ethiopian Jews na hata wewe unaweza kuwa Jew ukiconvert kutoka kwenye dini yako kwenda kwenye Jewish religion, unatambulika kama Jewish convert. Kuna kabila la Walawi wako hadi Leo wametunza vinasaba vyao.

Achana na hawa wanaosema sijui Wabantu ndo Wayahudi asilia, sio kweli kabisa, tamaduni za Wabantu hazifanani na za Wayahudi, yaani anayeabudu mizimu ndo awe Myahudi? Haiwezekani, hii Black Hebrew Movement siamini kabisa.
 
Nikupe task ndogo sana. Nenda kasome kitabu cha From Babylon to Timbuktu by Rudolph R. Windsor
Kisha kasome

We, the Black Jews: Witness to the 'White Jewish Race' Myth, Volumes I & II by Yosef A.A​

Naona sijachanganya , Wayahudi wako wa aina nyingi, Kuna wale wa asili kabisa kutokana na ancestry, Kuna waliotoka Morocco na Spain, kuna Ashkenazi Jews, kuna Ethiopian Jews na hata wewe unaweza kuwa Jew ukiconvert kutoka kwenye dini yako kwenda kwenye Jewish religion, unatambulika kama Jewish convert. Kuna kabila la Walawi wako hadi Leo wametunza vinasaba vyao.

Achana na hawa wanaosema sijui Wabantu ndo Wayahudi asilia, sio kweli kabisa, tamaduni za Wabantu hazifanani na za Wayahudi, yaani anayeabudu mizimu ndo awe Myahudi? Haiwezekani, hii Black Hebrew Movement siamini kabisa.
Mimi naona umeenda kujibu swali kwa kulichambua maana nimeuliza Waisraeli ni kina nani na hao Wayahudi ni kina nani?

Pia nikauliza wale Waisrael kutoka Ethiopia ni kina nani?

Kuna mkanganyiko kiaina kwenye hili jambo.
 
Back
Top Bottom