HAMAS watoa onyo kwa Wapalestina kuhusu ulinzi wa misaada ya chakula

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu.....

Hamas-linked website warns Palestinian individuals or groups against cooperating with Israel to provide security for aid convoys amid the spiraling humanitarian crisis in Gaza.

Those who do will be treated as collaborators and be handled with an iron fist, the Hamas Al-Majd security website says, quoting a security official in Palestinian terror forces.

The warning comes in response to reports that Israel is considering arming some Palestinian individuals or clans in Gaza to provide security protection for aid convoys into the enclave as part of wider planning for humanitarian supplies after the fighting ends.

“The occupation’s attempt to communicate with the leaders and clans of some families to operate within the Gaza Strip is considered direct collaboration with the occupation and is a betrayal of the nation that we will not tolerate,” the Hamas-linked website says, quoting the official.

“The occupation’s (Israel) efforts to establish bodies to manage Gaza are a ‘failed conspiracy’ that will not materialize.”
 
Duh! Hawa majamaa ni pasua kichwa aisee. Yan chakula ni cha msaada na walengwa wa msaada huo ni wao hao Wapalestina. Myahudi anataka wawajibike wao wenyewe kukilinda chakula chao halafu eti HAMAS wanaolialia kwamba Wapalestina wanaonewa inatoa katazo kali kwa Wapalestina au familia zao wasijihusishe na kukilinda chakula hicho. Wanataka nini sasa?
Inaonekana dawa haijawaingia vizuri au dozi imekuwa chini ya kiwango. Inafaa IDF watoe dozi kali zaidi.
 
hizi habari huwa zinanichanganya

waleta habari wanakuwa wameegemea upande mmoja

Ni kama taarifa ya Samia isomwe na TBC itakuwa tofauti ikisomwa BBC
Ni kawaida habari mbaya huwa inavuma sana. Lakini hii habari ya wizi/ uporaji wa chakula na vifaa tiba vya msaada kwa Wapalestina unaofanywa na kundi la HAMAS umewahi kulalamikiwa hata na watoa misaada hiyo i.e. UN. Habari zisikuchanganye. Ww pata tu habari kwamba kuna sintofahamu inayoendelea kuhusu namna ya kulinda misaada ya kibinadamu inayopelekwa kwa wahanga wa vita (Wapalestina).
 
Ahsante kwa ufafanuzi

Kama ni hivyo Hamas ipigwe tu
 
Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu.....

Hamas-linked website warns Palestinian individuals or groups against cooperating with Israel to provide security for aid convoys amid the spiraling humanitarian crisis in Gaza.

Those who do will be treated as collaborators and be handled with an iron fist, the Hamas Al-Majd security website says, quoting a security official in Palestinian terror forces.

The warning comes in response to reports that Israel is considering arming some Palestinian individuals or clans in Gaza to provide security protection for aid convoys into the enclave as part of wider planning for humanitarian supplies after the fighting ends.

“The occupation’s attempt to communicate with the leaders and clans of some families to operate within the Gaza Strip is considered direct collaboration with the occupation and is a betrayal of the nation that we will not tolerate,” the Hamas-linked website says, quoting the official.

“The occupation’s (Israel) efforts to establish bodies to manage Gaza are a ‘failed conspiracy’ that will not materialize.”
Nimesoma nakuelewa vizuri sana ila sijajua unamaanisha nini hasa!
Kwani Hamas sio wapalestina!?
 
nizione wapi ndugu yangu!

Ila Hamas kama ni wezi wa chakula cha maskini basi wapigwe
usirudie kutetea vikundi vya kiarab , kama hukuona waarabu wa libya walivyowafanya waafrika wenzao usishangae ya Hamas kusababisha vita na kujificha kwenye mitalo wamama ndo wanaumizwa na kipigo cha myaudi kisha misaada ikija wanaipora , majuz walimuua mtoto ambae aling'ang'ania kuchukua chakula , HAMAS sio watu kbs
 
Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu.....

Hamas-linked website warns Palestinian individuals or groups against cooperating with Israel to provide security for aid convoys amid the spiraling humanitarian crisis in Gaza.

Those who do will be treated as collaborators and be handled with an iron fist, the Hamas Al-Majd security website says, quoting a security official in Palestinian terror forces.

The warning comes in response to reports that Israel is considering arming some Palestinian individuals or clans in Gaza to provide security protection for aid convoys into the enclave as part of wider planning for humanitarian supplies after the fighting ends.

“The occupation’s attempt to communicate with the leaders and clans of some families to operate within the Gaza Strip is considered direct collaboration with the occupation and is a betrayal of the nation that we will not tolerate,” the Hamas-linked website says, quoting the official.

“The occupation’s (Israel) efforts to establish bodies to manage Gaza are a ‘failed conspiracy’ that will not materialize.”
Ndiyo maana anazuia misaada anajua hamas wanaiiba . Sasa watakufa kwa njaa
 
Kumbe Hamas bado wapo?
Ndiyo. Na Kazi ya kuwabutua inaendelea mtindo mmoja. Changamoto iliyopo ni kwamba HAMAS wanajificha kwa kuvaa hijab, kubeba watoto wadogo, kukaa nyuma ya akina mama na kwenye mahandaki na viji-misaada vya wapiganaji wa kujitolea kutoka nje ya Palestina. Lau isingekuwa hivyo, basi leo hii Muyahudi (IDF) angekuwa ameshawamaliza.
 
Ndiyo maana anazuia misaada anajua hamas wanaiiba . Sasa watakufa kwa njaa
Lakini wanasemaga "penye nia pana njia". Mdogomdogo itapatikana njia mbadala (alternative) iliyo salama zaidi ya kuwafikishia misaada Wapalestina-waathirika bila ya hao wezi (HAMAS) kuigusa. Na hapo ndo HAMAS watapata uelewa zaidi kwamba Myahudi ni mtu wa namna gani.
 
Back
Top Bottom